Azam Oyeee...Msinishambulie kama Jenesta-Utani wa Mpira tu!

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Ndugu zangu

Msinishambulie kama mlivyofanya kwa J.Mhagama. Huu ni utani tu kwa furaha ya Simba SC "kulambwa" na Azam FC. Keep cool guys. Chonde chonde msimshambulie Jenesta; maana alikuwa anawatania wana Simba. Hongera Yanga, Hongera Dr. Kikwete.
 
Simba anaishi Mjini wacha aonjeshwe lamba lamba akanogewa Watu wakamchungulia tehe tehe.Mzee reception hajajiuzulu au chama chao hakina hiyo sera
 
jamaa wamenifurahisha katika kichwa kimojawapo cha habari MNYAMA KATAFUNWA HADI MANYOYA.HA HA HA HA !
 
simba haooooo...wameolewa....tehe tehe tehe tehe...chezea watoto wa icecream wewe. .
 
jamaa wamenifurahisha katika kichwa kimojawapo cha habari MNYAMA KATAFUNWA HADI MANYOYA.HA HA HA HA !

umeona mkuu eeeh??mjini kupo shwari kabisaa...na mwezi mtukufu basi shwari kabisaaa hakuna hata makelele...
 
Kawaida simba wanashangiliaga miezi miwili kwa mwaka, YANGA miezi10,. Poleni wana simba nafikiri mmeishiwa hela ya kununua penati
 
ivi kwa nini yanga wasitoe rangi ya kijani kwenye uzi wao, uwe njano na nyeusi, kuna mwaka walitumia jezi yenye njano na nyeusi.. maana naisi naboreka sana wanavyoiunganisha yanga na hawa magamba
 
Kawaida simba wanashangiliaga miezi miwili kwa mwaka, YANGA miezi10,. Poleni wana simba nafikiri mmeishiwa hela ya kununua penati
Wewe unaongelea kwa mwaka unamanisha mwaka gani? Rejea mechi zilizochezwa kati ya mwaka 2000 na 2010 uone Simba ilishinda mechi ngapi na Yanga ilishinda mechi ngapi ndo uje na coment zako za miezi miwili kwa miezi kumi.
 
Back
Top Bottom