Awamu ya Sita imeshakopa Trillion 10 ndani ya miezi 9 madarakani. Tunaomba ufafanuzi

Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?.

Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha kwa maneno yake lakini nahisi kuna kitu hapa hakiko sawa hususani kwenye kukopa madeni kwenye utawala wa Rais Samia!.

Waingereza wanasema ujumbe wa Ndugai sent and delivered mambo mengine ni kuwahadaa wananchi na kuweka sawa maslahi yao!.

Tuache kumsakama tu Spika ila tujadili sasa kuhusu Trillion 10 pamoja na tozo ndani ya miezi 9 zimefanya nini?.

Serkali kama ilivyoombwa kutoa ufafanuzi kwenye akiba ya fedha za kigeni na hapa tunaomba ufafanuzi juu ya kauli ya mkopo wa trillion 10 kama Mbatia na wengineo wanavyosema.
Hiyo takwimu ya Trl 10 umeipata wapi? Maana awamu ya sita imekopa Trl 1.3, zingine ni propaganda za walinda legacy
 
Mbatia katika hotuba yake ya mwisho wa mwaka alisikika akisema mpaka sasa Serkali ya awamu ya sita imeshakopa takriban Trillion 10 tokea iingie madarakani! Nauliza kwanini serikali haiji kutoa ufafanuzi wa kutosha badala yake kufunika funika mambo?.

Mheshimiwa Spika Ndugai japo kaomba msamaha kwa maneno yake lakini nahisi kuna kitu hapa hakiko sawa hususani kwenye kukopa madeni kwenye utawala wa Rais Samia!.

Waingereza wanasema ujumbe wa Ndugai sent and delivered mambo mengine ni kuwahadaa wananchi na kuweka sawa maslahi yao!.

Tuache kumsakama tu Spika ila tujadili sasa kuhusu Trillion 10 pamoja na tozo ndani ya miezi 9 zimefanya nini?.

Serkali kama ilivyoombwa kutoa ufafanuzi kwenye akiba ya fedha za kigeni na hapa tunaomba ufafanuzi juu ya kauli ya mkopo wa trillion 10 kama Mbatia na wengineo wanavyosema.
Propaganda za sukuma gang
 
Back
Top Bottom