Award Verification Number (AVN) updates

Fatilieni matokeo maana nacte nao huwa wazembe..kuna watu nilimaliza nao mwaka jan hawakupata avn wakapata mwaka huu..lakn ukifuatlia mapema wanakusaidia mapema..maana muda wa kuapply second round ni mchache
Kwahyo matokeo yakiwa submitted tu siwezi kupata AVN nkiomba..?
 
Umepewa muda wa masaa mangapi kusubiri verification ya hiyo process uliyoifanya kwa huyo Dogo..?
Papo hapo hata dkika 5 hazikupita.

Ukiona umepewa kusubiri masaa 12000 ujue Kuna sehemu 'unachemsha' katika ujazaji au matokeo yako hayajawa confirmed!
 
Be informed that your verification took more time than expected due to the following:-
1. Submitted attachments are not relevant for us to proceed with this verification.
Advised to confirm them and reload/update from your profile. OR
2. Required Data/Information from awarding institution was not submitted to NACTE.
Advised to remind them while NACTE is doing the same.
Sorry for any inconveniences cause...
Wengi wanakosea kujaza na wanapata hizo taarifa...kwenye registration number au index anza na NS mfano NS1189/0012/2012..ya mwanzo ni centre number ya shule,inayofuata ni form four index number then number ya kugraduate..wengi huwa mnakosea pale kwny kujaza diploma registration number..jaz ukianza na NS..
Kumbe inabidi uanze na N not S pekee..!!
 
AVN ni kasheshe we acha tu hawa jamaa hawapo serious mi nlilipa mara 3 ndo nikapata. Tena vyuo vya nje ndo wanasumbua balaa
 
Niwapongeze sana nyote wenye avn mkononi mpaka dakika hii...!Hii kitu ni pasua kichwa aisee...!Hapa nadhani kuna shida mahala,si bure.Jinsi mchakato unavyo endeshwa mpaka ipatikane AVN,either mfumo unao tumika pamoja watu husika kwa maana ya vyuo na Nacte no one wants to be responsible.Kuna muda Nacte wanasema vyuo vinachelewa kutuma matokeo,wakati mwingine chuo wanasema walishatuma matokeo.Hivyo kama muhitimu unabaki katikati,ujui nini la kufanya.In this matter,kwa sehemu kubwa sana vyuo havipeleki matokeo kabisa Nacte.Hii nime prove kwa chuo nilipo somea,hawakuwa na mpango wa kutuma matokeo,tumepambana nao kwelikweli.Mpaka wamenyooka na sasa wamepeleka hayo matokeo.Kwa upande wa pili,nisijue Nacte wanakwama wapi.Maelekezo yao ilikuwa kila chuo kinachotoa diploma holders lazima kila matokeo ya semester,yawe uploaded kwenye mfumo wa Nacte ili yawe verified on time.Matokeo yake vyuo havifanyi hivyo,mwanafunzi anapiga miaka yake mitatu au miwili anamaliza na matokeo yake hayasomeki hata ya semester moja kwenye system ya Nacte.Nacte wapo na ni jukumu lao kuvisimamia hivi vyuo ikiwemo na kuhakikisha vina upload matokeo kama maelekezo yao yanavyo elekeza.Kwa wale ambao hamjapata hii AVN kama mimi,mzidi kupambana hasa komaeni na vyuo.Wale wanao kwenda Nacte moja kwa moja na kupewa AVN,matokeo yao yanakuwa tiyari yapo kwenye system yao.Inaweza kuwa sababu za kiufundi yakawa hayasomeki katika njia ya kawaida lakini wao wakicheki wanayaona.Kila laheli.....!
Ata mimi natatizo kama lako haise nacte na vyuo vinazingua
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom