samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,014
- 1,217
Aliyeangalia mechi aseme hapa, Sahare wamenyimwa fiinali.
Kwa hiyo imepangwa iwe hivyo sio, we na marefa wa leo lenu moja,inabidi badi zichaguliwe timu za kushindania FAIngekuwa bingwa wa KOMBE hili haendi kuwakilisha kimataifa basi Sahare angeshinda lakn kwakuwa TAIFA linahitaji muwakilishi mwenye uwezo wake basi lazima angalau tupate muwakilishi mwenye msuli kwa namna yoyote ile.
KOMBE la shirikisho África unaenda kukutana na timu bora za nchi mbalimbali sasa huyó Sahare hana ubavu wa kifedha wala uwezo wa wachezaji kushindana zaidi ataenda kulitia aibu Taifa letu kwa kubugizwa magoli ya kutosha.
Tumeyaona hayo kwa Mtibwa alipopata nafasi, round ya pili tu kakutana na Viper ya Uganda akapigwa nje ndani kipigo cha aibu
Kwa hiyo imepangwa iwe hivyo sio, we na marefa wa leo lenu moja,inabidi badi zichaguliwe timu za kushindania FA
Hivi ni timu ya saa nane AM au saa nane PM, usinijibu tafadhaliNamungo timu ya mkubwa hiyo!
Sio kweli, msimu aliopanda almnanusura ashuke darajaKama nakumbuka vizuri, Leceister alipanda na moja kwa moja akaenda mpaka UEFA, nadhani kila jambo lina mwanzo, kama kimchezo mmeshindwa kumshinda, angewezeshwa tu kuiwakilisha nchi vyema, TFF na wizara husika si zipo?
Hoja yako haiwezi kuhalalisha maamuzi mabovu na pengine ya makusudi ya refarii. Ni vyema haki ikatendeka na mshindi akasaidiwa rasilimali za kumuwezesha kushiriki.Punguza munkari uilewe hoja yangu mkuu,
Hili Kombe bila 'kudhibitiwa' litatupa bingwa wa Hovyo na mwishowe sisi kama Taifa tutaenda kupata aibu kimataifa pale mshindi huyu atakapokutana na wababe wa África.
Fikiria Sahare awe bingwa alafu akutane na moja wapo kati ya hizi hatua za mtoano Nkana Red Devils/ Gor Mahia/ Raja Casablanca/ El Masry au Township Rollers hapo si atabugizwa kapu la magoli ya kutosha na itakuwa fedheha kwa Taifa!!!
Hivyo kwa namna yoyote, hili kombe japo Namungo katangulia fainali lakn bingwa ni lazima awe Simba au Yanga kwa MANUFAA MAPANA YA Taifa, kwasababu wakubwa hawa wana mtaji ( mashabk, fedha, quality ya wachezaji) wa kuwawezesha kupambana na hao magiants wa nchi zingine!
Vilabu vya nchi yako vinapofanya vizuri kimataifa basi unakaribisha hata mawakala kuja kupiga hodi ktk ligi ya nchi yako kusaka vipaji, Kama uonavyo Tp Mazembe na As Vita inavyowawia rahisi kuuza wachezaji wao Ulaya na ht kwa Vilabu vingne vikubwa africa wakati hii nchi iko jirani tu na sisi.
Hvyo ikitokea bingwa akawa Simba basi aliyeshika nafasi ya pili Vodacom Premier League ndio atawakilisha nchi ktk shirikisho!!!!
Hoja yako haiwezi kuhalalisha maamuzi mabovu na pengine ya makusudi ya refarii. Ni vyema haki ikatendeka na mshindi akasaidiwa rasilimali za kumuwezesha kushiriki.
14/15 alishika nafasi ya 14, 15/16 akawa bingwa ✔Sio kweli, msimu aliopanda almnanusura ashuke daraja
Msimu aliokuwa bingwa ni msimu uliofatia, weka kumbukumbu zako sawa mkuu, hakutoka kupanda daraja hadi kuwa bingwa,14/15 alishika nafasi ya 14, 15/16 akawa bingwa ✔
Nadhani huelewi mkuu. Nimeandika hapo baada ya kunikumbusha, na ndio maana niliweka "kama nakumbuka vizuri".Msimu aliokuwa bingwa ni msimu uliofatia, weka kumbukumbu zako sawa mkuu, hakutoka kupanda daraja hadi kuwa bingwa,
Nimekuelewa sasaNadhani huelewi mkuu. Nimeandika hapo baada ya kunikumbusha, na ndio maana niliweka "kama nakumbuka vizuri".
Narudia kama hapo juu, msimu wa 14/15 aliishia nafasi ya 14 kwenye msimamo wa ligi na msimu wa 15/16 akawa bingwa. Au unazungumzia msimu wa 2003 huko?
hayo maslai mapana ya taifa ndio mnatapeli watu watu wanaacha kazi zao na wanatumia pesa zao kuja uwanjan kumbe mshindi ashajulikana kabla ya mechi kuanza huo cniutapeli na watu wakisusa kuja uwanjan itakuwa ni maslahi.ya nani?Ingekuwa bingwa wa KOMBE hili haendi kuwakilisha kimataifa basi Sahare angeshinda lakn kwakuwa TAIFA linahitaji muwakilishi mwenye uwezo wake basi lazima angalau tupate muwakilishi mwenye msuli kwa namna yoyote ile.
KOMBE la shirikisho África unaenda kukutana na timu bora za nchi mbalimbali sasa huyó Sahare hana ubavu wa kifedha wala uwezo wa wachezaji kushindana zaidi ataenda kulitia aibu Taifa letu kwa kubugizwa magoli ya kutosha.
Tumeyaona hayo kwa Mtibwa alipopata nafasi, round ya pili tu kakutana na Viper ya Uganda akapigwa nje ndani kipigo cha aibu
Walikua Kampala City Council Bhana...Fanya Ku edit hapo...Hao KCCA wanaweza kuinyoosha timu yeyote ile hapa East Africa mini Mtibwa wauliza Azam Kagame Cup walikutana Mara mbili akaoshwa zote...ni timu yenye ubora kama Simba...Azam...Gormahia au Yanga.Ingekuwa bingwa wa KOMBE hili haendi kuwakilisha kimataifa basi Sahare angeshinda lakn kwakuwa TAIFA linahitaji muwakilishi mwenye uwezo wake basi lazima angalau tupate muwakilishi mwenye msuli kwa namna yoyote ile.
KOMBE la shirikisho África unaenda kukutana na timu bora za nchi mbalimbali sasa huyó Sahare hana ubavu wa kifedha wala uwezo wa wachezaji kushindana zaidi ataenda kulitia aibu Taifa letu kwa kubugizwa magoli ya kutosha.
Tumeyaona hayo kwa Mtibwa alipopata nafasi, round ya pili tu kakutana na Viper ya Uganda akapigwa nje ndani kipigo cha aibu
Ulichokiandika kina ukweli mchungu sana...maana kosa ni la vilabu vyenyewe havina pesa vifanye mambo mengine...Mpira ni pesa ubora unakuja automatically.Punguza munkari uilewe hoja yangu mkuu,
Hili Kombe bila 'kudhibitiwa' litatupa bingwa wa Hovyo na mwishowe sisi kama Taifa tutaenda kupata aibu kimataifa pale mshindi huyu atakapokutana na wababe wa África.
Fikiria Sahare awe bingwa alafu akutane na moja wapo kati ya hizi hatua za mtoano Nkana Red Devils/ Gor Mahia/ Raja Casablanca/ El Masry au Township Rollers hapo si atabugizwa kapu la magoli ya kutosha na itakuwa fedheha kwa Taifa!!!
Hivyo kwa namna yoyote, hili kombe japo Namungo katangulia fainali lakn bingwa ni lazima awe Simba au Yanga kwa MANUFAA MAPANA YA Taifa, kwasababu wakubwa hawa wana mtaji ( mashabk, fedha, quality ya wachezaji) wa kuwawezesha kupambana na hao magiants wa nchi zingine!
Vilabu vya nchi yako vinapofanya vizuri kimataifa basi unakaribisha hata mawakala kuja kupiga hodi ktk ligi ya nchi yako kusaka vipaji, Kama uonavyo Tp Mazembe na As Vita inavyowawia rahisi kuuza wachezaji wao Ulaya na ht kwa Vilabu vingne vikubwa africa wakati hii nchi iko jirani tu na sisi.
Hvyo ikitokea bingwa akawa Simba basi aliyeshika nafasi ya pili Vodacom Premier League ndio atawakilisha nchi ktk shirikisho!!!!
TFF na Wizara zinadeal na timu ya taiga.Club ni private owned...unalijua hill?Kama nakumbuka vizuri, Leceister alipanda na moja kwa moja akaenda mpaka UEFA, nadhani kila jambo lina mwanzo, kama kimchezo mmeshindwa kumshinda, angewezeshwa tu kuiwakilisha nchi vyema, TFF na wizara husika si zipo?