Azam Sports Federation Cup: Yanga yaifunga Biashara 1-0 na kutinga fainali

Protect

Member
Apr 4, 2020
94
299
Timu ya soka ya Yanga imeifunga timu ya Biashara kwa BAO 1-0 na kufanikiwa kuingia fainali ya kombe la ASFC

Katika mechi hiyo iliyofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora, bao la Yanga lilifungwa na mshambuliaji wao wa kimataifa kutoka Burkina Faso, Yacouba Songne katika dakika ya 22.

Kwa matokeo hayo sasa Yanga itamsubili mshindi wa mechi nyingine ya nusu fainali kati ya Simba na Azam
 
Yanga wenyewe hata hawana {hawakuwa} na muda kabisa hata na game yaleo! Yaan wanasema heiiii twafwaaaa! haya machezaji yametupeleka tulikokua tunapakwepa! Hatari sana hii!
 
Simba wao walikua wanahamu kubwa ya kucheza na Yanga Sasa chakushangaza wamehuzunika Yanga kushinda. Kinachotakiwa ni Simba kuendelea kushangilia kwakua watakutana na waliyekua wanamtafuta.
Na itakuwa mana kulitaka mwana kulipata we subiri.
 
Back
Top Bottom