Azam FC yamtupia vilago Mshambuliaji Yahya Mohammed raia wa Ghana


Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
17,647
Likes
51,682
Points
280
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
17,647 51,682 280
25968688bf861b5009d7a7073184c353.jpg
Klabu ya Azam FC imeachana na Mshambuliaji wake Yahya Mohammed raia wa Ghana baada ya kushindwa kufanya vizuri kufuatia makubaliano ya pande zote mbili.

Yahya alikuwa na mkataba wa miaka miwili na Klabu hiyo lakini kutokana na kushindwa kutimiza vizuri majukumu yake jana uongozi ulikaa na mchezaji huyo kabla ya kufikia maamuzi ya kuachana naye.

Msemaji wa klabu hiyo Jaffer Idd amesema baada ya kuondoka kwa mchezaji huyo uongozi unatafuta mbadala wake ambaye anaweza kutoka ndani au nje ya nchi.

"Ni rasmi kuanzia jana tuliachana na mchezaji wetu Yahya Mohammed baada ya makubaliano ya pande zote na leo ataondoka kuelekea kwao Ghana", alisema Jaffer.

Jaffer amesema mchezaji huyo amepewa barua yake na wamemtakia kila la heri katika maisha yake ya soka.

Mchezaji huyo alichangia kwa kasi kikubwa ubingwa wa ubingwa wa michuano ya mapinduzi iliyofanyika Zanzibar huku pia akiwa ndiye aliyefunga bao la kwanza la Azam msimu huu.
 
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Messages
14,585
Likes
26,149
Points
280
Age
75
Viatu vya Samaki

Viatu vya Samaki

JF-Expert Member
Joined May 11, 2015
14,585 26,149 280
Aende Lipuli au Yanga
 
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
17,647
Likes
51,682
Points
280
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
17,647 51,682 280
Bado Boko, Gyan, Luizio na Mavugo kwa upande wa mnyama
Mkuu.. Hivi Nicholas Gyan kipimo cha kujua kuwa hajaleta mafanikio ni kipi? Maana naona anasugua benchi tu.

Kocha Omog ampange ili tujidhihirishe hata dakika chache za mwisho, aache kumweka benchi
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
11,456
Likes
9,856
Points
280
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
11,456 9,856 280
Mavugoo katika sauti ya Msaga sumu
 

Forum statistics

Threads 1,235,546
Members 474,641
Posts 29,226,358