Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Wajuba Leo kuna Mechi Ya Kombe la Shirikisho La Azam( Azam Sports Federation Cup)
.
Mechi hyo ni Kati ya Azam FC v. Polisi Tanzania.
.
Mechi itachezwa Sa2:15 Kwa Saa za Africa Mashariki Uwanja wa Azam Complex Chamazi Dar Es Salaam
.
Je ni Nani atafuzu Kucheza Na Coastal Union ya Tanga?