Award winning loss making KQ put up her dreamliners on lease at a more loss

No need to close down, they should just change the business strategy. The stupid expansion strategy using leased aircrafts is what caused this mess. We should not compete to own more aircrafts but rather it is better to, in my humble opinion, own fewer aircrafts with fewer routes as long as those routes deliver profits for the company. The idea of leasing many aircrafts all at once was a very stupid one. Kenya must always have a national airline and so we will do everything in our power to save it.

We need to revive East African Airways.. hakuna haja ya kila nchi kuwa na shirika lake.. Imagine tukianza now na ndege za Rwanda, Tz na Ke tutakuwa na muscles za kushindana na Ethiopian na Gulf airlines..

Tuweke ego na nationalism pembeni kushirikiana ndo kutatutoa..
 
Kwanza mfufue yenu iloyowashinda halafu tuone vipi tutasaidiana, hatutaki ujamaa ule was JKN EAC.
 
joto la jiwe...utalii nadhani hela iliyoingizwa waijua..ila unaona haya ttu kuitaja...bwahahaa....yani unakata mauno airport kw ajili ya ndege ili zije zipige route ya chato dar...bwahahaaaa...
sgr nayo bora abiria....jiwe fc mpo
 
KQ now extends aircraft lease on lower rental fee
THURSDAY, JUNE 6, 2019 20:01
BY CHARLES MWANIKI
 Jomo Kenyatta International Airport

The Jomo Kenyatta International Airport. FILE PHOTO | NMG
Facebook Twitter LinkedIn

Kenya Airways has extended the lease of three aircraft to Turkish Airlines for an additional three years, a move that will likely deepen sub-leasing losses on the planes that were bought new in 2013.

The airline’s chief executive officer Sebastian Mikosz told Business Daily that the lease extension for the three Boeing 777-300 aircraft was agreed on in November 2018.

The Turkish carrier, however, negotiated to pay a lower rental fee in order to make the deal. The initial leases were to expire in April 2020.

This means that KQ, as the airline is known by its international code, will likely deepen the Sh731 million sub-leasing loss it made last year —this being the difference between revenues earned from the sub-leasing contracts and payments made to primary lessors in the same period.

Mr Mikosz, who is exiting the airline in December, said KQ has no choice but to enter into the loss-making sub-lease agreements, having bought the planes at top price which translates into high monthly payments even as their value decreases over the years.

“There is also a larger number of Boeing 777s in the market so you can find the same plane for half the price.

We had a quite normal rate with Turkish for two-and-a-half years, but when we were negotiating for the lease extension they said we needed to lower the rate,” said Mr Mikosz.

“If we did an outright sale it will be an even bigger loss because we still have a loan to service. If we do sell we will have to repay the full loan promptly, and we would only likely get half price on them. It is too big an aircraft for KQ, and bringing them back to park them will cost up to Sh6.5 billion a year.”

He added that it is likely that Turkish Airlines will look to extend the lease further after three years once the new extension expires, with KQ also unlikely to bring them back into the fleet having shifted preference for long-haul service to the smaller, more economical Boing 787 Dreamliner.

The airline has been forced to shed capacity after hitting headwinds in its ambitious expansion plan dubbed Project Mawingu which it has been painfully trying to unwind in the last three years.

Kinacholeta loss ni hizi ndege tatu three Boeing 777-300ER na sio Dreamliner (787)..... 777-300ER ni ndege inayogharimu almost $400m na inabeba hadi abiria 396, ukilinganisha na dreamliner ambayo ni ndogo inabeba abiria 240, kwasababu ya shida inazokumba KQ, KQ inabidi i sub-lease hizo ndege manake kwa sasa zitaghaarimu mafuta mengi huku zikibeba abiria wachache

777-300er (Former KQ)
586937.jpg

VS 787 Dreamliner ambayo ni ndogo compared to 777-300
Kenya-Airways-B787-8-916x516.jpg

PEjNPEi.png

----------

Kitu ambacho umefeli kugundua ni kwamba hii sub-leasing ya hizi ndege ndo imechangia KQ kupata loss ya $70M mwaka jana..... Yani KQ wanalipa $140 Million kwa lessor wa hizi ndege, alafu turkey ambao wame sub-lease wanatulipa $70m kutumia hizo ndege....... Overal loss after tax ya KQ mwaka jana ilikua $70m !
This means KQ imefanyikiwa ku manage fuel expenses and other expenditure (taxes, salaries, maintenance, parking fees) VS revenue... Hizi ndege tatu ndo zinaleta shida......

Habari ya Juzi inasema KQ inapiga mipango vipi itaondoa hizo ndege tatu bilakusababisha kudaiwa hela zote kwa mpigo

Kenya Airways nears fleet decisions, tries to offload B777s

Alafu habari za hivi punde zinasema ingawaje bunge bado linakataa KQ/JKIA merger, wamekubali proposal ya kwamba KQ isilipe kodi kwa miaka 5 hadi pale itakapoanza kupata faida na kua kwa hali nzuri ya kifedha ndo waanze kulipa kodi na rent ya kutumia JKIA......... KQ hulipa tax ya $90m kila mwaka kwa serekali, hii ni mbali na parking fees, service charges za kutumia JKIA kama hub..........

That amount does not include the $160 million it pays KAA in annual landing fees, $4 million in building and utilities rents and $2 million in concession fees.
“Furthermore, KQ pays KAA the Airport Pax Service Charge [APSC] that is dependent on the number of passengers departing from Kenya with the airline.
“In KQ’s case, that fee amounts to $430 million annually, accounting for approximately 50 per cent of JKIA’s total revenue from APSC per year,” the airline says in its report to parliament.
KQ has partly argued that should its proposal to run JKIA stand, travellers would see a drop in ticket costs in line with the reduction in the service charge, making it competitive in its operating hub.
But the revelation also means that KQ accounts for half of JKIA revenues, and KAA would be the biggest casualty should the heavy debt burden bring the airline down.
KQ has in the past two years revealed that it spent $170 million to clear its tax obligations with Kenya Revenue Authority, but carries security guarantees from Exim bank for six of its Boeing 787 Dreamliner’s, one Boeing 77-300 aircraft and one GEnx Engine. https://www.theeastafrican.co.ke/bu...asing-aircraft/2560-5070586-uf8wdu/index.html

Kwahivyo KQ ambayo inaokota revenue ya karibia $1.2B kila mwaka huishia kulipa serekali (KAA,KRA,JKIA) zaidi ya $650m ...... baada ya kulipa hizo pesa zote ndo inatengeneza loss ya $70m mwaka jana.... GoK ikiondoa hio tax alafu wapunguze pesa ambazo KQ inalipa kutumia JKIA kama hub, mwaka ufwatao KQ itakua na instant profits!!!!!!
 
No need to close down, they should just change the business strategy. The stupid expansion strategy using leased aircrafts is what caused this mess. We should not compete to own more aircrafts but rather it is better to, in my humble opinion, own fewer aircrafts with fewer routes as long as those routes deliver profits for the company. The idea of leasing many aircrafts all at once was a very stupid one. Kenya must always have a national airline and so we will do everything in our power to save it.
There are more liabilities than assets at KQ, Disposing all their assets and settling their loans will still have them with pending bills..
So yes, they should just wind up retain the kenya airways name then start fully government owned like ET or ATCL..That way they can get rid of those old fuel consuming 737 and outdated inefficient Embraer E190s
 
Kinacholeta loss ni hizi ndege tatu three Boeing 777-300ER na sio Dreamliner (787)..... 777-300ER ni ndege inayogharimu almost $400m na inabeba hadi abiria 396, ukilinganisha na dreamliner ambayo ni ndogo inabeba abiria 240, kwasababu ya shida inazokumba KQ, KQ inabidi i sub-lease hizo ndege manake kwa sasa zitaghaarimu mafuta mengi huku zikibeba abiria wachache

777-300er (Former KQ)
586937.jpg

VS 787 Dreamliner ambayo ni ndogo compared to 777-300
Kenya-Airways-B787-8-916x516.jpg

PEjNPEi.png

----------

Kitu ambacho umefeli kugundua ni kwamba hii sub-leasing ya hizi ndege ndo imechangia KQ kupata loss ya $70M mwaka jana..... Yani KQ wanalipa $140 Million kwa lessor wa hizi ndege, alafu turkey ambao wame sub-lease wanatulipa $70m kutumia hizo ndege....... Overal loss after tax ya KQ mwaka jana ilikua $70m !
This means KQ imefanyikiwa ku manage fuel expenses and other expenditure (taxes, salaries, maintenance, parking fees) VS revenue... Hizi ndege tatu ndo zinaleta shida......

Habari ya Juzi inasema KQ inapiga mipango vipi itaondoa hizo ndege tatu bilakusababisha kudaiwa hela zote kwa mpigo

Kenya Airways nears fleet decisions, tries to offload B777s

Alafu habari za hivi punde zinasema ingawaje bunge bado linakataa KQ/JKIA merger, wamekubali proposal ya kwamba KQ isilipe kodi kwa miaka 5 hadi pale itakapoanza kupata faida na kua kwa hali nzuri ya kifedha ndo waanze kulipa kodi na rent ya kutumia JKIA......... KQ hulipa tax ya $90m kila mwaka kwa serekali, hii ni mbali na parking fees, service charges za kutumia JKIA kama hub..........

That amount does not include the $160 million it pays KAA in annual landing fees, $4 million in building and utilities rents and $2 million in concession fees.
“Furthermore, KQ pays KAA the Airport Pax Service Charge [APSC] that is dependent on the number of passengers departing from Kenya with the airline.
“In KQ’s case, that fee amounts to $430 million annually, accounting for approximately 50 per cent of JKIA’s total revenue from APSC per year,” the airline says in its report to parliament.
KQ has partly argued that should its proposal to run JKIA stand, travellers would see a drop in ticket costs in line with the reduction in the service charge, making it competitive in its operating hub.
But the revelation also means that KQ accounts for half of JKIA revenues, and KAA would be the biggest casualty should the heavy debt burden bring the airline down.
KQ has in the past two years revealed that it spent $170 million to clear its tax obligations with Kenya Revenue Authority, but carries security guarantees from Exim bank for six of its Boeing 787 Dreamliner’s, one Boeing 77-300 aircraft and one GEnx Engine. https://www.theeastafrican.co.ke/bu...asing-aircraft/2560-5070586-uf8wdu/index.html

Kwahivyo KQ ambayo inaokota revenue ya karibia $1.2B kila mwaka huishia kulipa serekali (KAA,KRA,JKIA) zaidi ya $650m ...... baada ya kulipa hizo pesa zote ndo inatengeneza loss ya $70m mwaka jana.... GoK ikiondoa hio tax alafu wapunguze pesa ambazo KQ inalipa kutumia JKIA kama hub, mwaka ufwatao KQ itakua na instant profits!!!!!!
Hayo Maneno nenda kawadanganye wakenya wenzako, ninyi mumezoea kudanganyana, viongozi wenu wanatunga stories za uongo na ninyi mnakubali.

Sababu za KQ kupata hasara ni tatu,
1) High costs of fuel, your planes consume too much fuel
2) High salaries, as usual you pay very high salaries which are not compatible with your economy.
3) High costs of fleet ownership, very difficult to make profit with leased planes, you have to learn from ET and ATCL
 
Njoo ndugu yangu nikupe ripoti ya Jiwe mwenyewe

Unatukanganya bure. Hivi majuzi ulituambia kwamba KQ wana ndege tatu tu. Hizi tatu ambazo zimekuwa 'leased' kwa Turkish Airlines ni za nani? Au ndio zile zile tatu? Kwahivyo sasa hivi KQ hawana ndege? Hahaha! :D ATCL hoyeee!
Hebu soma uzi vizuri. Acha kubadilisha maada
 
Hayo Maneno nenda kawadanganye wakenya wenzako, ninyi mumezoea kudanganyana, viongozi wenu wanatunga stories za uongo na ninyi mnakubali.

Sababu za KQ kupata hasara ni tatu,
1) High costs of fuel, your planes consume too much fuel
2) High salaries, as usual you pay very high salaries which are not compatible with your economy.
3) High costs of fleet ownership, very difficult to make profit with leased planes, you have to learn from ET and ATCL
We sijui hua akili yako kama iko na logic kweli....
unakuja hapa kunipatia sababu za kijinga kama high fuel cost, kwani ET na wengineo hawanunui mafuta? Kampuni kama American airlines, Southern airline,Delta hunua refurbished planes Kwa bei ya Chini na kuzitumia kaa mchezo....

ATCL haina hata ripoti moja ya performance na unataka Ku inside Kwa discussion, haina hata safari moja ya nje ya bara, bado haijapewa leseni na IATA,

Kwa upande mwengine Ethiopia ndege hununuliwa na serekali, hatujui true fleet ownership ya ndege za ET manake kama Tz, Ethiopia haichapishi data yoyote kuhusu Kampuni hio.... ET pia hawalipi body yoyote ya serekali kutumia Bole airport ..

Wakati huo huo, KQ inalipa zaidi ya $400m kutumia JKIA, mbali na hapo, spare parts hulipishwa Kodi wanapoagizia kutoka nje.

Fleet ownership ya least planes inagharimu KQ $140m kila mwaka for 20 planes!!!!!
Tukichua average plane cost ya kununua ndege moja ya KQ at $170m (it's probably higher than that)
Alafu tupige hesabu ya Ku lease those 20 planes for 25 years VS buying those planes and running them for 20 years which is about the AVG life span of those commercial planes

Leasing = $140m * 20 years = $2.8B
Buying = $170m * 20 planes = $3.4B

Hebu niambie, Kwa Kampuni ambayo ni publicly listed Kwa stock exchange , ambayo inafaa kununua ndege zake na pesa zake na kuzilipua na revenue, which is better? Kulipia hela ndogo ndogo kila mwaka au kununua ndege za thamani ya $3.4B Kwa mpigo!!!! Mwanzo hizo hela watazitoa wapi? Na hata kukitikea malaika na waweze kuchangisha hizo hela, Kampuni itakua haina liquidity watakua hawajabakisha hela yoyote ya kulipa wafanyikazi wala kununua mafuta, watakua wana ndege lakini kuzipeperusha hawana uwezo .....

Alafu pia usisahau thamani ya ndege pindi unapoinunua inaanza kushuka , hata Ile drimliner yenu tangu mwaka Jana Hadi sasa mkingojea safari ya ndia na China, thamani ya hio ndege ishashuka, itafika mahali iwe imechoka hapo mkitaka kugeuza na mchukue ndege mpya ndo mtapiga hesabu na muone haziingiliani, utakuta ndege mliinunua Kwa $250m pesa za walipa Kodi lakini haijaleta faida ya $250m + kulipia mishahara ya wafanyikazi ndani ya hio ndege + gharama ya mafuta yaliotumika kusafiri ..

Tofauti na leasing kama ile KQ wamechukua ya maximum of 25 years, ikifika hapo ndege inaregeshwa Kwa Kampuni husika. Tena isitoshe ukiona ndege haifurahishi unaweza kuiregesha Kwa hio Kampuni na uchukue nyengine mpya na uendelee kuilipia ....

Kwasasa vile KQ imetoka Kwa shida ya loss kubwa kubwa, inapanga 100% fleet expansion by 2024 ili Ku compete na ET, Yani ndege ishirini zitaagiziwa ili kupata discount, Hebu niambie kama unaweza agizia ndege 20 na uzilipie cash!!! Hata kama ni pesa za walipa Kodi, JPM hawezi thubutu kutoa zaidi ya $3B kununua ndege ishirini Kwa cash!!!

Punguza ujinga wako wewe, nimekuwekea link hiyo inayomnukuu mtendaji wa KQ akitoa sababu kuu tatu zinazowafanya wapate hasara, sasa wewe unayekuja na upumbavu wako, wewe ni mkurugenzi MKUU wa KQ?. Toa ujinga wako hapa, wenyewe KQ ndio wanezitaja hizo sababu, sasa wewe unapinga kwa akili zako za kikenya, nenda huko kasaidie kupata ufumbuzi wa Galana kulalu kwanza ili muwe na chakula cha kutosha, kujifanya wajuaji wakati hata njaa inawashinda, bure kabisa ninyi.
 
We sijui hua akili yako kama iko na logic kweli....
unakuja hapa kunipatia sababu za kijinga kama high fuel cost, kwani ET na wengineo hawanunui mafuta? Kampuni kama American airlines, Southern airline,Delta hunua refurbished planes Kwa bei ya Chini na kuzitumia kaa mchezo....

ATCL haina hata ripoti moja ya performance na unataka Ku inside Kwa discussion, haina hata safari moja ya nje ya bara, bado haijapewa leseni na IATA,

Kwa upande mwengine Ethiopia ndege hununuliwa na serekali, hatujui true fleet ownership ya ndege za ET manake kama Tz, Ethiopia haichapishi data yoyote kuhusu Kampuni hio.... ET pia hawalipi body yoyote ya serekali kutumia Bole airport ..

Wakati huo huo, KQ inalipa zaidi ya $400m kutumia JKIA, mbali na hapo, spare parts hulipishwa Kodi wanapoagizia kutoka nje.

Fleet ownership ya least planes inagharimu KQ $140m kila mwaka for 20 planes!!!!!
Tukichua average plane cost ya kununua ndege moja ya KQ at $170m (it's probably higher than that)
Alafu tupige hesabu ya Ku lease those 20 planes for 25 years VS buying those planes and running them for 20 years which is about the AVG life span of those commercial planes

Leasing = $140m * 20 years = $2.8B
Buying = $170m * 20 planes = $3.4B

Hebu niambie, Kwa Kampuni ambayo ni publicly listed Kwa stock exchange , ambayo inafaa kununua ndege zake na pesa zake na kuzilipua na revenue, which is better? Kulipia hela ndogo ndogo kila mwaka au kununua ndege za thamani ya $3.4B Kwa mpigo!!!! Mwanzo hizo hela watazitoa wapi? Na hata kukitikea malaika na waweze kuchangisha hizo hela, Kampuni itakua haina liquidity watakua hawajabakisha hela yoyote ya kulipa wafanyikazi wala kununua mafuta, watakua wana ndege lakini kuzipeperusha hawana uwezo .....

Alafu pia usisahau thamani ya ndege pindi unapoinunua inaanza kushuka , hata Ile drimliner yenu tangu mwaka Jana Hadi sasa mkingojea safari ya ndia na China, thamani ya hio ndege ishashuka, itafika mahali iwe imechoka hapo mkitaka kugeuza na mchukue ndege mpya ndo mtapiga hesabu na muone haziingiliani, utakuta ndege mliinunua Kwa $250m pesa za walipa Kodi lakini haijaleta faida ya $250m + kulipia mishahara ya wafanyikazi ndani ya hio ndege + gharama ya mafuta yaliotumika kusafiri ..

Tofauti na leasing kama ile KQ wamechukua ya maximum of 25 years, ikifika hapo ndege inaregeshwa Kwa Kampuni husika. Tena isitoshe ukiona ndege haifurahishi unaweza kuiregesha Kwa hio Kampuni na uchukue nyengine mpya na uendelee kuilipia ....

Kwasasa vile KQ imetoka Kwa shida ya loss kubwa kubwa, inapanga 100% fleet expansion by 2024 ili Ku compete na ET, Yani ndege ishirini zitaagiziwa ili kupata discount, Hebu niambie kama unaweza agizia ndege 20 na uzilipie cash!!! Hata kama ni pesa za walipa Kodi, JPM hawezi thubutu kutoa zaidi ya $3B kununua ndege ishirini Kwa cash!!!

Soma hiyo ripoti ya IATA, acha kujisemea mambo toka kichwani mwako bila ushahidi, wewe unadhani dunia itaongozwa kutokana na m
Watu wanavyofikiria bila kufanya research?. Research zimeonyesha KQ imepata hasara kutokana na Fuel, Salaries, na rental fees, wewe unakuja na Maneno tofauti bila ushahidi.
 
Wewe ndo inapenda kujitungia hizo hadithi za fuel price, leasing cost ...bila kufikiria vizuri, angalia kama sasa umeenda kuleta ripoti inayoonyesha bei ya mafuta ita affect performance ya airline industry ..... That's not a KQ issue, that's an every airline issue, not unless Kampuni za Middle East zinapata fuel subsidy kutoka Kwa serekali ..... ....
Kuniambia KQ inapata loss kwasababu ya bei ya mafuta ambayo ina affect kila Kampuni hio si point! Ni kama vile uniambie Kampuni ya kutengeneza nywele za wig inayoitwa xyz kutoka Kenya ita/inapata loss Kwa sababu ya expensive new tax kuuza nywele Tz ... Hio si point kwasababu kila Kampuni inayouza nywele Tz itaguswa na hio Kodi mpya na bado kuna Kampuni zengine zitatengeneza faida....
Hata bei ya mafuta ikipandishwa na 50%, bado kuna Kampuni za ndege zitatengeneza faida, kwahivyo bei ya mafuta si sababu ya KQ kupata loss kwani kila kampuni hua na hio changamoto . Hata hio ATCL yenu pia iko humo ndani, na usisahau kwasababu ya economies of scale, mafuta ya ndege JKIA ni cheaper kuliko JNIA kwasababu sisi huyanunua Kwa wingi, vile vile kule Bole airport Ethiopia ni cheaper zaidi kwasababu wao huyanunua Kwa wingi zaidi na hua hayatozwi tax kubwa kama huku manake kule Ethiopia mtumizi mkuu wa mafuta ni serekali. Kwahivyo kama KQ itakua affected na bei ya mafuta, ATCL itakua pabaya zaidi! Labda GoT itaamua kuwanunulia mafuta kama vile ilivyo wanunulia ndege!
 
Hivi wewe una shida gani?, Mimi mwanzoni nilikuwekea link inayoripoti Maelezo ya mkurugenzi wa KQ akisema hivyo. Afisa na msemaji wa KQ ndiye aliyetoa hizo sababu kuu tatu zinazosababisha KQ kuapata hasara, mbona hutaki kuelewa?.

Mimi ninakushangaa sana wakati mwengine, kwahiyo bei ya mafuta ikiwa juu haiwezi kusababisha hasara kwasababu hiyo bei ina affect mashirika yote, kweli unaweza kuzungumza upuuzi kama huu?, kwani hasara inauhusiano gani na shirika mingine?.

Hasara inahusu wewe binafsi, mnaweza kununua bidhaa kwa bei moja lakini wewe ukapata hasara na mwenzako akapata faida, sasa kama gharama zako za uendeshaji zipo juu kama ilivyo mishahara mikubwa na gharama kubwa ya kukodisha ndege kama ilivyo kwa KQ unategemea nini?.

Kitu kinachonishangaza ni kwamba KQ wenyewe Ndio waliosema sababu kubwa ni 1) High price of fuel 2)Salaries 3) High leasing costs, sasa wewe unaopingana na hata KQ?, wewe una matatizo.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom