AY na RIHANNA

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Huyu jamaa Ambwene Yessaya ana wimbo wake mpya unaoitwa 'Speak with your body'. Huo wimbo una vionjo vya wimbo wa 'Teamo' wa mwanadafada Rihanna. Tetesi ni kwamba mwanadafada amepata nyuzz za wimbo wake kufanyiwa ufisadi na nasikia amemaindi kinomanoma. Habari chini ya kapeti zinanyuti kuwa wanasheri wa Rihanna wanapanga kumfungulia kesi Ambwene kwa kuiba vipande hivyo vya wimbo. Sasa najiuliza huyu dogo atatoka kweli hapa?
 
Ni kweli vionjo vinafanana ... na nikweli AY ... hakuvikrieti mweneywe!!?

Kwa hihi nani anapanda chati na nani anajishusha!!?
 
Huyu jamaa Ambwene Yessaya ana wimbo wake mpya unaoitwa 'Speak with your body'. Huo wimbo una vionjo vya wimbo wa 'Teamo' wa mwanadafada Rihanna. Tetesi ni kwamba mwanadafada amepata nyuzz za wimbo wake kufanyiwa ufisadi na nasikia amemaindi kinomanoma. Habari chini ya kapeti zinanyuti kuwa wanasheri wa Rihanna wanapanga kumfungulia kesi Ambwene kwa kuiba vipande hivyo vya wimbo. Sasa najiuliza huyu dogo atatoka kweli hapa?

Huyu ni miongoni mwa wasanii wanao kipigia chapuo chama cha Magamba unafikiri ataacha uchakachuaji? Si anafuata nyayo za baba zake wanao zeekea huku kwenye chama cha magamba
 
Prof jay aliimba "piga makofi" yearz after ikatoka "make it clap" ya buster nae angeshtaki? Kwanza kama ni kweli then Rihanna atampa AY umaarufu mkubwa sana while yeye atakuwa amejishusha...so it aint bad at all!!
 
ameimba kiswahili au kidhungu? Isije kuwa kama movie za kibongo title ya wageni huku lugha ndani kiswahili
 
ameimba kiswahili au kidhungu? Isije kuwa kama movie za kibongo title ya wageni huku lugha ndani kiswahili
<br />
<br />
Ameimba kiswanglish cha kukatikakatika ila katikati akachomekea teeeammooo....teeeeammmmooo. Rihanna amekasirika sana na amesema sheria lazima ichukue mkong'oto wake wakati anahojiwa na BET.
 
Mkuu hii issue kama after all ni ukweli itakuwa AY camp wanatafuta free publicity ili watu watafute mziki wake...., watu huwa wana sue ili wapate faida/fidia sasa mkuu unadhani AY anaweza akamfidia nini Rihanna..., hata cost tu za kufungua kesi zitakuwa kubwa kuliko pesa ambayo Rihanna anaweza akapata kwa AY

After all mtu ambae alishakuwa sued ni Rihanna mwenyewe kwamba aliiba content za kwenye wimbo wake cheki hapo chini

Rihanna Sued By David LaChapelle Over 'S&M' Video - Music, Celebrity, Artist News | MTV
Kwahiyo mkuu I smell a rat of old adage that there is no such thing as a Bad Publicity... na ukiangalia AY anagain kuhusu hii issue
 
AY ni msanii hodari na shupavu sana iyo nyimbo kaimba na lil romeo,mtoto wa master p,na nyimbo kairekodia studio za master p,no limit uko marekan.tungepata wasanii wengine japo kwa uchache wathubutu na jasiri km uyu jamaa hakika mzk wetu ungefika mbali sana..
 
Vionjo kivipi kama wamechukua sample za wimbo wa Rihana au wamechukua lyrics hilo obviously kosa kama kuna sehemu makelele yanafanana sidhani kama kuna shida.
 
Duuuhhhh.. imekula kwake.. kama ni kweli ila!!!!!!!!!!
 
Hakika katika nyimbo alizovuruga ay ni huu wimbo hausikiliziki ni kelele tu hohoooooooo, kweli wasanii wetu wana kazi kubwa, nilivyokuwa nategemea sicho nililichojionea aijulikani chorus ni ipi verse ni ipi poor lyrics poor raping hauwezi hata kidogo kuulinganisha wimbo huu na track ya dogo baghdad full ng'ang'ae, hii track ni bomba mara kumi ya hiyo speak with your body
 
kutumia vionjo vile sio kwamba ndio kuiba. mbona Ay alisha fanya sampling ya nyimbo kibao katika nyimbo zake na anazilipia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom