Awamu za urais zinazoongoza kwa kusema uongo

Mr.Busta

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
672
99
Habari zenu wanaJf.nimetafakari kwa kina nikaona bora nilete uzi/mada hii ili tuweze kutafakari kwa pamoja na kuweka kumbukumbu sawa na zilizosahi zaidi kuhusiana viongozi wa kiserikali hasa mawaziri kwa kusema uongo mbele ya wananchi, nimekuja na mada hii baada ya awamu ya nne kuonyesha kukumbwa na wimbi kubwa la hawa viongozi kusema uongo au kudanganya wananchi, maana wengine katika awamu zilizopita tulikuwa sio wafuatilaji wa masuala ya siasa au tuliluwa bado wa changa zaidi na hatukukuwa na furusa za kuweka kumbukumbu.

Naomba tuweke majina na nini walidanganya. Je chanzo cha kudanganya ni nin? Je kulikuwa na reaction gan kwa wananchi au madhara gani yalitokea bbda ya kutokea?

Je raisi alichukua hatua gani kwa viongozi wa chini waliodanganya? Na tufanye nini kwa sasa? Nawaomba tujadili kwa umakini,najua wapo watu wenye data sahihï.karibuni.
 
1. Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe - PM.
2. Bonyeza hapa: [post=5152662]PM adanganya tena![/post]
 
nyerere na awamu yake kwani alituongopea kuwa tanzania hakuna udini kumbe anafanya kinyume chake. na ndo unaotutafuna watanzania kwa sasa. tusipoangalia itakuwa kansa. I am sure mnajua kansa ni nini na madhara yake yapo wazi.
 
Back
Top Bottom