Azam cola

Kipis

JF-Expert Member
Jul 23, 2011
492
61
Ni kiburudisho kilichotokea kupendwa na jamii ya kitanzania na hata nnje ya mipaka yetu,chakushangaza kiburudisho hiki kimekukuwa adimu kwa siku za hivi karibuni.
Kuna tetesi nimezisikia kuwa,uzalishaji umesimamishwa kutokana na jina la mwisho linalotumika kwenye kinywaji hicho,(cola) kulalamikiwa na moja ya kampuni hapa nchini. Kama kuna mwenye taarifa sahihi kuhusu hili atujuze pls!
 
COLA
abbr.
cost-of-living adjustment
co·la 1 (kl)
n.
A carbonated soft drink containing an extract of the cola nut and other flavorings. Also called regionally dope.
co·la 2 (kl)
n.
Plural of colon1.
co·la 3 (kl)
n.
A plural of colon2.
co·la 4 also ko·la (kl)
n.
Either of two tropical African evergreen plants (Cola acuminata or C. nitida) having reddish fragrant nutlike seeds yielding an extract that contains caffeine and theobromine and is used in carbonated beverages and pharmaceuticals.
[Of West African origin; akin to Temne kla, kola nut.]


The American Heritage® Dictionary of the English Language, Fourth Edition copyright ©2000 by Houghton Mifflin Company. Updated in 2009. Published by Houghton Mifflin Company. All rights reserved.
cola1, kola [ˈkəʊlə]
n
1. (Life Sciences & Allied Applications / Plants) either of two tropical sterculiaceous trees, Cola nitida or C. acuminata, widely cultivated in tropical regions for their seeds (see cola nut)
2. (Miscellaneous Technologies / Brewing) a sweet carbonated drink flavoured with cola nuts
[from kola, probably variant of Mandingo kolo nut]
 
wish people could know maana ya hiyo cola..wasingekunywa soda za aina hiyo kamwe
 
nyie wa azamcola mimi nina bomu la fanta yenye uchafu kama mnataka kuiua cocacola tukubaliane niwape hilo dili.
 
we ni mbinafsi tena sana kama unajua umefnya nini ili kuwajuza watu wengine au unataka ujue wewe, watanzania bwana, nyiendo akina dk kafumu! vyeti vingi ila matokeo hatuyaoni!
 
Last week we're discussing on Azam Cola na Azam Juices (of various brands)...... nasikia hakuna ubora though utasikia utamu mwingi tu na flavours za matunda husika....... Mwenye data kamili za ubora anijuze.........
 
vinywaji vya azam wanaweka supa shuga (ile k.k ya METL iliyopigwa marufuku siku za nyuma) ndio maana tamu sana na vina addiction.
 
Tetesi za azam cola kusimamishwa production nimezisikia, na inayopatikana sasa ni ile iliyo ktk stock za wafanya biashara.
 
cola haina hati miliki ya mtu mmoja inaruhusiwa mradi anakidhi vile viwango vya kimataifa na apata ruhusa ya kusajili kupitia BRELA na WIPO since cola ni internationa brand. sijui kama ina viwango hivo-
 
Back
Top Bottom