Azam acheni uzushi tuonesheni penalty ya Yanga ilivyopatikana

Omulasil

JF-Expert Member
May 5, 2015
4,785
2,000
Lawama zinawafukiaje Azam?

Bora hata weed kuliko uvutaji wa pilipili mwendokasi
 
G'son

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
725
500
Balaa limeanza mapema hadi game ya kirafiki vyura wanabebwa aisee
 
babu na mjukuu

JF-Expert Member
Jun 23, 2016
2,839
2,000
Je imetokeaje mpira umetoka nje kisha ukarudi ndani na beki akaushika inakuwa penalty?

Hakuna faida yoyote kuibeba yanga kwenye mechi ya kirafiki
Taarifa zenu za kipigo mlichokipata asubuhi tunazo. Mnakuja kupoza machungu humu.
Kufungwa wafungwe Mlandege. Hawana malalamiko. Kuwashwa muwashwe ninyi!!!
 
Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,774
2,000
Shule muhimu sana. Lecturer wangu mmoja alishawahi kusema wasio na elimu utawaona tu hata wanachoandika. Mhusika kaandika green worries wewe unaandika yako. Mkiambiwa elimu ndiyo ufunguo wa kuelewa hamsikii. Unasoma na bado huelewi. Unaandika kitu kingine na mwenzio kaandika kingine.sisi wenye akili tunagundua vitu ambavyo nyie vilaza hamvioni.

Mzee wewe ndio wa kwenda shule,green warriors huijui ni timu gani kweli,while mwaka juzi waliwatia kimoko pale taifa na kuwatoa kwenye kombe la fa
 
Nas Mapesa

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
4,401
2,000
Shule muhimu sana. Lecturer wangu mmoja alishawahi kusema wasio na elimu utawaona tu hata wanachoandika. Mhusika kaandika green worries wewe unaandika yako. Mkiambiwa elimu ndiyo ufunguo wa kuelewa hamsikii. Unasoma na bado huelewi. Unaandika kitu kingine na mwenzio kaandika kingine.sisi wenye akili tunagundua vitu ambavyo nyie vilaza hamvioni.
We mkia mbona una hasira sana?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom