AZAM mnapoteza kuwa na Balozi kama Manara. Hajui Ethics za Biashara

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,878
2,000
Leo mnasema hivyo ,nyinyi kipindi kile cha nyuma, mlikuwa hamtumii akili na ndio maana kila alichofanya mlikiona cha maana au hamkuwa na akili kabisa.
Ndugu yangu umeelimika kweli na kuweza kujua mantiki ya hoja au ni ushabiki tuu?
We are talking about business sio huo utani, utani utaendelea kuwepo Manara awe yupo au hayupo. Hapo zamani hakuhusisha biashara na hisia zake mbovu.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,878
2,000
Kuna watu kuwaelewesha, labda mpaka wapasuliwe kichwa.
Mleta thread ameongelea biashara, ambayo Manara sio yake. Hiyo, inafanana na alivyoyaficha yale maji ambayo ni ya wadhamini wa Yanga, kwenye mkutano ambao haukuwa wa Manara bali ni wa Yanga. Huyo akiachiwa, ataharibu mambo mengi, kwa faida yake binafsi.
Asante sana Ghiti Milimo kwa kutoa mfano sahihi.
Mie nadhani hata udhamini wa yale maji ni wa chini ndio maana hawajaleta kasheshe. Siku atachana sijui sport pesa au Kilimanjaro ndio mtasikia mzungu pori wamemcharaza bakora!
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
8,068
2,000
Ndugu yangu umeelimika kweli na kuweza kujua mantiki ya hoja au ni ushabiki tuu?
We are talking about business sio huo utani, utani utaendelea kuwepo Manara awe yupo au hayupo. Hapo zamani hakuhusisha biashara na hisia zake mbovu.
You are talking about business 😀😀😀😀😀😀😀,kwa hiyo ww unaijua biashara kuliko Bakheresa.

Bakheresa mfanyabiashara mkubwa Africa Mashariki na Kati, kamchagua Manara kuwa balozi wa bidhaa zake za Azam, tokea akiwa Simba kipindi hiko anaitukana Yanga, mpaka sasa yupo Yanga anaitukana Simba.

Ukiona hivyo yeye anajua faida anayoipata upitia Manara, so vumilia tu.

"Hapo zamani hakuhusisha biashara na hisia zake mbovu."

Kwa hiyo statement yako ww humjui Manara, ungetembelea page yake zamani ndipo ungemjua Manara alikuwa anaifanya nini Yanga. Kaka kuwa mpole Bakheresa kishamchagua kuwa balozi wake, yy anaijua biashara vizuri kuliko ww.
 
Kavirondo

JF-Expert Member
May 2, 2020
396
1,000
Manara alikuwa msema hovyo akiwa Simba,Na bado msema hovyo..Ubalozi kaupata kwa sababu ya hiyo hulka yake.Usitegemee abadilike any time soon..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
690
1,000
Ametukana kila mahari na kuita majina mabaya alivyokua kwenu hamkuwahi zungumzia maadili
NMASHAURI AONGEZE MATUSI HADI YA NGUONI KWA MO DEWJI NA BARBARA ITASAIDIA SANA KUONGEZA MAUZO YA DECORDERS ZA AZAM NA KUMFURAHISHA ZAIDI AMIN BAKHRESSA AMBAYE NI WAZI KWAMBA NAMTUMA HUYU MTU KUMCHAFUA MO DEWJI KIBIASHARA
 
CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
690
1,000
kwa lugha nyingine anafikiri wateja wa azam ni yanga peke yake ila kimaadili amekosea ameingiza hisia zake binafsi kwenye kazi ya mtu mwingine
akwia simba hata siku moja hajawahi kupost kuhusu vifurushi vya azam akawatukana rafiki zake wa Gsm wala Yanga kwa hali iliyoko mbona simple sana balozi wa ku brand kampuni yao ni kwamba hataki wana simba wanunue vifurshi hivyo
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
7,721
2,000
You are talking about business ,kwa hiyo ww unaijua biashara kuliko Bakheresa.

Bakheresa mfanyabiashara mkubwa Africa Mashariki na Kati, kamchagua Manara kuwa balozi wa bidhaa zake za Azam, tokea akiwa Simba kipindi hiko anaitukana Yanga, mpaka sasa yupo Yanga anaitukana Simba.

Ukiona hivyo yeye anajua faida anayoipata upitia Manara, so vumilia tu.

"Hapo zamani hakuhusisha biashara na hisia zake mbovu."

Kwa hiyo statement yako ww humjui Manara, ungetembelea page yake zamani ndipo ungemjua Manara alikuwa anaifanya nini Yanga. Kaka kuwa mpole Bakheresa kishamchagua kuwa balozi wake, yy anaijua biashara vizuri kuliko ww.
Mna vichwa vibovu sana vilivyojaa mipasho tu, kuamini kama Bahressa hajali akiharibiwa biashara yake ni uzezeta, kisa Manara aliwahi kuwa Simba ni uzezeta zaidi.
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
8,068
2,000
Mna vichwa vibovu sana vilivyojaa mipasho tu, kuamini kama Bahressa hajali akiharibiwa biashara yake ni uzezeta, kisa Manara aliwahi kuwa Simba ni uzezeta zaidi.
Uzezeta upi sasa Bakheresa na ww nani anajua biashara?
 
Panctual Fwenga Boy

Senior Member
Jun 11, 2019
151
250
Itawawia vigumu sana kumuelewa mleta uzi,ni ma great thinkers pekee ndio watamuelewa na sio wenye mlengo wa ushabiki kwenye hoja yenye kuhitaji utashi kuielezea.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom