AZAM FC TV - Yaonyesha Njia Kujiendesha Kibiashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

AZAM FC TV - Yaonyesha Njia Kujiendesha Kibiashara

Discussion in 'Sports' started by bagamoyo, Oct 3, 2012.

 1. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 3,607
  Likes Received: 1,197
  Trophy Points: 280
  Timu ya soka ya AZAM FC inaonyesha njia za kisasa kuendesha timu za soka Tanzania pia Afrika Mashariki na kuzipiku timu kongwe kama Young Africans (YANGA) au SIMBA au GOR MAHIA.

  - Vision and Mission kunyakua makombe maarufu ya soka Afrika
  - Uwanja wa klabu Chamazi Dar-es-Salaam
  - Hostel, gym, canteen
  - Under 20 team
  - TV/website

  - n.k tizama clip


  video kwa hisani ya khaleed mohd
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. RR

  RR JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,675
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Una hakika innajiendesha kibiashara? Kwamba timu inajiendesha kibiashara?
  sio hisani ya bakhresa tu?
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 45,281
  Likes Received: 10,912
  Trophy Points: 280
  "Kibiashara" my foot!

  Afu we hulalagi? Haya jiandae twenzetu tukavae kandambili Taifa pale. Leo sijui tuongeze dozi au?
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  hiyo demo ambayo wanataka ushauri nini kiongezeke na nini kifanyike ili unapoanzisha kitu watazamaji wakielewe..
   
 5. RR

  RR JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,675
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Well.....umesomeka.....
  Kandambili muhimu sana....hasa bafuni kuoga...

  kanda2.jpg

   
Loading...