Awamu ya tano ni Golden Chance

Mnyalu wa Kweli

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
233
55
Ukiangalia tawala zilizopita ktk nchi hii,ukiacha ule wa Mwl Nyerere, uongozi huu wa JPM tukiupa support unaweza kuibadilisha nchi yetu kwa maana ya kuboreka kwa huduma mbalimbali za jamii,nchi kupiga hatua kubwa kimaendeleo na hata uchumi wa mtu mmojamoja kuimarika.

Kagame naye kashakiri kuwa kuna mambo anajifunza toka kwa JPM.Nadhani hii inaweza ni Golden Chance kwetu kama watanzania.

Ni mtazamo tu!Argue please,don't shout!
 
Raisi kasababisha biashara kuwa ngum,watu huko kwenye halimashauri hawapi na Huku mambo sio mazuri.hamna mzunguko wa biashara.atulegezee kidogo zunguko au awaongezee mishahara wafanyakzi ili mzunguko uludi
 
Kwa kumbukumbu niliyonayo wakati Mkapa anaingia Ikulu mwaka 1995 alipunguza mzunguko was pesa hadi tukaja na neno Ukapa lakini baadaye hali ilitengemaa.Nadhani hats kwa JPM hali baadaye kidogo inaweza tengemaa.Hebu tusubiri budget yake ya kwanza tuone.
 
Mimi nilikuwa napata faida kubwa kwa kukwepa kodi, sasa mianya yote imezibwa napata faida kidogo au hakuna faida kabisa
 
Kwa kumbukumbu niliyonayo wakati Mkapa anaingia Ikulu mwaka 1995 alipunguza mzunguko was pesa hadi tukaja na neno Ukapa lakini baadaye hali ilitengemaa.Nadhani hats kwa JPM hali baadaye kidogo inaweza tengemaa.Hebu tusubiri budget yake ya kwanza tuone.
lakini katika maelezo yako ya awali ni kama umesema utawala wa Mkapa haukuleta mabadiliko ya kuboresha huduma za jamii,na hapa unatolea mfano wa utawala ambao kwa mujibu wa hukumu yako hapo juu ni kama utawala usio wa mfano na unaona utawala wa sasa unatembea humohumo!!!Unasemaje katika hilo mkuu???
 
Ukiangalia tawala zilizopita ktk nchi hii,ukiacha ule wa Mwl Nyerere, uongozi huu wa JPM tukiupa support unaweza kuibadilisha nchi yetu kwa maana ya kuboreka kwa huduma mbalimbali za jamii,nchi kupiga hatua kubwa kimaendeleo na hata uchumi wa mtu mmojamoja kuimarika.

Kagame naye kashakiri kuwa kuna mambo anajifunza toka kwa JPM.Nadhani hii inaweza ni Golden Chance kwetu kama watanzania.

Ni mtazamo tu!Argue please,don't shout!
Hizi nazo ni ndoto tu, kwa kipi alichokifanya haswa toka aingie madarakani?
 
lakini katika maelezo yako ya awali ni kama umesema utawala wa Mkapa haukuleta mabadiliko ya kuboresha huduma za jamii,na hapa unatolea mfano wa utawala ambao kwa mujibu wa hukumu yako hapo juu ni kama utawala usio wa mfano na unaona utawala wa sasa unatembea humohumo!!!Unasemaje katika hilo mkuu???
Ndugu MC,hujanipata vizuri ktk hoja yangu.Sisemi Mkapa,Mwinyi au Kikwete hawakufanya kitu.Hoja Yangu ni kuwa ukiwalinganisha hao watawala waliopita na huyu wa sasa,unapata hisia kuwa Kama ataendelea hivi na sisi wananchi tukampa support nchi hii itabadilika kwa kiwango kikubwa.He is reformist!
 
maoni yako hajajikita kufafanua ni kwa namna gani unaonekana kama umendika kwa hisia , kuna jambo muhimu tunapaswa kufahamu nalo ni kila utawala una mazuri yake achilia mbali utawala huo kupendwa au kutokupendwa muhimu cha kujifunza na kufanyia kazi sasa ni kuangalia fursa zilipo na zilizopo kwa mfano sasa uwekezaji kwenye viwanja (ardhi), majengo, kilimo na ufugaji utakuwa unalipa sana ukiachilia mbali uchuuzi wa bidhaa ambazo kwa utawala huu zitawekewa kodi mara dufu
 
Ukiangalia tawala zilizopita ktk nchi hii,ukiacha ule wa Mwl Nyerere, uongozi huu wa JPM tukiupa support unaweza kuibadilisha nchi yetu kwa maana ya kuboreka kwa huduma mbalimbali za jamii,nchi kupiga hatua kubwa kimaendeleo na hata uchumi wa mtu mmojamoja kuimarika.

Kagame naye kashakiri kuwa kuna mambo anajifunza toka kwa JPM.Nadhani hii inaweza ni Golden Chance kwetu kama watanzania.

Ni mtazamo tu!Argue please,don't shout!

Uko sahihi japo JPM at some stage atatakiwa kujenga mifumo imara ya kitaasisi itakayohakikisha uendelevu wa mabadiliko anayoyasimamia kwa sasa hivi yasiishie utawala wake tu; kwa mfano ni lazima asimamie upatikanaji wa katiba bora; sio hii ya Six na macho ya makengeza Andrew iliyojikita zaidi katika kulinda status quo! Bila kufanya hivyo JPM akiondoka madarakani watakaokuja wata-Undo kila kitu kwa kasi ya ajabu kufidia lost time during JPM's reign!
God protect JPM and bless him with xtra vision, determination & courage.
 
Ndugu MC,hujanipata vizuri ktk hoja yangu.Sisemi Mkapa,Mwinyi au Kikwete hawakufanya kitu.Hoja Yangu ni kuwa ukiwalinganisha hao watawala waliopita na huyu wa sasa,unapata hisia kuwa Kama ataendelea hivi na sisi wananchi tukampa support nchi hii itabadilika kwa kiwango kikubwa.He is reformist!

Reformist lakini anaetembea kama wengine???anyway,kifupi eneo hili la maisha ya mtu mmoja mmoja kuwa bora ni mtego uliowashinda viongozi wengi hususani barani Afrika,kwa maoni yangu nadhani Mkapa alifanya vema sana ktk utawala wake,tatizo aliishia ktk kuipa nguvu kiuchumi serikali,mwananchi akawa dhaifu kiuchumi na hakufaidika sana na nguvu ya kiuchumi ya serikali kwa maana ya uboreshaji wa huduma za jamii na miundombinu kwa kiasi cha kumridhisha mwananchi.

So harakati zote za utawala huu mwisho wa siku Mwananchi lazima aone matokeo chanya katika maisha yake yeye kama yeye!Tuko pamoja mkuu
 
Kabisa kabisa nakuunga mkono!
 
Back
Top Bottom