Awamu ya tano yang'ara ripoti za CAG

Kila mtu ana interest zake katika kuchambua ripoti ya CAG. Wapo waliochambua mapungufu katika ripoti hiyo kwa sababu zao kama wewe mzee wa masters ulivyokuwa interested na yale yanayokuvutia.
 
Tathmini hii imesheheni ripoti mbalimbali za Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa serikali kuanzia mwaka wa fedha wa 2013/2014 ili kuweza kutoa mwangaza halisi kwa mambo ambayo wananchi wengi wameshindwa kuyaona au kuyafahamu na mwisho watu wachache kuishia kuelezea upande mmoja bila kuonyesha au kueleza kiwango cha mafanikio yaliyofikiwa kwa kulinganisha tulikotoka, tulipo na tunapokwenda kadhalika na kuonyesha kiwango cha utekelezaji wa mapendekezo mbalimbali ya Ofisi ya CAG kwa muda wa miaka mitatu ya fedha kuanzia 2015/2016, 2016/2017 hadi 2017/2018.

(Aidha nitoe angalizo ya kuwa ripoti ya jumla ya CAG iliyosomwa mwaka huu imejumuisha pia ukaguzi maalumu wa miradi ya muda mrefu kabla ya uwepo wa serikali ya awamu ya tano hivyo ni vyema wananchi wakawa makini ili wasiweze kupotoshwa na watu wenye maslahi yao binafsi dhidi ya serikali ya awamu ya tano)

Tathmini hii inabeba taswira halisi ya mafanikio makubwa ya serikali ya awamu ya tano kwa kuchambua ripoti za CAG kuanzia mwaka 2013/2014 kabla ya uwepo wa serikali ya awamu ya tano chini ya Dkt. John Pombe Magufuli.

Uchambuzi huu utajikita katika maeneo makubwa nane kama ifuatavyo;

A. HATI ZA UKAGUZI KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU

Katika mwaka wa fedha 2015/2016 jumla ya hati za ukaguzi 505 zilitolewa huku Hati zilizoridhisha zilikuwa 436 sawa na asilimia 86.34, hati zenye mashaka zilikuwa 60 sawa na asilimia 11.88, hati zisizoridhisha zilikuwa 4 sawa na asilimia 0.79 na hati mbaya zilikuwa 5 sawa na asilimia 0.99.

Katika mwaka wa fedha 2016/2017 jumla ya hati 561 zilitolewa huku Hati zilizoridhisha zilikuwa 502 sawa na asilimia 90, hati zenye mashaka zilikuwa 45 sawa na asilimia 8, hati zisizoridhisha zilikuwa 7 sawa na asilimia 1 na hati mbaya pia zilikuwa 7 sawa na asilimia 1.

Katika mwaka wa fedha 2017/2018 jumla ya hati za ukaguzi 548 zilitolewa huku Hati zilizoridhisha zilikuwa 531 sawa na asilimia 97, hati zenye mashaka zilikuwa 15 sawa na asilimia 2.6, hati zisizoridhisha ilikuwa 1 sawa na asilimia 0.2 na hati mbaya pia ilikuwa 1 sawa na asilimia 0.2.

Kumekuwa na ongezeko la Hati safi mwaka hadi mwaka kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Magufuli na ongezeko hili linaonyesha uwepo na uimarikaji wa ufanisi katika usimamizi wa rasilimali fedha ambao kwa sehemu kubwa ni matunda ya ongezeko la nidhamu kazini na utendaji uliojikita katika kusimamia fedha za umma kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kuweka msisitizo kwenye matokeo(result driven).

B. UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO

Katika muda wa miaka mitatu ya fedha yaani kutoka 2015/2016 hadi 2017/2018 jumla ya miradi ya Maendeleo 2,008 imekaguliwa na Ofisi ya CAG.

Katika mwaka 2015/2016 jumla ya miradi ya Maendeleo 797 ilikaguliwa huku katika miradi hiyo jumla ya miradi 725 sawa na asilimia 91 ilipata Hati safi, miradi 71 sawa na asilimia 8.9 ilipata hati yenye mashaka na Mradi mmoja tu ndio ulipata hati mbaya ambao ni sawa na asilimia 1.

Katika mwaka wa fedha wa 2016/2017 jumla ya miradi ya Maendeleo 742 ilikaguliwa huku miradi 697 sawa na asilimia 94 ilipata Hati Safi; miradi 44 sawa na asilimia 5.9 ilipata hati yenye mashaka na mradi mmoja sawa na asilimia 0.1 ulipata hati mbaya.

Katika mwaka wa fedha wa 2017/2018 jumla ya miradi ya maendeleo 469 ilikaguliwa na kati ya miradi hiyo miradi 455 sawa na asilimia 97 ilipata Hati Safi, huku miradi 14 sawa na asilimia 3 ilipata hati yenye mashaka na hakukua na Mradi wowote uliopata hati mbaya.

Aidha, uimarikaji wa usimamizi na kupungua kwa sehemu kubwa ya Matumizi mabaya ya fedha za umma kumeondoa nafasi ya uwepo wa hati mbaya katika miradi na hivyo kuongeza nguvu ya mataifa rafiki kuweza kuwekeza zaidi katika miradi mbalimbali nchini. Kwa kipindi kirefu sasa ni mwaka 2018 ndio Hakuna Mradi hata mmoja wa maendeleo uliopata Hati Mbaya.

C. ONGEZEKO LA UFANISI NA UTENDAJI KWENYE MAMLAKA YA SERIKALI ZA MITAA

Katika kipindi cha miaka mitatu yaani kutoka mwaka wa fedha 2015/2016 hadi 2017/2018 Mamlaka ya Serikali za Mitaa imekuwa ikifanya vizuri kila mwaka hii kwa ongezeko la utekelezaji wa mapendekezo ambayo yamekuwa yakitolewa na Ofisi ya CAG. Ongezeko hili linaendana na kupungua kwa Idadi ya makosa mbalimbali ambayo kwa muda mrefu yamekuwa yakionwa na Ofisi ya CAG

Katika mwaka 2015/2016 kwenye ukaguzi uliofanywa na CAG, jumla ya mapendekezo 79 yalitolewa katika ripoti ya CAG huku mapendekezo yaliyofanyiwa kazi mpaka mwisho wa mwaka huo wa fedha yalikuwa ni asilimia 4 na yale yaliyokuwa yakiendelea na utekelezaji yalikuwa ni asilimia 44.

Lakini katika mwaka 2016/2017 kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na serikali kwenye kusimamia halmashauri nyingi mapendekezo yalipungua hadi kufikia 68 ambapo yaliyofanyiwa kazi yaliongezeka hadi kufikai asilimia 4.4 huku yaliyokuwa yakiendelea kufanyiwa kazi yalifika asilimia 50 ya mapendekezo yote.

Katika mwaka 2017/2018 tulishuhudia ufanisi ukiongezeka maradufu na mapendekezo ya mapungufu na ufanisi yalipungua kwa zaidi ya asilimia 21 na kufikia 62 kulinganisha na mapendekezo yaliyoonekana katika ripoti ya mwaka 2015/2016 huku utekelezaji wa mapendekezo hayo ukiongezeka kwa zaidi ya asilimia 2.2 kulinganisha na muda kama huo kwa mwaka 2015/2016.

Ofisi ya Rais TAMISEMI imekuwa na ongezeko kubwa la utekelezaji wa mapendekezo ya Ofisi ya CAG na kuongeza uimara katika usimamizi wa fedha za umma hasa katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo nchini.

D. ONGEZEKO LA MAPATO YATOKANAYO NA KODI

Mpaka kufikia Juni 30 mwaka 2016 makusanyo yatokanayo na kodi yalipita malengo kwa asilimia moja huku fedha iliyokusanywa ilikuwa ni shilingi trilioni 12.363. Uvukaji wa malengo ulichangiwa na ongezeko la usimamizi mzuri na ufatiliaji wa malipo ya kodi yaliyotokana na uboreshaji wa Mamlaka ya Mapato Tanzania.

Aidha tarehe 30 Juni 2018 makusanyo yatokanayo na kodi yalifikia Jumla ya shilingi za kitanzania trilioni 15.38 ambapo ilishuhudia ongezeko la ukusanyaji wa kodi kwa zaidi ya trilioni 3.02 kulinganisha na makusanyo kama hayo yaliyofanyika Juni 2016.

Makusanyo halisi yakijumuisha misamaha ya vocha katika mwaka 2018 yalifika hadi shilingi trilioni 15.40 na ongezeko likiwa ni shilingi trilioni 3.04

E. USIMAMIZI WA DENI LA TAIFA
Deni la Serikali au maarufu kama Deni la Taifa ni fedha ambazo serikali imekuwa ikikopa kutoka ndani au nje ya nchi kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya Maendeleo nchini. Nchi zote duniani hukopa ili kufanikisha miradi au utekelezaji wa mambo ya kitaifa.

Kwa muda wa miaka mitatu kumekuwa na kushuka kwa kiwango cha ongezeko la ukuaji wa deni la Taifa, kinyume kabisa na taarifa zinazosambazwa na watu wengi.

Mwaka wa tarehe 30 Juni 2013 deni la Taifa lilikuwa kwa wastani wa asilimia 25 huku likiongezeka kutoka trilioni 16.98 mwaka 2011/2012 hadi kufikia trilioni 21.20 mwaka 2012/2013. Ongezeko hili ndio lilikuwa ongezeko kubwa kwa kipindi kirefu.

Mwaka 2014/2015 liikuwa kwa asilimia 22 kutoka shilingi trilioni 33.54 hadi shilingi trilioni 41.04 mwaka 2015/2016.

Mwaka 2016/2017 ongezeko hili lilishuka kwa asilimia 10 kutoka asilimia 22 mpaka asilimia 12 katika mwaka wa fedha ulioshia Juni 2017.

Ongezeko la ukuaji lilishuka tena hadi kufikia asilimia 10.5 mwisho wa mwaka wa fedha wa 2017/2018 yaani tarehe 30 Juni 2018.

Hii inaamaanisha ya kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ya Rais Magufuli utegemezi wa Mikopo kutoka ndani na nje ya nchi umepungua kwa asilimia 58 na hii inadhihirishwa na kiwango cha ukuaji wa deni la taifa kutoka asilimia 25 mwaka 2013 hadi kufikia kiwango cha asilimia 10.5 mwaka 2018 na huku kupungua huku kukitokana na kuimarisha mifumo ya usimamiaji na ukusanyaji mapato nchini.

F. MISHAHARA KWA WATUMISHI HEWA

Serikali ya awamu ya Tano chini ya Dkt. John Pombe Magufuli imefanikiwa kupunguza kwa kiwango kikubwa tatizo la mishahara iliyokuwa ikipotea kupitia ulipaji wa watumishi waliokufa, waliostaafu na wale waliosimamishwa kazi.

Mwaka 2013/2014 jumla ya shilingi bilioni 1.62 zilitumika kulipa mishahara hewa kwa watumishi hewa huku wizi kupitia malipo ya mishahara hewa yalikua kwa zaidi ya asilimia 77 na katika mwaka 2015/2016 na kufikisha jumla ya shilingi bilioni 7.3 ambayo yote yalitokea kabla ya serikali ya awamu ya awamu ya tano lakini katika hadi kufikia tarehe 30 Juni 2018 ni shilingi milioni 207.37 ndio fedha zimepotea kama Malipo ya mishahara hewa hivyo Rais Magufuli kwa kiwango kikubwa kupitia kampeni yake aliyoifanya ya kudhibiti malipo ya mishahara hewa kuanzia mwaka 2016 nchi nzima iliyoenda pamoja na kuwachukulia hatua watendaji wote waliokuwa wakihusika katika kufanya udanganyifu huu imekuwa na matokeo chanya.

Kampeni ile leo hii imesaidia kuokoa zaidi ya shilingi za kitanzania Bilioni 7 kwa kulinganisha na fedha zilizotumika kulipa wafanyakazi hewa katika mwaka wa fedha 2015/2016. Haya ni mafanikio makubwa kwa kipindi kifupi kwani tatizo hili limekuwa kubwa na kuota mizizi kwa muda mrefu hivyo Rais Magufuli ameweza kuokoa fedha hizi na mwisho kusaidia kurejesha fedha hizi katika utekelezaji wa miradi ya Maendeleo nchini.

G. UJENZI WA MJI WA SERIKALI MKOANI DODOMA

Maamuzi ya Rais Magufuli kuhamia Dodoma na kuhakikisha wizara na taasisi mbalimbali za serikali zinahamia kwenye majengo yaliyojengwa na serikali kumekuwa ni nafuu kubwa na kuokoa fedha nyingi zilizokuwa zikipotea kwa muda mrefu huko nyuma.

Mathalani, kwa ukaguzi maalumu uliofanywa na Ofisi ya CAG katika mwaka wa fedha wa 2012/2013 ulibaini ya kuwa serikali ilikuwa ikitumia jumla ya shilingi bilioni 7.9 kama kodi kwa ajili ya kulipia pango kwenye ofisi 14 tu za serikali. Hivyo serikali ya awamu ya tano imeokoa fedha hizi kupitia ujenzi wa Ofisi za serikali na mwisho kuondoa matumizi yasiyo ya kilazima kama ilivyopendekezwa na CAG mstaafu Bw. Ludovick Utouh katika ripoti yake ya mwaka wa fedha ulioishia 30 Juni 2013.

Mwisho, japokuwa zimekuwepo changamoto nyingi katika usimamiaji wa miradi ya maendeleo nchini kwa muda mrefu bado serikali ya awamu ya tano chini ya Dkt. John Pombe Magufuli inabaki kama moja ya serikali za mfano nchini na barani afrika kwa kuweza kupunguza na kuondoa sehemu kubwa ya matumizi ya fedha ambazo zilikuwa zikipotea kwa uzembe na udanganyifu lakini pia fedha ambazo zimekuwa zikichukuliwa kama Mikopo zimekuwa zikitumika vizuri na thamani yake kuonekana katika ujenzi wa miradi mikubwa ya nchi kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu imara ya kuhakikisha tunaelekea katika taifa la Viwanda na Uchumi wa kati na kuifikia Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2025.

Felician Andrew
MSc. Economics
Mzumbe University
Tshs 4,800,000,000,000/= hazikupita kwenye mfuko mkuu wa HAZINA.

ZILIPITIA WAPI?
 
Hahahaha. Inawezekana lakini kuna jambo unapotosha.
zamani, wizi ulikuwa distributed across all structures of the government ila sasa umekuwa concentrated pale white house
 
Kwani assad ni mungu au yesy?
Nini au kipi ambacho aasad anakifanya na binadamu wengine hawakiwezi?

Kaa ukikalia Asad... asad... asad ebu tukuulize ,
Hivi unaujua wizi wa asad na ramadhani dau na huyu fala wa kigoma kabwe mbembe?
Mkuu Hawa jamaa Ni shida, Hawa ndio wanalilia uhuru wa mawazo, sasa ukitaka kuwajua njoo na mawazo tofauti.

Kwa ufupi hawa wakipewa Nchi wanaweza kuwa wabaya kuliko hata vijana wa Lumumba. Wanapenda kusikia kile wakitacho wao basi. Na, ukija na hoja inayowazidi kimo the only thing they will do ni kukushambulia na siyo Bahati mbaya ni kundi limejpanga humu ndani kea ajiri hiyi. Wanadai watu wajieleze halafu hapo hapo wanachojua ni kumshambia yeyote anayekuwa na mawazo tofauti na wao. To be honest Prof. Mkumbo hakukurupuka hata kidogo, they are real are beast.
 
Kwani assad ni mungu au yesy?
Nini au kipi ambacho aasad anakifanya na binadamu wengine hawakiwezi?

Kaa ukikalia Asad... asad... asad ebu tukuulize ,
Hivi unaujua wizi wa asad na ramadhani dau na huyu fala wa kigoma kabwe mbembe?
Peleka upumbavu wako huko!
Si kuna mahakama ya mafisadi kwanini msimshtaki?
 
Kwani assad ni mungu au yesy?
Nini au kipi ambacho aasad anakifanya na binadamu wengine hawakiwezi?

Kaa ukikalia Asad... asad... asad ebu tukuulize ,
Hivi unaujua wizi wa asad na ramadhani dau na huyu fala wa kigoma kabwe mbembe?
Mkuu mbona umepanic sana. Punguza hasira Mkuu
 
Tathmini hii imesheheni ripoti mbalimbali za Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa serikali kuanzia mwaka wa fedha wa 2013/2014 ili kuweza kutoa mwangaza halisi kwa mambo ambayo wananchi wengi wameshindwa kuyaona au kuyafahamu na mwisho watu wachache kuishia kuelezea upande mmoja bila kuonyesha au kueleza kiwango cha mafanikio yaliyofikiwa kwa kulinganisha tulikotoka, tulipo na tunapokwenda kadhalika na kuonyesha kiwango cha utekelezaji wa mapendekezo mbalimbali ya Ofisi ya CAG kwa muda wa miaka mitatu ya fedha kuanzia 2015/2016, 2016/2017 hadi 2017/2018.

(Aidha nitoe angalizo ya kuwa ripoti ya jumla ya CAG iliyosomwa mwaka huu imejumuisha pia ukaguzi maalumu wa miradi ya muda mrefu kabla ya uwepo wa serikali ya awamu ya tano hivyo ni vyema wananchi wakawa makini ili wasiweze kupotoshwa na watu wenye maslahi yao binafsi dhidi ya serikali ya awamu ya tano)

Tathmini hii inabeba taswira halisi ya mafanikio makubwa ya serikali ya awamu ya tano kwa kuchambua ripoti za CAG kuanzia mwaka 2013/2014 kabla ya uwepo wa serikali ya awamu ya tano chini ya Dkt. John Pombe Magufuli.

Uchambuzi huu utajikita katika maeneo makubwa nane kama ifuatavyo;

A. HATI ZA UKAGUZI KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU

Katika mwaka wa fedha 2015/2016 jumla ya hati za ukaguzi 505 zilitolewa huku Hati zilizoridhisha zilikuwa 436 sawa na asilimia 86.34, hati zenye mashaka zilikuwa 60 sawa na asilimia 11.88, hati zisizoridhisha zilikuwa 4 sawa na asilimia 0.79 na hati mbaya zilikuwa 5 sawa na asilimia 0.99.

Katika mwaka wa fedha 2016/2017 jumla ya hati 561 zilitolewa huku Hati zilizoridhisha zilikuwa 502 sawa na asilimia 90, hati zenye mashaka zilikuwa 45 sawa na asilimia 8, hati zisizoridhisha zilikuwa 7 sawa na asilimia 1 na hati mbaya pia zilikuwa 7 sawa na asilimia 1.

Katika mwaka wa fedha 2017/2018 jumla ya hati za ukaguzi 548 zilitolewa huku Hati zilizoridhisha zilikuwa 531 sawa na asilimia 97, hati zenye mashaka zilikuwa 15 sawa na asilimia 2.6, hati zisizoridhisha ilikuwa 1 sawa na asilimia 0.2 na hati mbaya pia ilikuwa 1 sawa na asilimia 0.2.

Kumekuwa na ongezeko la Hati safi mwaka hadi mwaka kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Magufuli na ongezeko hili linaonyesha uwepo na uimarikaji wa ufanisi katika usimamizi wa rasilimali fedha ambao kwa sehemu kubwa ni matunda ya ongezeko la nidhamu kazini na utendaji uliojikita katika kusimamia fedha za umma kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kuweka msisitizo kwenye matokeo(result driven).

B. UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO

Katika muda wa miaka mitatu ya fedha yaani kutoka 2015/2016 hadi 2017/2018 jumla ya miradi ya Maendeleo 2,008 imekaguliwa na Ofisi ya CAG.

Katika mwaka 2015/2016 jumla ya miradi ya Maendeleo 797 ilikaguliwa huku katika miradi hiyo jumla ya miradi 725 sawa na asilimia 91 ilipata Hati safi, miradi 71 sawa na asilimia 8.9 ilipata hati yenye mashaka na Mradi mmoja tu ndio ulipata hati mbaya ambao ni sawa na asilimia 1.

Katika mwaka wa fedha wa 2016/2017 jumla ya miradi ya Maendeleo 742 ilikaguliwa huku miradi 697 sawa na asilimia 94 ilipata Hati Safi; miradi 44 sawa na asilimia 5.9 ilipata hati yenye mashaka na mradi mmoja sawa na asilimia 0.1 ulipata hati mbaya.

Katika mwaka wa fedha wa 2017/2018 jumla ya miradi ya maendeleo 469 ilikaguliwa na kati ya miradi hiyo miradi 455 sawa na asilimia 97 ilipata Hati Safi, huku miradi 14 sawa na asilimia 3 ilipata hati yenye mashaka na hakukua na Mradi wowote uliopata hati mbaya.

Aidha, uimarikaji wa usimamizi na kupungua kwa sehemu kubwa ya Matumizi mabaya ya fedha za umma kumeondoa nafasi ya uwepo wa hati mbaya katika miradi na hivyo kuongeza nguvu ya mataifa rafiki kuweza kuwekeza zaidi katika miradi mbalimbali nchini. Kwa kipindi kirefu sasa ni mwaka 2018 ndio Hakuna Mradi hata mmoja wa maendeleo uliopata Hati Mbaya.

C. ONGEZEKO LA UFANISI NA UTENDAJI KWENYE MAMLAKA YA SERIKALI ZA MITAA

Katika kipindi cha miaka mitatu yaani kutoka mwaka wa fedha 2015/2016 hadi 2017/2018 Mamlaka ya Serikali za Mitaa imekuwa ikifanya vizuri kila mwaka hii kwa ongezeko la utekelezaji wa mapendekezo ambayo yamekuwa yakitolewa na Ofisi ya CAG. Ongezeko hili linaendana na kupungua kwa Idadi ya makosa mbalimbali ambayo kwa muda mrefu yamekuwa yakionwa na Ofisi ya CAG

Katika mwaka 2015/2016 kwenye ukaguzi uliofanywa na CAG, jumla ya mapendekezo 79 yalitolewa katika ripoti ya CAG huku mapendekezo yaliyofanyiwa kazi mpaka mwisho wa mwaka huo wa fedha yalikuwa ni asilimia 4 na yale yaliyokuwa yakiendelea na utekelezaji yalikuwa ni asilimia 44.

Lakini katika mwaka 2016/2017 kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na serikali kwenye kusimamia halmashauri nyingi mapendekezo yalipungua hadi kufikia 68 ambapo yaliyofanyiwa kazi yaliongezeka hadi kufikai asilimia 4.4 huku yaliyokuwa yakiendelea kufanyiwa kazi yalifika asilimia 50 ya mapendekezo yote.

Katika mwaka 2017/2018 tulishuhudia ufanisi ukiongezeka maradufu na mapendekezo ya mapungufu na ufanisi yalipungua kwa zaidi ya asilimia 21 na kufikia 62 kulinganisha na mapendekezo yaliyoonekana katika ripoti ya mwaka 2015/2016 huku utekelezaji wa mapendekezo hayo ukiongezeka kwa zaidi ya asilimia 2.2 kulinganisha na muda kama huo kwa mwaka 2015/2016.

Ofisi ya Rais TAMISEMI imekuwa na ongezeko kubwa la utekelezaji wa mapendekezo ya Ofisi ya CAG na kuongeza uimara katika usimamizi wa fedha za umma hasa katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo nchini.

D. ONGEZEKO LA MAPATO YATOKANAYO NA KODI

Mpaka kufikia Juni 30 mwaka 2016 makusanyo yatokanayo na kodi yalipita malengo kwa asilimia moja huku fedha iliyokusanywa ilikuwa ni shilingi trilioni 12.363. Uvukaji wa malengo ulichangiwa na ongezeko la usimamizi mzuri na ufatiliaji wa malipo ya kodi yaliyotokana na uboreshaji wa Mamlaka ya Mapato Tanzania.

Aidha tarehe 30 Juni 2018 makusanyo yatokanayo na kodi yalifikia Jumla ya shilingi za kitanzania trilioni 15.38 ambapo ilishuhudia ongezeko la ukusanyaji wa kodi kwa zaidi ya trilioni 3.02 kulinganisha na makusanyo kama hayo yaliyofanyika Juni 2016.

Makusanyo halisi yakijumuisha misamaha ya vocha katika mwaka 2018 yalifika hadi shilingi trilioni 15.40 na ongezeko likiwa ni shilingi trilioni 3.04

E. USIMAMIZI WA DENI LA TAIFA
Deni la Serikali au maarufu kama Deni la Taifa ni fedha ambazo serikali imekuwa ikikopa kutoka ndani au nje ya nchi kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya Maendeleo nchini. Nchi zote duniani hukopa ili kufanikisha miradi au utekelezaji wa mambo ya kitaifa.

Kwa muda wa miaka mitatu kumekuwa na kushuka kwa kiwango cha ongezeko la ukuaji wa deni la Taifa, kinyume kabisa na taarifa zinazosambazwa na watu wengi.

Mwaka wa tarehe 30 Juni 2013 deni la Taifa lilikuwa kwa wastani wa asilimia 25 huku likiongezeka kutoka trilioni 16.98 mwaka 2011/2012 hadi kufikia trilioni 21.20 mwaka 2012/2013. Ongezeko hili ndio lilikuwa ongezeko kubwa kwa kipindi kirefu.

Mwaka 2014/2015 liikuwa kwa asilimia 22 kutoka shilingi trilioni 33.54 hadi shilingi trilioni 41.04 mwaka 2015/2016.

Mwaka 2016/2017 ongezeko hili lilishuka kwa asilimia 10 kutoka asilimia 22 mpaka asilimia 12 katika mwaka wa fedha ulioshia Juni 2017.

Ongezeko la ukuaji lilishuka tena hadi kufikia asilimia 10.5 mwisho wa mwaka wa fedha wa 2017/2018 yaani tarehe 30 Juni 2018.

Hii inaamaanisha ya kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ya Rais Magufuli utegemezi wa Mikopo kutoka ndani na nje ya nchi umepungua kwa asilimia 58 na hii inadhihirishwa na kiwango cha ukuaji wa deni la taifa kutoka asilimia 25 mwaka 2013 hadi kufikia kiwango cha asilimia 10.5 mwaka 2018 na huku kupungua huku kukitokana na kuimarisha mifumo ya usimamiaji na ukusanyaji mapato nchini.

F. MISHAHARA KWA WATUMISHI HEWA

Serikali ya awamu ya Tano chini ya Dkt. John Pombe Magufuli imefanikiwa kupunguza kwa kiwango kikubwa tatizo la mishahara iliyokuwa ikipotea kupitia ulipaji wa watumishi waliokufa, waliostaafu na wale waliosimamishwa kazi.

Mwaka 2013/2014 jumla ya shilingi bilioni 1.62 zilitumika kulipa mishahara hewa kwa watumishi hewa huku wizi kupitia malipo ya mishahara hewa yalikua kwa zaidi ya asilimia 77 na katika mwaka 2015/2016 na kufikisha jumla ya shilingi bilioni 7.3 ambayo yote yalitokea kabla ya serikali ya awamu ya awamu ya tano lakini katika hadi kufikia tarehe 30 Juni 2018 ni shilingi milioni 207.37 ndio fedha zimepotea kama Malipo ya mishahara hewa hivyo Rais Magufuli kwa kiwango kikubwa kupitia kampeni yake aliyoifanya ya kudhibiti malipo ya mishahara hewa kuanzia mwaka 2016 nchi nzima iliyoenda pamoja na kuwachukulia hatua watendaji wote waliokuwa wakihusika katika kufanya udanganyifu huu imekuwa na matokeo chanya.

Kampeni ile leo hii imesaidia kuokoa zaidi ya shilingi za kitanzania Bilioni 7 kwa kulinganisha na fedha zilizotumika kulipa wafanyakazi hewa katika mwaka wa fedha 2015/2016. Haya ni mafanikio makubwa kwa kipindi kifupi kwani tatizo hili limekuwa kubwa na kuota mizizi kwa muda mrefu hivyo Rais Magufuli ameweza kuokoa fedha hizi na mwisho kusaidia kurejesha fedha hizi katika utekelezaji wa miradi ya Maendeleo nchini.

G. UJENZI WA MJI WA SERIKALI MKOANI DODOMA

Maamuzi ya Rais Magufuli kuhamia Dodoma na kuhakikisha wizara na taasisi mbalimbali za serikali zinahamia kwenye majengo yaliyojengwa na serikali kumekuwa ni nafuu kubwa na kuokoa fedha nyingi zilizokuwa zikipotea kwa muda mrefu huko nyuma.

Mathalani, kwa ukaguzi maalumu uliofanywa na Ofisi ya CAG katika mwaka wa fedha wa 2012/2013 ulibaini ya kuwa serikali ilikuwa ikitumia jumla ya shilingi bilioni 7.9 kama kodi kwa ajili ya kulipia pango kwenye ofisi 14 tu za serikali. Hivyo serikali ya awamu ya tano imeokoa fedha hizi kupitia ujenzi wa Ofisi za serikali na mwisho kuondoa matumizi yasiyo ya kilazima kama ilivyopendekezwa na CAG mstaafu Bw. Ludovick Utouh katika ripoti yake ya mwaka wa fedha ulioishia 30 Juni 2013.

Mwisho, japokuwa zimekuwepo changamoto nyingi katika usimamiaji wa miradi ya maendeleo nchini kwa muda mrefu bado serikali ya awamu ya tano chini ya Dkt. John Pombe Magufuli inabaki kama moja ya serikali za mfano nchini na barani afrika kwa kuweza kupunguza na kuondoa sehemu kubwa ya matumizi ya fedha ambazo zilikuwa zikipotea kwa uzembe na udanganyifu lakini pia fedha ambazo zimekuwa zikichukuliwa kama Mikopo zimekuwa zikitumika vizuri na thamani yake kuonekana katika ujenzi wa miradi mikubwa ya nchi kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu imara ya kuhakikisha tunaelekea katika taifa la Viwanda na Uchumi wa kati na kuifikia Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2025.

Felician Andrew
MSc. Economics
Mzumbe University
Huku nchi ikienda kaburn
 
Kila mtu ana interest zake katika kuchambua ripoti ya CAG. Wapo waliochambua mapungufu katika ripoti hiyo kwa sababu zao kama wewe mzee wa masters ulivyokuwa interested na yale yanayokuvutia.

Maudhui ya taarifa ya ukaguzi ni mambo yaligofanyika tofauti yalivyokusudiwa yalivyopangwa. Ukaguzi hulenga kupata udhaifu ili urekebishwe. Na mjadala wa taarifa ya CAG nao unajikita kwenye hoja za ukaguzi.
 
Mzumbe?Is that somekind of kindergarten?

Halafu hujaweka namba ya simu!
 
Acheni porojo hebu mwambieni Huyo mwizi wa matilioni ayarudishe la sivyo ajiuzulu apelekwe na mahakamani .
 
Nadhani uzi huu uko nje ya mjadala kwani umetazama zaidi yale mtoa mada anadhani ni mafanikio ya utekelezaji wa bajeti ya 2017/18. Kibaya zaidi amefanya hivyo kishabiki. Hili sasa limeanza kuzoeleka. Kila ikitokea jambo tata au hoja nzito ghafla anajitokeza mtu maarufu au msomi fulani kufanya utetezi! Mimi nadhani ukaguzi unaofanywa na CAG unatazama zaidi jinsi ambavyo utekelezaji wa bajeti ya serikali ulivyofanyika kulingana na sheria, kanuni, taratibu, miongozo na mipango iliyowekwa na kupitishwa na Bunge. Matokeo (output) kubwa ya ukaguzi huo siyo utekelezaji uliofanyika vizuri bali ule uliofanyika tofauti na ilivyokusudiwa. Utekelezaji huo uliofanyika kinyume huitwa hoja za ukaguzi na ndiyo hasa msingi wa taarifa ya CAG. Hizo hoja za ukaguzi ndizo zinazotakiwa kuchambuliwa na kujibiwa; siyo kitu kingine chochote. Hivyo uchambuzi wote unaotakiwa kufanyika kuhusiana na taarifa ya CAG lazima ujikite kwenye hoja za ukaguzi zilizoibuliwa; siyo nje ya hoja hizo. Uchambuzi nje ya hoja hizo ni siasa tupu.
 
Magufuli ni LIJIZI. MaCCM ni MAJIZI. Rudisheni kodi zetu mlizoiba, zikaboreshe Shule zetu tujenge taifa la kiushindani kielimu. Nchi bila Elimu bora nchi gani hiyo.
 
Mfumo wa elimu yetu pia naona changamoto. Hakuna mahali ambapo unaweza fanya kaxi kusiwe na changamoto. Sasa wengi wanachambua as if hakuna cha pekee serikali inafanya. We need to work up tupongeze mazuri tumshauri kwa kuboresha. Mchambuzi kaleta mada nzuri sana ila watu badala ya kuja na analysis nzuri wanakuja na porojo na matusi.

Inakera sana. Hongera Felician
Hawa ndio Watanzania bwana, mtu hajaelewa hata kilichoandikwa, ila kwa vile kinaongea tofauti na anachotaka kusikia basi anaishia kutoa matusi. Mimi nilitegemea nanyi muingie Chimbo mje na uchambuzi tofauti na wake kuonyesha alichofanya ni upuuzi.

Huyu mtu ametoa hoja yake kwa kuweka data nyie wenye akili leteni nanyi uchambuzi kwa kutumia data ile tuone tofauti. Hii Nchi ndio Nchi Pekee ambayo mtu aliyeishia darasa la pili kwa kuwa anajua kuongea na kuandika basi anaweza kumkosoa Professor, ha ha ha ha.
Uhuru wa mawazo inapokuwa upande wenu, ila wengine kutoa mawazo yenu ni uhaini!
 
Mimi nikupongeze kwa uchambuzi mzuri uliofanya. Kwa kweli sasa Tunapata picha. Ukiwasikiliza wakina zitto tu unaweza ishia kusema serikali haifanyi chochote. Watanzania tunapenda sana porojo. Watu wanakuja na majibu ya hovyo na matusi badala ya kuja na uchambuzi ili kupinga hoja kwa hoja wanakuja na matusi.

Na ni kweli ukilinganisha miaka iliyopita au hata ya mwaka jana utaona report inaimarika sana. CAG anafanya kazi nzuri.

Ni wakati tu wale ambao bado watuangusha kushughulika nao.
Tathmini hii imesheheni ripoti mbalimbali za Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa serikali kuanzia mwaka wa fedha wa 2013/2014 ili kuweza kutoa mwangaza halisi kwa mambo ambayo wananchi wengi wameshindwa kuyaona au kuyafahamu na mwisho watu wachache kuishia kuelezea upande mmoja bila kuonyesha au kueleza kiwango cha mafanikio yaliyofikiwa kwa kulinganisha tulikotoka, tulipo na tunapokwenda kadhalika na kuonyesha kiwango cha utekelezaji wa mapendekezo mbalimbali ya Ofisi ya CAG kwa muda wa miaka mitatu ya fedha kuanzia 2015/2016, 2016/2017 hadi 2017/2018.

(Aidha nitoe angalizo ya kuwa ripoti ya jumla ya CAG iliyosomwa mwaka huu imejumuisha pia ukaguzi maalumu wa miradi ya muda mrefu kabla ya uwepo wa serikali ya awamu ya tano hivyo ni vyema wananchi wakawa makini ili wasiweze kupotoshwa na watu wenye maslahi yao binafsi dhidi ya serikali ya awamu ya tano)

Tathmini hii inabeba taswira halisi ya mafanikio makubwa ya serikali ya awamu ya tano kwa kuchambua ripoti za CAG kuanzia mwaka 2013/2014 kabla ya uwepo wa serikali ya awamu ya tano chini ya Dkt. John Pombe Magufuli.

Uchambuzi huu utajikita katika maeneo makubwa nane kama ifuatavyo;

A. HATI ZA UKAGUZI KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU

Katika mwaka wa fedha 2015/2016 jumla ya hati za ukaguzi 505 zilitolewa huku Hati zilizoridhisha zilikuwa 436 sawa na asilimia 86.34, hati zenye mashaka zilikuwa 60 sawa na asilimia 11.88, hati zisizoridhisha zilikuwa 4 sawa na asilimia 0.79 na hati mbaya zilikuwa 5 sawa na asilimia 0.99.

Katika mwaka wa fedha 2016/2017 jumla ya hati 561 zilitolewa huku Hati zilizoridhisha zilikuwa 502 sawa na asilimia 90, hati zenye mashaka zilikuwa 45 sawa na asilimia 8, hati zisizoridhisha zilikuwa 7 sawa na asilimia 1 na hati mbaya pia zilikuwa 7 sawa na asilimia 1.

Katika mwaka wa fedha 2017/2018 jumla ya hati za ukaguzi 548 zilitolewa huku Hati zilizoridhisha zilikuwa 531 sawa na asilimia 97, hati zenye mashaka zilikuwa 15 sawa na asilimia 2.6, hati zisizoridhisha ilikuwa 1 sawa na asilimia 0.2 na hati mbaya pia ilikuwa 1 sawa na asilimia 0.2.

Kumekuwa na ongezeko la Hati safi mwaka hadi mwaka kwa kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Magufuli na ongezeko hili linaonyesha uwepo na uimarikaji wa ufanisi katika usimamizi wa rasilimali fedha ambao kwa sehemu kubwa ni matunda ya ongezeko la nidhamu kazini na utendaji uliojikita katika kusimamia fedha za umma kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kuweka msisitizo kwenye matokeo(result driven).

B. UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO

Katika muda wa miaka mitatu ya fedha yaani kutoka 2015/2016 hadi 2017/2018 jumla ya miradi ya Maendeleo 2,008 imekaguliwa na Ofisi ya CAG.

Katika mwaka 2015/2016 jumla ya miradi ya Maendeleo 797 ilikaguliwa huku katika miradi hiyo jumla ya miradi 725 sawa na asilimia 91 ilipata Hati safi, miradi 71 sawa na asilimia 8.9 ilipata hati yenye mashaka na Mradi mmoja tu ndio ulipata hati mbaya ambao ni sawa na asilimia 1.

Katika mwaka wa fedha wa 2016/2017 jumla ya miradi ya Maendeleo 742 ilikaguliwa huku miradi 697 sawa na asilimia 94 ilipata Hati Safi; miradi 44 sawa na asilimia 5.9 ilipata hati yenye mashaka na mradi mmoja sawa na asilimia 0.1 ulipata hati mbaya.

Katika mwaka wa fedha wa 2017/2018 jumla ya miradi ya maendeleo 469 ilikaguliwa na kati ya miradi hiyo miradi 455 sawa na asilimia 97 ilipata Hati Safi, huku miradi 14 sawa na asilimia 3 ilipata hati yenye mashaka na hakukua na Mradi wowote uliopata hati mbaya.

Aidha, uimarikaji wa usimamizi na kupungua kwa sehemu kubwa ya Matumizi mabaya ya fedha za umma kumeondoa nafasi ya uwepo wa hati mbaya katika miradi na hivyo kuongeza nguvu ya mataifa rafiki kuweza kuwekeza zaidi katika miradi mbalimbali nchini. Kwa kipindi kirefu sasa ni mwaka 2018 ndio Hakuna Mradi hata mmoja wa maendeleo uliopata Hati Mbaya.

C. ONGEZEKO LA UFANISI NA UTENDAJI KWENYE MAMLAKA YA SERIKALI ZA MITAA

Katika kipindi cha miaka mitatu yaani kutoka mwaka wa fedha 2015/2016 hadi 2017/2018 Mamlaka ya Serikali za Mitaa imekuwa ikifanya vizuri kila mwaka hii kwa ongezeko la utekelezaji wa mapendekezo ambayo yamekuwa yakitolewa na Ofisi ya CAG. Ongezeko hili linaendana na kupungua kwa Idadi ya makosa mbalimbali ambayo kwa muda mrefu yamekuwa yakionwa na Ofisi ya CAG

Katika mwaka 2015/2016 kwenye ukaguzi uliofanywa na CAG, jumla ya mapendekezo 79 yalitolewa katika ripoti ya CAG huku mapendekezo yaliyofanyiwa kazi mpaka mwisho wa mwaka huo wa fedha yalikuwa ni asilimia 4 na yale yaliyokuwa yakiendelea na utekelezaji yalikuwa ni asilimia 44.

Lakini katika mwaka 2016/2017 kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na serikali kwenye kusimamia halmashauri nyingi mapendekezo yalipungua hadi kufikia 68 ambapo yaliyofanyiwa kazi yaliongezeka hadi kufikai asilimia 4.4 huku yaliyokuwa yakiendelea kufanyiwa kazi yalifika asilimia 50 ya mapendekezo yote.

Katika mwaka 2017/2018 tulishuhudia ufanisi ukiongezeka maradufu na mapendekezo ya mapungufu na ufanisi yalipungua kwa zaidi ya asilimia 21 na kufikia 62 kulinganisha na mapendekezo yaliyoonekana katika ripoti ya mwaka 2015/2016 huku utekelezaji wa mapendekezo hayo ukiongezeka kwa zaidi ya asilimia 2.2 kulinganisha na muda kama huo kwa mwaka 2015/2016.

Ofisi ya Rais TAMISEMI imekuwa na ongezeko kubwa la utekelezaji wa mapendekezo ya Ofisi ya CAG na kuongeza uimara katika usimamizi wa fedha za umma hasa katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo nchini.

D. ONGEZEKO LA MAPATO YATOKANAYO NA KODI

Mpaka kufikia Juni 30 mwaka 2016 makusanyo yatokanayo na kodi yalipita malengo kwa asilimia moja huku fedha iliyokusanywa ilikuwa ni shilingi trilioni 12.363. Uvukaji wa malengo ulichangiwa na ongezeko la usimamizi mzuri na ufatiliaji wa malipo ya kodi yaliyotokana na uboreshaji wa Mamlaka ya Mapato Tanzania.

Aidha tarehe 30 Juni 2018 makusanyo yatokanayo na kodi yalifikia Jumla ya shilingi za kitanzania trilioni 15.38 ambapo ilishuhudia ongezeko la ukusanyaji wa kodi kwa zaidi ya trilioni 3.02 kulinganisha na makusanyo kama hayo yaliyofanyika Juni 2016.

Makusanyo halisi yakijumuisha misamaha ya vocha katika mwaka 2018 yalifika hadi shilingi trilioni 15.40 na ongezeko likiwa ni shilingi trilioni 3.04

E. USIMAMIZI WA DENI LA TAIFA
Deni la Serikali au maarufu kama Deni la Taifa ni fedha ambazo serikali imekuwa ikikopa kutoka ndani au nje ya nchi kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya Maendeleo nchini. Nchi zote duniani hukopa ili kufanikisha miradi au utekelezaji wa mambo ya kitaifa.

Kwa muda wa miaka mitatu kumekuwa na kushuka kwa kiwango cha ongezeko la ukuaji wa deni la Taifa, kinyume kabisa na taarifa zinazosambazwa na watu wengi.

Mwaka wa tarehe 30 Juni 2013 deni la Taifa lilikuwa kwa wastani wa asilimia 25 huku likiongezeka kutoka trilioni 16.98 mwaka 2011/2012 hadi kufikia trilioni 21.20 mwaka 2012/2013. Ongezeko hili ndio lilikuwa ongezeko kubwa kwa kipindi kirefu.

Mwaka 2014/2015 liikuwa kwa asilimia 22 kutoka shilingi trilioni 33.54 hadi shilingi trilioni 41.04 mwaka 2015/2016.

Mwaka 2016/2017 ongezeko hili lilishuka kwa asilimia 10 kutoka asilimia 22 mpaka asilimia 12 katika mwaka wa fedha ulioshia Juni 2017.

Ongezeko la ukuaji lilishuka tena hadi kufikia asilimia 10.5 mwisho wa mwaka wa fedha wa 2017/2018 yaani tarehe 30 Juni 2018.

Hii inaamaanisha ya kuwa katika kipindi cha miaka mitatu ya Rais Magufuli utegemezi wa Mikopo kutoka ndani na nje ya nchi umepungua kwa asilimia 58 na hii inadhihirishwa na kiwango cha ukuaji wa deni la taifa kutoka asilimia 25 mwaka 2013 hadi kufikia kiwango cha asilimia 10.5 mwaka 2018 na huku kupungua huku kukitokana na kuimarisha mifumo ya usimamiaji na ukusanyaji mapato nchini.

F. MISHAHARA KWA WATUMISHI HEWA

Serikali ya awamu ya Tano chini ya Dkt. John Pombe Magufuli imefanikiwa kupunguza kwa kiwango kikubwa tatizo la mishahara iliyokuwa ikipotea kupitia ulipaji wa watumishi waliokufa, waliostaafu na wale waliosimamishwa kazi.

Mwaka 2013/2014 jumla ya shilingi bilioni 1.62 zilitumika kulipa mishahara hewa kwa watumishi hewa huku wizi kupitia malipo ya mishahara hewa yalikua kwa zaidi ya asilimia 77 na katika mwaka 2015/2016 na kufikisha jumla ya shilingi bilioni 7.3 ambayo yote yalitokea kabla ya serikali ya awamu ya awamu ya tano lakini katika hadi kufikia tarehe 30 Juni 2018 ni shilingi milioni 207.37 ndio fedha zimepotea kama Malipo ya mishahara hewa hivyo Rais Magufuli kwa kiwango kikubwa kupitia kampeni yake aliyoifanya ya kudhibiti malipo ya mishahara hewa kuanzia mwaka 2016 nchi nzima iliyoenda pamoja na kuwachukulia hatua watendaji wote waliokuwa wakihusika katika kufanya udanganyifu huu imekuwa na matokeo chanya.

Kampeni ile leo hii imesaidia kuokoa zaidi ya shilingi za kitanzania Bilioni 7 kwa kulinganisha na fedha zilizotumika kulipa wafanyakazi hewa katika mwaka wa fedha 2015/2016. Haya ni mafanikio makubwa kwa kipindi kifupi kwani tatizo hili limekuwa kubwa na kuota mizizi kwa muda mrefu hivyo Rais Magufuli ameweza kuokoa fedha hizi na mwisho kusaidia kurejesha fedha hizi katika utekelezaji wa miradi ya Maendeleo nchini.

G. UJENZI WA MJI WA SERIKALI MKOANI DODOMA

Maamuzi ya Rais Magufuli kuhamia Dodoma na kuhakikisha wizara na taasisi mbalimbali za serikali zinahamia kwenye majengo yaliyojengwa na serikali kumekuwa ni nafuu kubwa na kuokoa fedha nyingi zilizokuwa zikipotea kwa muda mrefu huko nyuma.

Mathalani, kwa ukaguzi maalumu uliofanywa na Ofisi ya CAG katika mwaka wa fedha wa 2012/2013 ulibaini ya kuwa serikali ilikuwa ikitumia jumla ya shilingi bilioni 7.9 kama kodi kwa ajili ya kulipia pango kwenye ofisi 14 tu za serikali. Hivyo serikali ya awamu ya tano imeokoa fedha hizi kupitia ujenzi wa Ofisi za serikali na mwisho kuondoa matumizi yasiyo ya kilazima kama ilivyopendekezwa na CAG mstaafu Bw. Ludovick Utouh katika ripoti yake ya mwaka wa fedha ulioishia 30 Juni 2013.

Mwisho, japokuwa zimekuwepo changamoto nyingi katika usimamiaji wa miradi ya maendeleo nchini kwa muda mrefu bado serikali ya awamu ya tano chini ya Dkt. John Pombe Magufuli inabaki kama moja ya serikali za mfano nchini na barani afrika kwa kuweza kupunguza na kuondoa sehemu kubwa ya matumizi ya fedha ambazo zilikuwa zikipotea kwa uzembe na udanganyifu lakini pia fedha ambazo zimekuwa zikichukuliwa kama Mikopo zimekuwa zikitumika vizuri na thamani yake kuonekana katika ujenzi wa miradi mikubwa ya nchi kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu imara ya kuhakikisha tunaelekea katika taifa la Viwanda na Uchumi wa kati na kuifikia Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2025.

Felician Andrew
MSc. Economics
Mzumbe University
 
Mfumo wa elimu yetu pia naona changamoto. Hakuna mahali ambapo unaweza fanya kaxi kusiwe na changamoto. Sasa wengi wanachambua as if hakuna cha pekee serikali inafanya. We need to work up tupongeze mazuri tumshauri kwa kuboresha. Mchambuzi kaleta mada nzuri sana ila watu badala ya kuja na analysis nzuri wanakuja na porojo na matusi.

Inakera sana. Hongera Felician
Ona empty set nyingine hii.
 
Inaoesha hata wewe hujui mahitaji ya mtu kusoma masters ni yapi. Uwe unaulizia kwa undani kabla ya kuhoji
 
Mimi nikupongeze kwa uchambuzi mzuri uliofanya. Kwa kweli sasa Tunapata picha. Ukiwasikiliza wakina zitto tu unaweza ishia kusema serikali haifanyi chochote. Watanzania tunapenda sana porojo. Watu wanakuja na majibu ya hovyo na matusi badala ya kuja na uchambuzi ili kupinga hoja kwa hoja wanakuja na matusi.

Na ni kweli ukilinganisha miaka iliyopita au hata ya mwaka jana utaona report inaimarika sana. CAG anafanya kazi nzuri.

Ni wakati tu wale ambao bado watuangusha kushughulika nao.
Wanaotuangusha wapo ikulu, na msimamizi wa haya bunge hili dhaifu la Ndugai
Ziko wapi 1.5 Tillion? Badala ya kujibu hoja mnapiga watu risasi.

Political enterprenuers.
 
Wewe elimu yako bure kabisa. Mbona hujazungungumzia mauwaji, utekaji, ukandamizaji kwa opposition, kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari, upotevu wa hela za uma 1.5 na sasa 2.4 kama report za CAG zilivyosema, uminywaji wa demokrasia, uvunjwaji wa katiba ya nchi kunakofanywa na huyo raisi unaemtetea na maovu mengi tu ya awamu hii ya tano?

Huna lolote wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom