Kipis
JF-Expert Member
- Jul 23, 2011
- 492
- 61
Ni kiburudisho kilichotokea kupendwa na jamii ya kitanzania na hata nnje ya mipaka yetu,chakushangaza kiburudisho hiki kimekukuwa adimu kwa siku za hivi karibuni.
Kuna tetesi nimezisikia kuwa,uzalishaji umesimamishwa kutokana na jina la mwisho linalotumika kwenye kinywaji hicho,(cola) kulalamikiwa na moja ya kampuni hapa nchini. Kama kuna mwenye taarifa sahihi kuhusu hili atujuze pls!