Awamu ya pili ya mkopo wa HESLB ilitakiwa kutolewa leo tarehe 21 Oktoba?

Elie zer

Member
Sep 20, 2021
74
67
HESLB bodi ya mikopo wanadai upangaji mikopo bado unaendelea wakati tunavyojua awamu ya pili ilitakiwa kutolewa tarehe 21.

Wasiwasi wakuu, tutiane moyo kwa hilo!
 
Tuliza ball. Tarehe 21 inaenda Hadi saa tano na dakika 59 usiku wa Leo.
 
Mmh!! Hata kama kusoma cijui! Kweli ofisi ya serikali wafanye kazi saa 10 jioni!! Hawana familia!!?
Huwa wanafanya viporo vikiwa vingi, alafu kazi za serikali hazilali ni milango hufungwa na watu hutoka ofisini ila kazi za serikali huendelea 24/7.
 
HESLB bodi ya mikopo wanadai upangaji mikopo bado unaendelea wakati tunavyojua awamu ya pili ilitakiwa kutolewa tarehe 21.

Wasiwasi wakuu, tutiane moyo kwa hilo!
Tuliza kipamba mzee, kitaumana baadae kidogo. Kaa utulie kama unatindwa vile, wanyama wanachakata maombi hadi usku utaona tu kimeumana
 
Dah hii hali mnayopitia mwaka jana tu nilikuwa na jamaa zangu humu kila mda tunasubiri lkn nashukuru batch ya 2 ilipotoka dah nilikuta mzigo unasoma 100%
sikuamini.
Mtapata ombeni kwa Mwenyezi Mungu mambo aya wkt mwingine ni bahati.
 
HESLB bodi ya mikopo wanadai upangaji mikopo bado unaendelea wakati tunavyojua awamu ya pili ilitakiwa kutolewa tarehe 21.

Wasiwasi wakuu, tutiane moyo kwa hilo!
Elizabeth. Nenda kwa account yako ya HESLB wamejiongezea mda mpk 25th October ndio watatoa majibu.
 
Dah hii hali mnayopitia mwaka jana tu nilikuwa na jamaa zangu humu kila mda tunasubiri lkn nashukuru batch ya 2 ilipotoka dah nilikuta mzigo unasoma 100%
sikuamini.
Mtapata ombeni kwa Mwenyezi Mungu mambo aya wkt mwingine ni bahati.
Mkuu nakukumbuka, tulikuwa wrote humu tunasota,, we uko chuo gani.?
 
Back
Top Bottom