Ayubu Sikagonamo wa CHADEMA atimiza siku 378 gerezani bila kuhukumiwa

Nitatetea watu wanao onewa.

Ila sina muda wa kutetea nyumbu wanaopimama ubavu kwa starehe zao.

Kama unaambiwa usifanye jambo fulani halafu wewe ukasema sikubali ni lazima nifanye, maana yake umeona unaweza kupambana.

Sasa umepigwa unatafuta huruma utafikiri sisi ndio tulikuta.
Wewe mbwa hata kupigwa risasi kwa tundu Lisu ulifurahia. Wewe una maslai katika uonevu na kutokutenda haki. Ni mnufaika wa ushetani
 
Justice for Ayoub...Chief Hangaya...sijui ameziba masikio au masikio yatoka damu....??
 
Na ndio maana wengi wetu ni mashujaa kwa utambulisho feki mitandaon kwa kuogopa zahma km hizo kwa siku hizo alizokaa ndani familia ingelijimudu VP labda
 
Dalili tosha za kuwa mnufaika wa ushetani. Umeamua kusimama upande wa ushetani lakini Utaki uambiwe kuwa upo upande wa ushetani. Mwana wa ibilisi na tamaa za baba yako ibilisi ndizo unazopenda kizitetea uonevu,uuwaji, kubambikia watu kesi ni vitu vinavyoufurahisha moyo wako.
Acha kulia lia na kujitetea kama unatoka kupigwa miti. Fungua hekalu basi uwaite wanywa mbege wenzio mhubiriane
 
Back
Top Bottom