Awamu ya Tano yazidi kupambana na ufisadi, yamtia nguvuni Rostam Azizi

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Ile Vita ya ufisadi bado inaendelea ambapo kinara na mtuhumiwa mkuu wa rushwa Bwana RA ameonekana kwenye viunga vya lumumba akikabidhi baadhi ya Mali zake kwa chama Cha mapinduzi ikiwa ni njia mojawapo ya kujisogeza karibu na utawala huu mpya Kama alivyofanya kwa tawala zilizopita.

Kwa muda mfupi aliorejea nchini amefanikiwa kuwatoa gerezani baadhi ya waalif na bado mjakati unaendelea.

Ni matumaini ya wengi kuwa atafanikisha pia biashara mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuisadia nchi kumrejeshea gharama anazotumia kufanikisha malengo yake.

Ashukuriwe aliyesema ukila na kipofu usimshike mkono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mali gani alizotoa leo kwa chama??? Wakati anasetiwa kuja kupiga DILI na kuwafundisha wana lumumba njia za kupiga dili.

Umeona waki SIGN kitabu cha mahudhurio lumumba basi ukajua ndio anasign kutoa mali zake, kisha umekurupuka kuja kuanzisha uzi.
 
Hao watoto wa mjini wana kula na kipofu wanaweza wakatoa Mali zao zote kwa chama wanajua zitarudi mikononi mwao tena huyo Jamaa ataliwa kichwa atoamini maana ajui siasa zaidi ya matumizi ya nguvu.Ngoja tuone mchezo wa watoto wa mjini.Wajipange haswaa kukabiliana na Lisuu 2020,mchuano wa uchaguzi ujao utakuwa mgumu sana kuliko 2015,ccm isipokuwa 2020 haifii tena.Ngoja tusubirie upepo tuone.
 
Rostam karudisha nyumbani Mali ya ccm iliyopotea Lowasa karibu nyumba ni.
 
Mali gani alizotoa leo kwa chama??? Wakati anasetiwa kuja kupiga DILI na kuwafundisha wana lumumba njia za kupiga dili.

Umeona waki SIGN kitabu cha mahudhurio lumumba basi ukajua ndio anasign kutoa mali zake, kisha umekurupuka kuja kuanzisha uzi.

We uoni Mali iliyorudishwa Leo?
 
Back
Top Bottom