AY arudi shule; kujiunga na chuo fake?

Kwanza, NCC ni kitu gani?

Recognitions

NCC Education works closely with universities to offer an affordable way of getting an internationally recognised qualification. The International Degree Pathway offers a selection of programmes that lead to UK degrees and masters. The unique pathway allows you to study locally where and when it is convenient for your needs. The flexible modular approach means that whether you choose to study by module, by diploma or by degree, for each stage completed you are awarded a certificate.

All NCC Education qualifications are accepted by UK universities or for entry onto year 1, 2 and 3 of specific degree programmes with our partner universities. Exemptions are also available for NCC Education postgraduate diploma holders. To find out if the university of your choice accepts NCC Education graduates use the Recognition Search below. If the university you want to go to isn’t listed below, don’t worry, you can still apply through the University and Colleges Application Service (UCAS).
Articulations List

Over 50 universities worldwide accept NCC Education programmes as entry onto their degree programmes.

Source: http://www.nccedu.com/recognition/index.asp

Kisha tulinganishe na vyombo vyetu vya hapa nyumbani vinavyo ratibu hizo elimu za juu. Nimesoma kuna mjumbe kasema Tanzania haitambui NCC education system...

Pili, nijuavyo hiyo system ya NCC kutoa 1yr degree sio kitu cha ajabu, ishu ni kwamba certificate 6mth(appx), Diploma 1yr, Advance 1yr na degree 1yr. So unakuta ni same time na wale waliosoma kwa moja kwa moja.

Tatu, badala ya kusema hazina uzito pia tuangalie na content (silabasi) ya hizo levels, kuanzia cert mpaka hiyo degree na kisha tulinganishe na za kwetu.

Nne, nasikia jamaa wenyewe wenye NCC yao huwa wanafanya ukaguzi hapo IIT, Learn IT na kweingineko, je wanafanya vipi kuwashawishi wenye jina ikiwa hawafiki viwango vyao?

Tano, je hivyi vyuo vifungwe au mamlaka husika wavimulike na kuhakisha kuwa wanatoa elimu stahili?...

Mwisho, sijui mpango wa Tanzania nini ikiwa haitambui NCC education system. Kama hapatakuwa na utaratibu wa kumonitor hizi vyuo ndogo ndogo.

Weeend njema.
 
Wakati ma Dr wetu wa UDSM ni researchs tu..practical zero.

Haukuwa na haja ya kutaharuki, ulipaswa kuniambia kwa dhati kutoka katika moyo wako endapo unaweza kumshawishi mwanao akasome huko vichochoroni aache vyuo vikuu vyenye hadhi. Hilo la practical kama ni muhimu pia si lazima iwe chuoni unaweza kumpeleka mtoto wako kwa SHY akawa anamfutia CD ili baadaye awe marketable kwa maana masaa aliyotumia kwenye PC yatakuwa ni mengi pengine zaidi ya huyo wa learn IT.
 
I believe NCC is a reputed British institution, a commonwealth standard whose credentials are recognized even in the US.Hiyo course anayosoma AY ni equivalent na 17 credits/ more than first year at most IT courses in the US.Kwa hiyo kama AY ana mpango wa kuja kusoma US/UK this is an excellent way to start in bongo - at a very reasonable cost comparatively- na kuendelea US/UK, watu wanaosoma na kufuatilia IT Uingereza wanaweza kutusaidia.

I know chaps who started with this course in Bongo who are now running the IT nuts and bols on Wall St (it also takes a lot of personal initiative though)

http://www.ncc.co.uk
 
Baadhi ya vyuo ambavyo unaweza kujiunga navyo ukiwa umesoma NCC EDUCATION

University of Gloucestershire
University of Warwick
Anglia Ruskin University
Oxford Brookes University
London Metropolitan University
University of Abertay, Dundee
University of Gloucestershire
University of Greenwich
University of Huddersfield
University of Bedfordshire
Northumbria University
University of Portsmouth
University of Salford
University of Teesside
University of Wales, Bangor
Birmingham City University
University of Worcester
Southampton Solent University
Kingston University London
Nottingham Trent University
Staffordshire University
Thames Valley University
University of Northampton
University of Essex
University of Hertfordshire
University of Sunderland
University of Wales, Lampeter
Limkokwing University of Creative Technology (Malaysia)
Deakin University (Australia)
Buckinghamshire New University
Middlesex University
University of Plymouth
 
YOYO kama umefaulu vizuri O Level unaweza kusoma diploma na sio Advanced Diploma
ISW hata IRDP dodoma
 
Hawa jamaa walikuwa wanaruhusu kusoma diploma kama una credit 5 za O level lakini kuanzia mwaka huu lazima uwe form 6
ISW-Institute of Social Work
IRDP-Institute of Rural Development Planing
 
Jamani hata hao nao ilikuwa ni matatizo afadhali sasa hivi kuna regulatory body. Maana hapo kuna CBE etc. Ilikuwa ni hatari huko. Hope sasa tutakwenda vizuri maana admissions zote NACTE ndio wanaaprove.
 
Haukuwa na haja ya kutaharuki, ulipaswa kuniambia kwa dhati kutoka katika moyo wako endapo unaweza kumshawishi mwanao akasome huko vichochoroni aache vyuo vikuu vyenye hadhi. Hilo la practical kama ni muhimu pia si lazima iwe chuoni unaweza kumpeleka mtoto wako kwa SHY akawa anamfutia CD ili baadaye awe marketable kwa maana masaa aliyotumia kwenye PC yatakuwa ni mengi pengine zaidi ya huyo wa learn IT.


Sio kila mtanzania ana uwezo wa kununua compyuta nyumbani

Inaelekea hufahamu ukweli kuhusu BONGOLAND
 
Hii system mpya basi bongo......nijuavyo hakuna diploma ya mwaka 1 na adv diploma tanzania......diploma ni miaka miwiloi na adv diploma ni miaka mitatu.....

sasa iweje wewe usome miezi 12 upate diploma? hivi ndio tunaita vyuo vya mtaani....kwanza umeangalia qualification ya kuingia kwenye diploma kwanza?

nenda hata CBE leo na o level ya division one uone kama utakubaliwa ku join diploma....hapo unaanza na certicate mwaka 1 then ndio unaenda diploma miaka miwili.....muulize Ally mayai alianzia wapi....au Bonny pawasa..wale woote walikuwa form 4...

wewe kusoma pale na kupata kazi nzuri siahangai kwa system ya tanzania.....washangaa nini kama jabir kigoda form 4 feliya alikuwa "kizito' BOT.....

mkuu YoYo 'Tellem',heshima mbele..
jamani Jabir Kigoda ile kazi yake ya pale BOT haikuwa inahitaji degree ndugu yangu,hakuwa naibu gavana..lol!kwani kuwa messenger unahitaji qualifications kiasi gani??
 
On the question of diploma, the use of that word internationally and it's perception in the bongo mind.

Watu bongo wanalichukulia neno diploma totally differently.

Sasa hii "High School Diploma" ya watoto wanaomaliza High School US wataisemaje sijui?

Diploma si kiwango cha elimu, ni cheti kwamba umepata elimu fulani, kwa hiyo hata mtoto wa kindergatten anaweza kupata diploma akihitimu.

http://dictionary.reference.com/browse/diploma

di⋅plo⋅ma  /dɪˈploʊmə/ Show Spelled Pronunciation [di-ploh-muh] Show IPA noun, plural -mas, Latin -ma⋅ta  /-mətə/ Show Spelled Pronunciation [-muh-tuh] Show IPA , verb, -maed, -ma⋅ing.
Use diploma in a Sentence
–noun 1. a document given by an educational institution conferring a degree on a person or certifying that the person has satisfactorily completed a course of study.
2. a document conferring some honor, privilege, or power.
3. a public or official document, esp. one of historical interest: a diploma from Carolingian times.

–verb (used with object) 4. to grant or award a diploma to.
 
huyu ndio AY ?

afande.jpg
 
wewe kusoma pale na kupata kazi nzuri siahangai kwa system ya tanzania.....washangaa nini kama jabir kigoda form 4 feliya alikuwa "kizito' BOT.....[/QUOTE]

hapa umenena mkuu........
 
AY kamua kurudi shule kusoma international business.....ni jambo zuri lakini mhh chuo alichoamua kuchukulia nondo mbona kama utata.....sijui labda wana JF mna uhakika na hiki chuo.....
.: LEARNIT :. Institute of Business, Information, Communication & Technology .........

Ina maana msanii mkubwa kama ay hakupata watu wa kumshauri juu ya chuo kama hiki? nimeangalia wanatoa bachelor degree ya mwaka mmoja.....hii ni mpya kwangu.....

Source: BONGO STAR LINK: ELIMU HAINA MWISHO, NIMERUDI SHULE.

HEY THERE ALL OF UU
NO NEED TO FIGHT KIDS JUST CHECK OUT THIS THEN U WILL KNOW KAMA AY KACHAGUA CHUO FAKE OR NO?

International Diploma in Computer Studies​


International Diploma in Computer Studies​



International Diploma in Business Studies​


International Diploma in Business Studies​



International Diploma in Financial Management​


International Diploma in Financial Management​







International Diploma in Computer Studies​


International Diploma in Computer Studies​



International Diploma in Business Studies​


International Diploma in Business Studies​



International Diploma in Financial Management​


International Diploma in Financial Management​



International Advanced Diploma in Computer Studies​


International Advanced Diploma in Computer Studies​



International Advanced Diploma in Business Studies​


International Advanced Diploma in Business Studies​



International Advanced Diploma in Financial Management​


International Advanced Diploma in Financial Management​



BSc (Hons) in Business Information Technology​


BSc (Hons) in Business Information Technology​



BSc (Hons) in Business Studies​


BSc (Hons) in Business Studies​



Post Graduate (PgD) in Strategic Business IT​


Post Graduate (PgD) in Strategic Business IT​



Post Graduate (PgD) in Business Administration​


Post Graduate (PgD) in Business Administration​







International Computer Driving License​


International Computer Driving License​



Advanced Network Administration​


Advanced Network Administration​



Multimedia and Graphics Design​


Multimedia and Graphics Design​



Foundation Diploma in Business and IT​


Foundation Diploma in Business and IT​



Certified Information Systems Auditor (CISA)​


Certified Information Systems Auditor (CISA)​



Epicor​


Epicor​







January​


January​



April​


April​



July​


July​



September​


September​







Previous Events​


Previous Events​



Upcoming Events​


Upcoming Events​







h_faqs.jpg
Frequently Asked Questions by Students and Others who join Learnit
1. What is NCC?
About NCC Education. Originally part of the National Computing Centre founded in 1966, NCC Education started offering IT qualifications in the early 1970s. NCC Education currently offers courses ranging from ICT for schools, up to Bachelors and Masters level qualifications, awarded by leading UK Universities.
2. NCC Education is it recogised?
NCC Education courses are delivered by our worldwide network of over 300 Accredited Partners in 45 countries, or via NCC Education’s innovative online learning platform, Campus.
3. Is Learnit Accreditation?
Yes, Nacte has accredits Learnit institute of Business and Technology for NCC courses from Diploma level to Degree level.
4. When are Exams done? How post transfer and results are done?
NCC exams are usual done on Sunday the first week of March, June, September and December. If the student want to postpone his/her exam he/she should inform his Institute one month before the exams date and failure to do so will lead to the payment of GBP 50.00.The exams results usual are out after two months, it takes long time because they are taken to UK for marking.
5. When will I get my certificates?
When you are through with your exams it takes eight weeks to receive your results and it takes again eight weeks to get your certificate, which mean that it takes four months to receive your certificate after finishing your last exams
6. How are the faculty of Learnit? are they qualified enough to teach us?
The faculties of learn it are Information Technology faculty and Business Administration faculty. Of course the faculties of Learn it is able to teacher you, we do have highly qualified, friendly and experienced tutors who will enable you to fulfill your dream of career pathway from your diploma level to degree level
7. What is the benifit we gain joining Learnit?
The benefit you can get after joining learn it are as follows: -

  • Learn it is a part of Soft-Tech Consultants Ltd; it is among the big Companies in Tanzania, there different organization which use to require for qualified, hard working and disciplined student who can join their organization not only that but also learnit and Soft-Tech Consultants Ltd, use to employee their students not temporary but permanently
  • You can work anywhere in the world regarding the qualification you have received from us learn it institute of Business and Technology
8. Why we need to choose learnit, apart from other institutes in DAR?
There are so many reasons why learn it and not other institute but among them are: -
  • Learn it offers international courses, which are, recognized worldwide
  • The students are able to continue with their advanced and degree level in any NCC Centre
  • The student who will get high grades for all subjects (best achieve) can get a scholar ship from NCC
  • A student of Learnit receives a certificate after finishing her diploma studies which it takes one year and advanced diploma certificate for the second year and degree for the third year where by other institutes they do offer certificates only after finishing their degree or advanced diploma which is for three years
9. How does the training session done in learnit for IT and Business?
Learn it gives chances to his students to choose an appropriate time for their training which are morning session from 8:00am -11:00 am and from 11:00 am - 1pm and afternoon session from 2:00-5:00 and from 5:00- 8:00 for Business and IT morning from 8:00-11:00 and evening from 5:00 -8:00
10. Do I get certificates from Learnit or from NCC?
You will get your certificate from NCC and learn it, NCC certificate it the one which is recognized world wide it also includes the result slip and Learn it certificate it more recognized in our Country and some other few countries in Africa
11. Do Learnit or NCC supply the text book materials for all the modules?
NCC do offer textbook to all the students of IT and Business and also learn it offers other materials and it has library which do contains a varieties of textbooks for all courses, there are some of the textbook which are for sell. Learn is planning to assist the student who would like to be a member of British Council so that they can have all the supportive material they will require for their studies
























lit_a_11.gif
lit_b_13.gif
 
. Is Learnit Accreditation?
Yes, Nacte has accredits Learnit institute of Business and Technology for NCC courses from Diploma level to Degree level.

go to this web.. U WILL KNOW KAMA LEARN IT KIMEKUBALIKA NA NACTE NA KINATAMBULIKANA
http://www.learnit.co.tz/faq.htm

WASWAHILI MAISHA MTAKUA IVO ...
ELIMU YA TANZANIA NA YA UK HAIWI SAWA HATA SIKU MOJA

INSHORT KIMEKUBALIKA NA WAPO JUU
 
. Is Learnit Accreditation?
Yes, Nacte has accredits Learnit institute of Business and Technology for NCC courses from Diploma level to Degree level.

go to this web.. U WILL KNOW KAMA LEARN IT KIMEKUBALIKA NA NACTE NA KINATAMBULIKANA
http://www.learnit.co.tz/faq.htm

WASWAHILI MAISHA MTAKUA IVO ...
ELIMU YA TANZANIA NA YA UK HAIWI SAWA HATA SIKU MOJA

INSHORT KIMEKUBALIKA NA WAPO JUU
Uncle umetake time mno,toka 09? Ama ulikuwa huijuwi JF?
 
Mbona hili jukwaa Masired yake mengi ya zamani, nani anayafukua tena?? Au ndo tuseme ya kale.
 
Kuna ki ugonjwa kimeingia Tanzania cha watu kupenda vitu rahisi rahis tu, diploma mwaka mmoja, adv diploma mwaka mmoja, degree mwaka mmoja... kaaz kweli kweli kweli. No wonder hata katika maisha ya kawaida badala ya mtu kupambana anasubiria sijui Milion 5 za Masoud Kipanya kweli ile sijui maisha nini. Tujifunze wajameni na tusitafute vinjia vya mkato mkato
Aiseeeeee
 
Back
Top Bottom