Awamu ya Tano Imeamua - Muonekano Wa Stesheni Ya Soga

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,205
4,695
Ujenzi wa Reli ya Kisasa ( SGR) awamu wa kwanza kutoka Dar es salaam hadi Morogoro umekamilika kwa 77.91%

Tuliahidi & Tumetekeleza
FB_IMG_15982778786419331.jpg
FB_IMG_15982778731662596.jpg
FB_IMG_15982778666637511.jpg
FB_IMG_15982778617081383.jpg
 
Ujenzi wa Reli ya Kisasa ( SGR) awamu wa kwanza kutoka Dar es salaam hadi Morogoro umekamilika kwa 77.91%

Tuliahidi & TumetekelezaView attachment 1546841View attachment 1546842View attachment 1546843View attachment 1546844
Kipande Cha dar morogoro kimefikia 78% kwa kujengwa kwa miaka mitano.sasa kuanzia morogoro Hadi mwanza na kufika kigoma ili kukamilika kwa 200% mtatumia miaka 20. Kwa mantiki hiyo ataongezewa muda ili akamilishe mradi huu makubwa. Tujiandae kwa Hilo kisaikologia.
 
Mkuu hizo ni picha halisi.
Nilikuwa hapo nimeona kwa macho yangu, niliogopa kupiga picha bila ruhusa huenda ningezileta kabla ya huyu mdau.
Kituo cha Ruvu Station pia kipo tayari kama hicho, Pugu pia kinakaribia hatua hiyo unaweza kwenda kukiona kama upo Dar.

kazi nzuri
 
Back
Top Bottom