Azam Media jitahidini kuongeza ubora kwenye poster za ligi yetu (VPL)

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
37,129
2,000
Habari!

Kukuza ubora wa league pia hata media zinachangia nafasi kubwa sana.

Azam media mmekuwa na poster hazina mvuto, maana ilitakiwa hata mtu ambaye hafatilii mpira akikutana na poster nzuri aanze kuvutiwa na kufatilia nini kinachoendelea.

Ila Azam Media bado sana kuanzia graphic zenu bado zipo chini ila hata hili la poster ambalo ni kitu kidogo sana.

Tanzania kuna vijana wazuri tu wanaweza kutengeneza poster nzuri.

Moja ya tatizo pia mwanzo wa msimu mmekuwa si watu wa kupiga picha kila timu hii. Ila kungekuwa na utaratibu mzuri wa kuwa na picha nyingi za wachezaji wa timu zote ingewasaidia kuwa na wigo mpana wa kuchagua na kuandaa poster nzuri.
Mfano wa poster ya league ya South Africa ambayo kwa sasa DSTV amekuwa mdhamini rasmi wa league hiyo.


supersporttv-20201031-0001.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom