Azaa mapacha watano uingereza, aambiwa arudi kwao nigeria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Azaa mapacha watano uingereza, aambiwa arudi kwao nigeria

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mchakachuaji192, Jul 10, 2011.

 1. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  [h=1][​IMG][/h]​

  Bimbo akiwa na mapacha wake sita nchini Uingereza.
  [​IMG]....Kabla hajajifungua.
  MWANAMKE mmoja raia wa Nigeria, alipotambua ana ujauzito, aliamua kwenda Uingereza akitegemea watoto wange wangepata uraia wa nchi hiyo.

  Hata hivyo, baada ya kujifungulia huko, mamlaka za Uingereza zimepinga kutoa uraia kwa watoto hao, licha ya kuwa alifaidika kwa kuhudumiwa akiwa hospitali na mfuko wa bima ya afya.

  Mamlaka zilisema kwamba watoto wa mwanamke huyo, aitwaye Bimbo Ayelabola, (33), hawana haki ya moja kwa moja kuwa raia wa Uingereza, licha ya kuzaliwa nchini humo.

  Kwa mujibu wa utaratibu huo, mamlala zilisema ili kupata sifa hiyo, mmoja wa wazazi wa watoto hao angekuwa raia wa Uingereza.

  Muda wake wa kuishi Uingereza umemalizika Juni 27 mwaka huu na kwamba anaweza kuongezewa muda wa miezi mingine sita ya kuishi humo. Hata hivyo, Bimbo ameamua kulifikisha suala hilo mahakamani akisema uamuzi wowote wa kuwazuia watoto wake kupata uraia utakiuka Sheria ya Uraia wa Uingereza iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2009.

  Wakili wake alifafanua kuwa kipengelea cha sheria hiyo kinawalinda watu na kuwaruhusu kupata uraia kwa misingi ya kiafya.

  Bimbo alikuwa akimeza dawa za kuongeza nguvu alipokuwa nyumbani kwao Lagos, Nigeria, kabla ya kuamua kwenda Uingereza ambapo alipatiwa huduma ya bima ya afya ya dharura akitegemea kujifungua watoto wanne.

  Baada ya kujifungua watoto wanne, madaktari waligundua alikuwa na mtoto mwingine wa tano.

  Mwanamke huyo ametuma maombi Wizara ya Mambo ya Ndani aongezewe muda wa kuishi Uingereza kwani afya za watoto wake hazijaimarika.

  Mapacha wa Bimbo ni Yaseed na Samir, ambapo wa lkike ni Aqeelah, Binish na Zara ambao anasema hawawezi kupata msaada wa kuwalea kutoka kwa ndugu na marafiki zake ambao wengi wapo Uingereza.

  Mumewe aitwaye Obi (37), alikwenda Uingereza kumwona akiwa hospitali na alipogundua ana ujauzito wa mapacha, alirejea Nigereia.

  Wizara ya Mambo ya Ndani inasubiriwa kuona kama itamwongeza muda mama huyo, na inasemekana inatarajia kumpelekea ankara za huduma alizopewa mwanamke huyo hospitali.

  Bimbo amesema hana uwezo wa kulipia ankara hizo na sasa anasaidiwa na Stella (26) rafiki yake waliyekuwa naye tangu shuleni ambapo kila mtoto anahitaji huduma za Pauni 70 kila wiki.
  [​IMG].....Akifikiria mustakabali wake baada ya kuambiwa atarejea kwao Nigeria.
   
 2. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  umechakachua heading no fair is it?
   
 3. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  UK hawana sheria ya kuwapa uraia watoto wanaozaliwa nchi mwao kama wazazi wao sio raia wa UK , hiyo ni sheria ya USA ukizaliwa unakuwa raia moja kwa moja.
  Hacha na wanigeria wanajua sana hiyo sheria haipo wanataka huruma baada ya kuzaa watoto wengi anataka serikali ya uk ndio iwaudumie maana inafanya hivyo kwa kila raia wake, yeye harudi kwao nageria alikwenda kutibiwa tu,
  waafrika tunapenda sana lift anaogopa serikali yake sasa nataka kulahumu wengine

   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  I flew into Britain and had quins on the NHS..now we need to stay
  £200,000 ‘health tourism’ row

  [​IMG]

  A NIGERIAN mum who headed for Britain when she learned she was pregnant is battling to stay after having QUINS, The Sun can reveal.

  Bimbo Ayelabola, 33, had been taking twice the prescribed dose of a potent fertility drug while at home in Lagos.

  Within days of discovering she was expecting she obtained a visitor's visa for Britain.

  And she ended up getting the best treatment possible on the NHS following an emergency Health Service scan which showed she was expecting four babies.

  After months of taxpayer-funded care - costing an estimated £200,000 - Bimbo had a complex Caesarean op 32 weeks into her pregnancy on April 28.

  Doctors at Homerton Hospital, in Hackney, East London, then discovered there was a fifth baby.

  Now, two months later, Bimbo is applying to the Home Office to extend her stay in the UK because boys Tayseel and Samir and girls Aqeelah, Binish and Zara - although healthy - are too fragile to fly home.

  Bimbo is also arguing that there is no "support network" of family and friends left in Nigeria to help her bring up her kids because they are all in the UK already.

  Bimbo's husband Ohi, 37, is not. He came to Britain to visit her in hospital but fled back to Nigeria after discovering it was a multiple pregnancy and he faced being responsible for the brood.

  The Home Office will now decide whether to grant Bimbo a six-month extension of her visa which expired on June 27.

  Officials are also considering sending her a bill for the huge cost of her six months of care which included treatment by consultants, paediatricians, nurses, midwives, social workers and back-up staff. But Bimbo would be unable to pay anyway.

  She insists she had no idea she was expecting more than one child when she sought a UK visa after getting pregnant in November.
   
Loading...