Azam FC Washusha Basi Jipya-Kiu- laya Ulaya

crewe_team_bus_16349.jpg

basi la Mani U

Mkuu ilo sio basi la Man U, nenda kagoogle tena...
 
Wewe umeandika au umecopy na ukaja kupaste hapa?

Hiyo hela imetoka kwa Bakhresa nimekwambia Azam Fc wanaingiza mapato gani hadi wanunue hilo bus?

Mkuu mpuuze mithili ya Ndugai dhidi ya wabunge mapepe pale mjengoni, hajui mambo ya 'corporate entities'.
 
GUD.bado club ya simba tutaleta kali zaidi muda si mrefu

Unajua bei yake? Unataka kujenga ghorofa na pesa huna! Majuzi tu timu imekopeshwa na IAR $ 5,000 na hakuanza juzi, huwa anawakopesha mara kwa mara (Rage, 2013). Kwa mwendo huu, jipime kama klabu yako inaweza kununua hata basi la 50m/=.
 
Ndiyo, wana Yutong za Kichina kama ilivyo Higer pia, tatizo liko wapi sasa? Ushamba wa 'mashikolo mageni' ndio unaosumbua watu hadi kuanza kushangilia mambo ya kawaida tu.

Mkuu,
Usisahau kuangalia makubwa mengi ya AZAM FC kwa kuingia/gonga hapa: https://www.jamiiforums.com/sports/166362-the-official-azam-fc-thread.html maana hili basi ni sehemu tu muendelezo wa makubwa ikiwemo mshindano ya Kombe La Shirikisho la Afrika kufanyika ktk uwanja wa nyumbani Chamazi Complex n hivyo kuwa source nyingine ya mapato ya mauzo ya tiketi, mabango ya wadhamini n.k.

Wakongwe endeleeni kuwafungia viongozi wenu milango ya ofisi za klabu na maandamano, sisi tunaendelea mkistuka Kombe la Ubingwa wa Ligi Tanzania laenda Azam FC.
 
Ha ha ha ha haaa wewe kweli mbulula kukosa hao tbl kuwanunulia mgekuwa mnaendelea kupanda mabasi yenu yalio andikwa k/koo - mbagala mpaka mgekufa..... Azam hoyeeeeeeeeeeeeee.
 
Basi lenyewe HIGER la kichina si Kama YUTONG tu,man u au real Madrid ,Barcelona hawawezi kupanda gari la mchina ..Azam wanunue Hadi ndege ubingwa wasahau..unacheza na zengwe
 
Mkuu bagamoyo kwa umri nilio nao; hata kama Azam watachukua ubingwa miaka yote ya uhai wangu uliosalia katu/kamwe haitatokea wapate ubingwa mara 24 kama mabingwa Yanga au hata mara 18 kama wachovu Simba kabla sijalala kaburuni. Nadhani umenielewa vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Basi lenyewe HIGER la kichina si Kama YUTONG tu,man u au real Madrid ,Barcelona hawawezi kupanda gari la mchina ..Azam wanunue Hadi ndege ubingwa wasahau..unacheza na zengwe

tafuta kamusi ndugu yangu
 
Ha ha ha ha haaa wewe kweli mbulula kukosa hao tbl kuwanunulia mgekuwa mnaendelea kupanda mabasi yenu yalio andikwa k/koo - mbagala mpaka mgekufa..... Azam hoyeeeeeeeeeeeeee.

Kwani hao Azam kama siyo SSB hilo basi wangelipata wapi? Inawezekana hujui tofauti iliyopo kati ya Azam FC na makampuni ya SSB! Endelea kushabikia ujinga. Hebu fikiria kama Skandinavian Express Ltd ingekuwa na timu ya mpira, hiyo timu leo ingekuwaje? Au hata kampuni ya Mwanamboka ingekuwa na timu, hali ingekuwaje? TRC ilipokufa na Reli FC ilikufa. Azam nayo itakufa hivyo hivyo!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom