Azam fc nyumba yenye wajenzi lukuki lakini imeanza kuvuja

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Wadau hii timu ya Azam inatatizogani? ni mgomo baridi wa wachezaji, kocha ni wa kuungaunga au vipi? maana ni moja ya timu zilizosheheni wachezaji wazuri.
 
Sure ni kama man city! ... Ilikuwa na wachezaji lukkuki wazuri
 
Back
Top Bottom