Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,356
- 11,502
Tunajua kuwa Babu Cheche na baadhi ya viongozi kwa kushirikiana na wachezaji kadhaa waliamua kumhujumu Pluijm ili atolewe apewe team huyu anayeitwa babu cheche. Inafahamika pia mshahara anaopokea kuna mtu anagawa naye kiasi flani na lengo ni kuwa mwishoni awe kocha mkuu apewe mkataba na mshahara mkubwa.
Hakafu pasu pia inenepe kwa kiongozi ambaye naye anapata hapo.huyu jamaa ni mhamasishaji mzuri kwa sasa kwa wachezaji.kama alivyokuwa djuma masudi wa simba ambaye akaanza kuiharibu team ili kocha patrick apigwe chini achukue team.
Lakin tunaona yule kocha ambaye hata mashabiki wa simba hawakuwa wakimtaka ndiye aliyeleta mafanikio makubwa mpaka sasa. Na jiulize masudi djuma huko aliko ameenda kufanya nini?
Moja la tatizo kubwa tulilo nalo katika azam ni kuwa imeacha kuchukua viongozi wasomi ila imejaza waswahili pale.na ndo maana tunaiona azam inashauriwa ipite sijui milango gani wakati wa kupambana na simba inapita huko...kipumbavu kabisa.inakuja inafungwa 3.
Azam ilitegemewa iwe team ya kisasa.imekuwa kinyume bado kuna waswahili wameenda kukaa mle ndani hawa ndo wamekuwa wataalam kwa kila kitu. Hawa ndo waliacha wachezaji wazuri waondoke wakachukuliwa na simba.
Waswahili hawa wameacha kucheza mpira uwanjani wanaenda kuroga na kuanza kuamini katika ulozi.tunategemea nini kwa azam?tunafahamu kuwa wakiwa zanzibar azam hushinda sana sababu ya imani za kishirikina katka mechi zao kwa kutumia waganga walioko huko na azam ni kama kwao zanzibar.
Tunataman azam iendeshwe kisasa...sababu hii team ina mmiliki mwenye pesa.kwa nini asitafute wasomi na wanaojua mpira?