PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,203
- 8,724
Hapo Zamani za kale kulifanyika uchaguzi wa kiongozi watu!
Kiongozi huyo alitakiwa kuwa na sifa zifuatazo:
-Awashinde wote kwa Mali,
-Awashinde wote kwa Akili,
-Awashinde wote kwa Urefu,
-Awashinde wote Unene,
-Awashinde wote kwa Watoto
Lakini uchaguzi wao ulishindikana, maana hawakumpata mtu wa sifa zote hizo!
Hadithi hii inapatikana katika kitabu cha darasa la pili cha zamani zetu!
Lakini nikiangalia kwa undani, kuna funzo kubwa sana hapo, ambalo hadi sasa bado lipo na lina'hold!
Unadhani huyu mtunzi wa miaka hiyo wa kisa hicho anatufundisha nini kwa Tanzania ya leo, na hali halisi ya chaguzi zetu za viongozi wa sasa?