AY Atamani kukimbia!!!

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=kgSqhBi-DLc"]http://www.youtube.com/watch?v=kgSqhBi-DLc[/ame]
 
Sioni kama kunachochote kibaya,ila nafikiri tatizo ni kwa hao wanawafanyia interview upeo wao wa kufikiri ni mdogo sana kwahiyo wanachangia kuwachanganya na wageni wao pia...
 
Don't blame Ay (yeye ni Mlamatoke wa Mbeya, chingerezi na yeye ni maji na mafuta?) Nyimbo zake nyingi ni kiswahili kama sio "copy & paste" maneno machache tu ya Kizungu!. Ipo hivyo hata kwa wasinii wengine duniani, ili mradi unafikish ujumbe kwa lugha ile ambayo wengine wanakuelewa.

Hata Mwana FA nae anaonekana anatumia muda mwingi kufikiri kwa kiswahili ili aweze kujibu swali kwa kiingereza. Hili ndo tatizo la kuendekeza lugha za kigeni, akili inaumia mmo pale unapotakiwa kujibu kitaalamu.

Unaweza kuona hata majibu wanayotoa hayana maelezo ya kitaaluma zaidi kwa kuhofia kukosea lugha ( Ona Mwana FA na pamoja na Shahada yake ya Chuo Kikuu anajibu pasipo maelezo ya kina ya kudhirisha ufahamu wake wa yale anayojibu).

Niemwangalia pia Alikiba, yeye anaulizwa kizungu anataoa majibu kiswangilishi na pia hata muulizaji nae ni Mswangilishi.

Hopeless show, sijui inasaidia nini!.
 
Sasa dogo itabidi kidogo akapite kule kwa maimuna, Hata Sweet Potato & Sugar Banana anajipiga piga kwa vile anajua umuhimu wa soko la kimataifa. Japo atauza mziki wa Kiswahili lakini hili soko la kimataia linahitaji agressiveness na lugha hata ya kuwavuta wateja
 
sporah hapo kifuani mmmmh! she look good in that green top!
 
big up mzee wa komeshali, mi namkubali sana huyu bwana kijana wa foma Ifunda tech ni struggler toka kitambo, i rimemba those days wanashindana kiskuliskuli na hasa don bosco iringa dah i cant biliv is the Ambwene i know! jah kip him continue!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom