Azam FC kwa hili nao wahesabiwe kuwa ni washirikina?

Sijaelewa lugha ya picha tafadhali eleza kwa maandishi ni nini hiko?
 
TFF nao naona kamà ni nyuki wa mashineni tu. Wanashindwa kushikilia sheria zifuatwe! Itakuwa sasa ni mazoea kwa kila timu kupitia sehem zisizoruhusiwa. Hapo adhabu inawahusu kabisa.
Wasimamizi wa uwanja wanashiriki hayo mambo ya kizamani funguo walipata wapi azam au yanga mpaka wapite ule mlango? Ni swali linalotakiwa kujibiwa na mkurugenzi wa uwanja
 
Unajua maana ya dharura? Emergency exit door huwa haufungwi kukiwa na watu uwanjanì
 
Fununu zimezagaa mikia wanapulizia dawa za usingizi. Hii siyo utani.
 
Nani wa kulaumu? TFF. ni lazima sheria kali ziwe zinachukuliwa kwa team yoyote inayofanya vitendo vya kuonyesha ushirikina. sheria ziko na lazima zifuate. nimeshangaa sana Azam wameingia kwenye mkumbo huo team ukisha ikabidhi kwa waswahili tu haya ndio matokeo. aibu kubwa sana kwa mpira wa Tz. badala ya kujiandaa bado tunawekeza kwa wachawi hawa basi hizo team za mikoa yenye wachawi wangekuwa mabingwa kila siku na sisi naona tungekuwa kombe la Africa huko au W.cup. bahati mbaya wachawi hawajawahi kushinda chochote Africa, Simba ni wazuri sababu kuna uwekezaji mzuri na mipango mbona wakati wako hoi hawana kitu na matokeo yalikuwa mabovu. Mo na board yako piga marufuku ujinga huu na wenye Azam fukuza waliofanya haya mnapotea na zaidi TFF mko wapi?
 
Unajua maana ya dharura? Emergency exit door huwa haufungwi kukiwa na watu uwanjanì
Tobaaaaa! ushafika uwanja wa mkapa wewe kwenye mechi zilizopita ukiachilia hii iliyoanzishwa na yanga? Acha kuandika kinazi najua wewe ni shabiki wa yanga ila kwa hili inaonyesha hujui lolote
 
Nani wa kulaumu? TFF. ni lazima sheria kali ziwe zinachukuliwa kwa team yoyote inayofanya vitendo vya kuonyesha ushirikina. sheria ziko na lazima zifuate. nimeshangaa sana Azam wameingia kwenye mkumbo huo team ukisha ikabidhi kwa waswahili tu haya ndio matokeo. aibu kubwa sana kwa mpira wa Tz. badala ya kujiandaa bado tunawekeza kwa wachawi hawa basi hizo team za mikoa yenye wachawi wangekuwa mabingwa kila siku na sisi naona tungekuwa kombe la Africa huko au W.cup. bahati mbaya wachawi hawajawahi kushinda chochote Africa, Simba ni wazuri sababu kuna uwekezaji mzuri na mipango mbona wakati wako hoi hawana kitu na matokeo yalikuwa mabovu. Mo na board yako piga marufuku ujinga huu na wenye Azam fukuza waliofanya haya mnapotea na zaidi TFF mko wapi?
Kweli lazima jitihada zichukuliwe ili kueoukana na aibu hii
 
TFF nao naona kamà ni nyuki wa mashineni tu. Wanashindwa kushikilia sheria zifuatwe! Itakuwa sasa ni mazoea kwa kila timu kupitia sehem zisizoruhusiwa. Hapo adhabu inawahusu kabisa.

Ni adhabu hata kwa aliyewafungulia au kuwapa ufunguo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom