ha ha haaa hongera.
Nakutamania unavyocheka!
Mi sijachekeshwa tangu juzi !
Mwache ex wangu.......
Una ma ex wangapi wewe...? Ndo maana una VVU
embu ngoja nikuulize Nyani Ngabu unadhani Bishanga alienda china kufuata nini ? Shauri yako akikasirikaga huwa anamuingia mtu puani kila unavyo pyenga ndo anazidi kupanda kwnd kwenye ubongo.
Lini alienda China? Passport yenyewe hana.
Lini alienda China? Passport yenyewe hana.
kwani usafiri wa ungo nao unahitaji passport? Shtuka!!!!!!!!!
Hey wewe Lady Doctor... Madame B recommended me to you for a certain procedure.....
Nakutamania unavyocheka!
Mi sijachekeshwa tangu juzi !
Pokea LIKE!
At my age ndo naona na kugundua hii leo!...shame on poor me!
Nimeamini niliyoambiwa zaidi ya miaka 20 iliyopita kuwa Calculus ni homa ya dunia!
Nakutamania unavyocheka!
Mi sijachekeshwa tangu juzi !
which procedure...................!?
ahahahahahha mi mwenyewe ndo ngastuka jana!
yani ningejua mapema ,wacha kabisa!ningekuwa bonge la mkali kwenye hesabu (@watu8 i hope bado hujaamka)