Mkurupukaji tu yule. Alikuwa hana cha maana anachofanya. Hao akina Majaliwa walikuwepo na wezi wengine kibao akina Makondamarehemu POMBE alikuwa anapigwa daily na wajanja aisee nashangaa ule ubabe wake wote lkn bado wahuni wa mjini wamepiga hela ndefu Sana hakika wezi WA nchi hii wanatisha