Award Verification Number (AVN) updates

Hv hapo kinachokuwa attached ni cheti cha form iv au diploma(transcript)..?
Inategemeana na sifa zako.

Kama uliingia Diploma kupitia Certificate, utatakiwa uweke Cheti cha Certificate, then matokeo ya Diploma.

Kama uliingia Diploma kwa matokeo ya form IV hapo haina haja ya kuweka cheti cha form four maana matokeo watayapata NECTA baada ya kuweka namba ya mtihani, then utaweka matokeo ya Diploma.

Hivyo ndivyo nilivyoelewa hiyo sehemu
 
Ivi je ata kwasisi tuliomaliza diploma mwaka huu tunaweza kufuatilia AVN na kuzipata then tukafanya application kaka!
 
Back
Top Bottom