Azam acheni mambo haya ya Hovyo. Tusifanyiane Uhuni Tafadhali

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,355
11,500
Mimi nmejiunga Azam Max. Nalipia vizuri na nakuwa nmejiunga bundle la kutosha niweze angalia mechi za ligi ya ndani. Hasa team yangu pendwa ya Dar Young Africans inapocheza. Mechi ya pili hii nashindwa kwa kupata this msg kila mpira unapoanza.
Screenshot_20200202-161828.png
 
Back
Top Bottom