awards kwa members wa j.f {mwaka 2010}

kisukari

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
4,604
4,110
Mwaka ndio unakaribia kuisha,ingawa mimi sikujiunga j.f muda mrefu,kuna baadhi ya story,zinafurahisha,zinaelimisha na zinasikitisha.Najua wapo wengi,lakini kwa upande wangu awards za mwisho wa mwaka nawachagua watu wafuatao:Da sophy,mama g,preta,mwanakijiji,kaizer,bwabwa,na acid.Juu ya wote niliowataja,special award of the year 2010 nampa kwa moyo wangu mkunjufu kabisa imuendee Nyani ngabu.Nyani ngabu,popote pale ulipo,pokea award kutoka kwa kisukari.Sababu ya special award hii kwako,kila ninaposoma comments zako ni mtu ambae unakuwa muwazi sana,huwa napenda sana mtu ambae yupo muwazi.
 
Juu ya wote niliowataja,special award of the year 2010 nampa kwa moyo wangu mkunjufu kabisa imuendee Nyani ngabu.Nyani ngabu,popote pale ulipo,pokea award kutoka kwa kisukari.Sababu ya special award hii kwako,kila ninaposoma comments zako ni mtu ambae unakuwa muwazi sana,huwa napenda sana mtu ambae yupo muwazi.

Nami kwa dhati kabisa napenda kupokea tuzo yako hii ya mwaka 2010. Moja ya sifa zangu ni kusema kilicho moyoni na kichwani mwangu bila kurembaremba wala kuogopa. Naamini kuwa kusema ukweli ni moja ya sifa bainishi za uadilifu ulionyooka na uadilifu ulioonyoka ni jambo ambalo najitahidi kila siku kulishikilia bila kutetereka.

Akhsante sana kwa kunifikiria hata kunipa hiyo tuzo yako. Fikara zako juu yangu zina maana kubwa sana kwangu. Kwa mara nyingine tena, akhsante sana.
 
Ahsante sana,nyani ngabu.Nashukuru mno kwa kuipokea tunzo yangu,sikufahamu ila ukweli wako wa maandishi huwa unanitouch kiasi fulani.wacha nikajilalie maana ni usiku mno
 
Mwaka ndio unakaribia kuisha,ingawa mimi sikujiunga j.f muda mrefu,kuna baadhi ya story,zinafurahisha,zinaelimisha na zinasikitisha.Najua wapo wengi,lakini kwa upande wangu awards za mwisho wa mwaka nawachagua watu wafuatao:Da sophy,mama g,preta,mwanakijiji,kaizer,bwabwa,na acid.Juu ya wote niliowataja,special award of the year 2010 nampa kwa moyo wangu mkunjufu kabisa imuendee Nyani ngabu.Nyani ngabu,popote pale ulipo,pokea award kutoka kwa kisukari.Sababu ya special award hii kwako,kila ninaposoma comments zako ni mtu ambae unakuwa muwazi sana,huwa napenda sana mtu ambae yupo muwazi.

hujamtendea haki mchungaji hapo, mbona hayumo?
 
We nawe!!!! Huo ni mtazamo wa mwana jamii mwenzako aliona ampe nyani Ngabu kulinga na anavyo mfurahia sasa kama umeona sio haki basi na mimi nakupa tuzo ya kulalamika.
 
Nami kwa dhati kabisa napenda kupokea tuzo yako hii ya mwaka 2010. Moja ya sifa zangu ni kusema kilicho moyoni na kichwani mwangu bila kurembaremba wala kuogopa. Naamini kuwa kusema ukweli ni moja ya sifa bainishi za uadilifu ulionyooka na uadilifu ulioonyoka ni jambo ambalo najitahidi kila siku kulishikilia bila kutetereka.

Akhsante sana kwa kunifikiria hata kunipa hiyo tuzo yako. Fikara zako juu yangu zina maana kubwa sana kwangu. Kwa mara nyingine tena, akhsante sana.

Moyoni hamna kitu zaidi ya damu, ni kutoka kichwani kwako tu!
 
Dfdgnb,,mkl
nadhani itafika mda kutakuwa na tuzo za jf.tuwe na subira maana jf imekuwa ya elfu kumi na duniani kwa wingi wa watu kuitazama.tovuti ya taifa imekuwa ya laki mbili na nusu na.big up jf
 
Back
Top Bottom