Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Awe mwaminifu

Discussion in 'Love Connect' started by ladyfurahia, Jun 29, 2012.

 1. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,076
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Jamani waungwana habari

  mwenzenu nimefunguka sasa natafuta yule aliyetayari kuwa mwaminifu na mchapakazi makini anitwangie hapa nami niko
  tayari kukomunicate naye asijali tutakuwa pamoja kama atakubali kupima vvu
  ila najua mke/mme mwema anatoka kwa Mungu basi asisite kuomba anipate
   
 2. s

  smartdavid79 New Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello, naomba tuwasiliane kwenye 0766 548 590 tafadhari!!
   
 3. KUN

  KUN JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 379
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  we uko tyr?
   
 4. l

  luku_77 Senior Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ok nimefurahi kuona hizi ndizo hisia zako kweli??? kama nikweli naomba tuwasiliane e_mail yangu ni lukuman1127@hotmail.com au 0786929418 please this is for relly natarajia meil yako or call yako asante na karibu.
   
 5. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ebu tililika zaidi na uweze jipambanua
   
 6. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,532
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Mi nimeomba na nimeambiwa ni wewe......Lol!
   
 7. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,076
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  kama kweli umeomba na umeambiwa ni mimi M Jr. basi usisite kunitwangia katika room yangu si unaijua my bro
  nitafute hapo utanipata kwani wewe ni mtoto wa osama maana naona unafanana naye
  good day
   
 8. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,076
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  mbona sijakuelewa syendeke ndugu yangu
   
 9. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,076
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Kama kweli umeomba ukaambiwa kuwa ndimi M Jr basi usisite kunitwangia katika room yangu unakaribishwa zaidi
  sasa wewe unatoka mkoa wa musoma mbona mwenzio siwezi mabavu sasa itakuwaje maana uko tunasikia katika vyombo vya habari mmhm!!!! nashindwa kusema hapo ..................???
  oky ingia tu katika hiyo room nitajua namna ya kufanya
  good day
   
 10. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,076
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Smartdavid nashukuru kwa kunitumia namba yako ya simu lakini mtandao huo sina nina mtandao wa tigo,
  je waonaje ukanitumia email ili iwe rahisi kwanza kukufahamu hata jinalo halisi ingia private message ili uweze kunitumia jinalo na email yako nitafurahi zaidi. Je uko tayari kupima vvu? ingia private message tuwasiliane huko itakuwa vyema
  siku njema
   
 11. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,532
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Kha sa kwani huko somalia wanakopigana ina maana wote ni askari jamani!
   
 12. o

  omary2222 Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  awe ana miaka mingapi niambie
   
 13. babe S

  babe S JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 1,001
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Ah sijui ni hisia zangu au perception, kwa ninavosoma posts za ladyfuraha ni kama hayuko serious au anapenda utani, au labda ni swaga tu! ni mtazamo tu
   
 14. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,076
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Hapana simaanishi kuwa mnatwangana sana ila nyie wanaume mna mabavu kwa wanawake nami sijazoea hiyo kitu kwakweli ntashindwa mieeeeeeee mwenzio
   
 15. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,076
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Hapana babe S mimi niko serious na jambo hili labda wewe unaona kuwa napenda utani sio mtu wa hivyo mwenzio anahitaji kweli kweli kabisa nitafutie hata kaka yako kama yuko single.
   
 16. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #16
  Jul 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nikiwa na maana funguka zaidi nakuona uko general sana kiasi kwamba wanaume wengi hapa wanakuona hauko serious kivile ni kama unawapima akili vile kiukweli kuna wanaume walio serious wanatafuta watu wakuwa nao sasa anapo kutana na bandiko ambalo halimvutii inakuwa ngumu sana kufanya uamzi na inavyo katisha tamaa zaidi unakuta m2 umemtumia pm then unakuta yuko kimya even if amepata inatakiwa kurespond positive ili m2 mwingine anavyotokea kuweka bandiko lake asitumie last post zilizo kuwa zakihuni kuona hata wengine ni wababaishaji but much respect
   
 17. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #17
  Jul 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndo maana hata mimi nimemwambia sioni kama yuko serious kwa jjinsi bandiko lilivyo nashukuru na wewe kuweza kuona hilo lakini nimtazamo2
   
 18. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,076
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Samahani syendeke na dada Babe S naona mjanielewa kabisa mwenzenu niko serious lakini bado sijamjua yupi ni wa lweli na yupi ni mbabaishaji tu ndomana nashindwa kutofautisha mwenzenu nisaidieni kama kweli yupo wa kweli niko
  tayari hata ndugu zenu kama wapo tayari kupima vvu
  siku njema
   
 19. papag

  papag JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 620
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  tupe wasifu wako au ukipenda tupm
   
 20. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,076
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Jamani nimechoka na hizo sms zenu sasa nafunguka kuwa tayari ninaye ondoeni shaka
  nawatakia kila la kheri nanyi Mungu awape kama mimi alivyonipatia
  usiku mwema
   
Loading...