Si kweli, Al Ahly ni wazuri kuliko hawa watunisia.mabeki wa Azam wazito sana kucheza krosi na imewagharimu. ila pia hawa waarabu wa leo wangekuwa wa jana Yanga wangeondoka na kapu maana wana determination ya ushindi wale wa jana walikua doro wakicheza kiuoga sana
halafu Boko amekua JIPU hapo mbele kwa kukosa na kusaidia safu ya ulinzi ya Esperance
sijui kiwango chako cha weledi wa soka lakini pia UZURI ni relative......mpira una S tatu na kuna S moja watunisia wamwazidi Al AhlySi kweli, Al Ahly ni wazuri kuliko hawa watunisia.
Si kweli, Al Ahly ni wazuri kuliko hawa watunisia.
Fafanuasijui kiwango chako cha weledi wa soka lakini pia UZURI ni relative......mpira una S tatu na kuna S moja watunisia wamwazidi Al Ahly
Edo Kumwembe amekuumbua sasa, kwamba Al Ahly ni wazuri kuliko Esperance, na kama Azam wangecheza na Al Ahly nadhani wangeondoka na lumbesa za magori! !! !mpira pia una B tatu kuna B moja Al Alhly wamewazidi Watunisia ila Ukizungumzia soka la ushindani, Esperance wako juu kwa mechi hizi mbili za ugenini tulizoona jana na leo ....najua Ahly watakua vizuri zaidi kwao lakini waswahili husema HAMADI KIBONDONI
Hi unawezaje kumuona Eddo Kumwembe kama Mungu wa Mpira? mm wala sisikilizi hao najitathmini kwa utashi uoefu na weledi wangu .usipende sana kushikiwa akiliEdo Kumwembe amekuumbua sasa, kwamba Al Ahly ni wazuri kuliko Esperance, na kama Azam wangecheza na Al Ahly nadhani wangeon doka na lumbesa za magori! !! !
But Al Ahly ni wazuri kuliko Esperance FC!!!!
WAWA ameumiaSafiiiiiiiiiii Azammmmmmmmmmmmmmm
Tatizo la AZAM ni uwezo wa kulinda magoli ndio issue.
Waliwahi kushinda hapa nyumbani wakapigwa nne kwao