Azam FC yaitwanga Horseed jumla ya bao 4-1 na kufuzu raundi ya kwanza. Kukutana na Pyramid ya Misri

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,441
7,780
Leo timu ya soka Azam iko kwenye hatua za awali za kombe la shirikisho, mechi ya kwanza Azam iliibuka na ushindi wa 3-1. Kwa sasa mechi inaelekea mapumziko na Azam inaongoza kwa goli 0-1 goli lililofungwa na Ismail Kader dakika ya 37. Aggregate Horseed 1-4 Azam. Horseed inahitaji magoli matatu kuweka uwanja sawa

Azam ikifuzu leo itakutana na Pyramids ya Misri kwenye hatua ya pili kombe la shirikisho barani Afrika

37' ⚽ Ismail Kader anaitanguliza Azam kwa shuti kali linamuacha mlinda mlango wa Horseed akigaagaa chini

90+4' Kipenga kinapiliza kuashiria mwisho wa mchezo. Horseed 0-1 Azam FC
 
Leo timu ya soka Azam iko kwenye hatua za awali za kombe la shirikisho, mechi iliyochezwa ya awali Azam iliibuka na ushindi wa 3-1. Kwa sasa mechi inaelekea mapumziko na Azam inaongoza kwa goli 0-1 goli lililofungwa na Ismail dakika ya 37. Aggregate Horseed 1-4 Azam. Horseed inahitaji magoli matatu kuweka uwanja sawa
Imekwisha hio

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Azam wanafuzu hatua hii,timu zote zimetutoa kimasomaso kasoro Misukule f.c tu ndo wametia aibu taifa.
 
Hatuna cha kuwadai

Pyramid level yao ni CL, wapo shirikisho kwasababu ligi yao ina Ahly na Zamalek.
Azam wakomae tu, hao Pyramid ni wazuri lakini naamini wanafungika, concentration is everything defence and attack.

Nataka Azam waende makundi, wawe serious.
 
Back
Top Bottom