Azam karibuni kukimbiwa kama hamtashusha gharama ya ving'amuzi

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
835
Yaani Azam msiposhusha gharama soon wateja wenu kuwakimbia. Ving'amuzi vyenu mnauza ghali halafu kifurushi kikiisha mnaacha TBC tu.Kifurushi chenu kinaanzia 15000.

Nawaambia asilimia kubwa ya watanzania hawawezi kumudu hiyo gharama,
mnashindwaje kuweka vifurushi angalau vya gharama nafuu?

Mlipoanza mlikuja na mkwara kwamba vifurushi vyenu kila mtanzania atamudu leo hii imejua tofauti.

Mmeanza kukimbiwa.

Sio burudani kwa wote ni burudani kwa wachache.
 
We kimbia tu wala usijari ila lazima utarudi tu Azam wako vizuri sana na siku zote kizuri ghali
 
Mtu analalamika kulipa elfu 15!! Kuna vitu kama huvimudu usifanye.
 
Mateso mnayafata wenyewe halafu mnalalamika! mi bado natumia dishi langu kubwa silipii wala nini michaneli ya muhimu ya ndani yote ninayo na michaneli kama 40 ya dini,Hapa sala tu.
 
Yaani azam msiposhushw gharama soon wateja wenu kuwakimbia
ving'amuzi vyenu mwauza ghali halafu kifurushi kikiisha mnaacha TBC tu
Kifurushi chenu kinaanzia 15000
Nawaambia asilimia kubwa ya watanzania hawawez kumudu hiyo gharama
mnashindwaje kuweka vifurushi angalau vya gharama nafuu?
Mlipoanza mlikuja na.mkwara kwamba vifurushi vyenu kila mtanzania atamudu leo hii imejua tofauti
Mmeanza kukimbiwa
Sio burudani kwa wote ni burudani kwa wachache

kimbia tu mkuu sisi tutabaki
 
ImageUploadedByJamiiForums1470655798.619425.jpg

FTA Channels

Bei 125,000/-
 
SERIKALI ILI WADANGANYA RAIA WAKE KUNUNUA VING'AMUZI WAKATI KUNA MADISHI YA FREE TO AIR UKINUNUA HAULIPII MAISHA YAKO YOTE NDO VIJIJINI WANAYATUMIAGA
 
Back
Top Bottom