Azam news wamekuja Juu sana kwa habari

Jux juma

JF-Expert Member
Feb 27, 2017
871
691
Wakuu kiukweli hiki kituo cha azam ni moja ya kituo bora kwa sasa kwa upande wa habari muda wa saa2
Ni wazi sasa ITV wanahitaji kujipanga kuwafikia hawa jamaa kwani ni wafanisi sana na wako ki general news sio ki upande mmoja
BiG UP AZAM NEWS
 
Inawatangazaji mahiri, lakini TV lao lina rangi mbaya hata king'amuzi rangi yao kama clouds na channel 10 hazivutii kuangalia, azamu watu wanaangalia mpira tu vpl vinginevyo hakuna kitu asikudanye mtu kuifikia ITV itasubiri sana labda wabadilishe rangi ya TV yao mbaya sio clear
 
We George Maratu nini??? Sio kwa kuitetea huko ITV
 
Inawatangazaji mahiri, lakini TV lao lina rangi mbaya hata king'amuzi rangi yao kama clouds na channel 10 hazivutii kuangalia, azamu watu wanaangalia mpira tu vpl vinginevyo hakuna kitu asikudanye mtu kuifikia ITV itasubiri sana labda wabadilishe rangi ya TV yao mbaya sio clear
Iv unaangalia azam gan mkuu iv azam na ITV wapi wana rangi mbaya
 
Wakuu kiukweli hiki kituo cha azam ni moja ya kituo bora kwa sasa kwa upande wa habari muda wa saa2
Ni wazi sasa ITV wanahitaji kujipanga kuwafikia hawa jamaa kwani ni wafanisi sana na wako ki general news sio ki upande mmoja
BiG UP AZAM NEWS
kama ving'amuzi vyao vitaendelea kuwa bei ya juu itv inayopatikana kwa king'amuzi cha 6000 itabaki kuwa juu siku zote
 
Inawatangazaji mahiri, lakini TV lao lina rangi mbaya hata king'amuzi rangi yao kama clouds na channel 10 hazivutii kuangalia, azamu watu wanaangalia mpira tu vpl vinginevyo hakuna kitu asikudanye mtu kuifikia ITV itasubiri sana labda wabadilishe rangi ya TV yao mbaya sio clear
Unatumia wire gani mkuu??
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom