AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,658
- 2,804
Hii imetokea Leo kwenye mechi dhidi ya simba
Sijaelewa lugha ya picha tafadhali eleza kwa maandishi ni nini hiko?
Walipita mlango wa dharula badala ya lango kuu pia hawajaingia vyumbani... maelezo ya videoSijaelewa lugha ya picha tafadhali eleza kwa maandishi ni nini hiko?
YesWalipita mlango wa dharula badala ya lango kuu pia hawajaingia vyumbani... maelezo ya video
Ubarikiwe na ndugu JF😂😂Walipita mlango wa dharula badala ya lango kuu pia hawajaingia vyumbani... maelezo ya video
TFF nao naona kamà ni nyuki wa mashineni tu. Wanashindwa kushikilia sheria zifuatwe! Itakuwa sasa ni mazoea kwa kila timu kupitia sehem zisizoruhusiwa. Hapo adhabu inawahusu kabisa.Ubarikiwe na ndugu JF😂😂
Wasimamizi wa uwanja wanashiriki hayo mambo ya kizamani funguo walipata wapi azam au yanga mpaka wapite ule mlango? Ni swali linalotakiwa kujibiwa na mkurugenzi wa uwanjaTFF nao naona kamà ni nyuki wa mashineni tu. Wanashindwa kushikilia sheria zifuatwe! Itakuwa sasa ni mazoea kwa kila timu kupitia sehem zisizoruhusiwa. Hapo adhabu inawahusu kabisa.
Unajua maana ya dharura? Emergency exit door huwa haufungwi kukiwa na watu uwanjanìWasimamizi wa uwanja wanashiriki hayo mambo ya kizamani funguo walipata wapi azam au yanga mpaka wapite ule mlango? Ni swali linalotakiwa kujibiwa na mkurugenzi wa uwanja
Wanaogopa kupuliziwa dawa kama Al ahly.... Simba wanaroga sanaTFF nao naona kamà ni nyuki wa mashineni tu. Wanashindwa kushikilia sheria zifuatwe! Itakuwa sasa ni mazoea kwa kila timu kupitia sehem zisizoruhusiwa. Hapo adhabu inawahusu kabisa.
Tobaaaaa! ushafika uwanja wa mkapa wewe kwenye mechi zilizopita ukiachilia hii iliyoanzishwa na yanga? Acha kuandika kinazi najua wewe ni shabiki wa yanga ila kwa hili inaonyesha hujui loloteUnajua maana ya dharura? Emergency exit door huwa haufungwi kukiwa na watu uwanjanì
Kweli lazima jitihada zichukuliwe ili kueoukana na aibu hiiNani wa kulaumu? TFF. ni lazima sheria kali ziwe zinachukuliwa kwa team yoyote inayofanya vitendo vya kuonyesha ushirikina. sheria ziko na lazima zifuate. nimeshangaa sana Azam wameingia kwenye mkumbo huo team ukisha ikabidhi kwa waswahili tu haya ndio matokeo. aibu kubwa sana kwa mpira wa Tz. badala ya kujiandaa bado tunawekeza kwa wachawi hawa basi hizo team za mikoa yenye wachawi wangekuwa mabingwa kila siku na sisi naona tungekuwa kombe la Africa huko au W.cup. bahati mbaya wachawi hawajawahi kushinda chochote Africa, Simba ni wazuri sababu kuna uwekezaji mzuri na mipango mbona wakati wako hoi hawana kitu na matokeo yalikuwa mabovu. Mo na board yako piga marufuku ujinga huu na wenye Azam fukuza waliofanya haya mnapotea na zaidi TFF mko wapi?
Labda hajagi taifaTobaaaaa! ushafika uwanja wa mkapa wewe kwenye mechi zilizopita ukiachilia hii iliyoanzishwa na yanga? Acha kuandika kinazi najua wewe ni shabiki wa yanga ila kwa hili inaonyesha hujui lolote
TFF nao naona kamà ni nyuki wa mashineni tu. Wanashindwa kushikilia sheria zifuatwe! Itakuwa sasa ni mazoea kwa kila timu kupitia sehem zisizoruhusiwa. Hapo adhabu inawahusu kabisa.