kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,991
- 17,887
Ndugu zangu hebu tuache ushabiki wa kivyama kidogo, tuweke siasa pembeni
Kiukweli nchi ilikua inakwenda kuzama
Awamu ya tano ilikua inaenda kulipeleka hili taifa kwenye ukabila na ubaguzi na giza nene
Hebu imagine mtu mmoja tu anateua watu wake wa kijijini tu
Imagine Kila project inaenda kijijini Chato
Imagine kila kizuri ni chato
Keki yote ya taifa ilienda Chato huku mikoa mingine ikikodoa macho keki wakifaidi wachache tu
Lile genge likawa na nguvu magenge ya kikabila yalianza kuinuka na slogan ya kuanzisha kikundi cha genge lile kikabila vikipamba moto
Hii nchi miaka mitano ingekua na wasabaya wengi nchi ingegeuka Jehanam yaani nchi ingekua ni ya kinazi
Kiliibuka walojiona wao ndo bora huku wakitaka wengine wapone,,,,,Genge la mwendazake walijiona miungu watu....ilikua kumkosoa mwendazake tu unatishiwa hadi na wanakijiji au watu wa jamii ya bwana yule wanakujia inbox na vitisho kibao nchi ilikua inaelekea pabaya sana
Baada ya miaka 5 mingine kungekua na ubaguzi mbaya sana, udikteta wa kutisha na kiza kinene lakini mungu ni fundi aisee
Nakumbuka jinsi hali ilivyokua inaenda nikikumbukaga zama za bwana yule still napataga mshtuko na kujikuta naongea mwenyewe kwamba mungu aepushie mbali
Kuna wakati hadi huwa nashtuka kiasi kwamba hadi watu walio karibu nami huniuliza kulikoni mbona nashtuka shtuka kila saa aisee mungu apishe mbali,Doooh siwezi kumsamehe yule jamaa hapana kwakweli, ile awamu big No!
Update kutoka kwa mdau
Marehemu uwa asemwi kwa mabaya ila yule bwana sio siri alikuwa mtu hatari sana kuwahi kutokea katika nchi hii.
(1)alitaka kutengeneza sukuma empire
(2) alikuwa Rais wa 2 duniani kutamka adharani kuwa msaliti anatakiwa kupigwa risasi
(3) alitaka kuvunja katiba ili awe kiongozi wa maisha
(4) wapinzani kwake walikuwa ni maadui katika uwongozi wake
(5)aliweza kumpa mtu maisha,na pia aliweza kumpa mtu kifo(alikuwa ukimsifia basi asubui yake lazima upate uteuzi,na ukimponda basi lazima ukae tayari kwa kutembelewa na watu wasiojulikana.
(6) Alikua mkabila sana
(7)aliuwa ajira nyingi kwa wazawa.aliajiri wanyarwanda katika sekta nyingi na kuacha wazawa wakifa njaa.
Hakika kifo chake ni fundisho tosha kwa tuliobaki
Kwanza niseme kabisa mateso tunayopitia sahivi ni mwendazake ndo aliyetuletea haya mambo yote maovu
Hata kina siro,wasiojulikana waliletwa na huyo marehemu wenu! Huyu mzee alikua mtu wa ajabu sana, mungu atamlipa na azidi kupata anachokistahili
Haya matozo aliyetuletea yeye! Tatzo hatisomi main source ya tatizo ni nani?Tatizo ni mwendazake tu
Mfano mdogo tu ni ishu ya tozo!!!ilipitishwa na bunge ambalo lilitokana na uchaguzi wa kupora haki za watu uloporwa na mwendazake wakapitisha matozo ya ajabu ajabu leo hii tunaumia
Mimi nachojua upinzani 2020 walipata viti vingi tu vya wabunge,lakini wakaporwa kwa nguvu.
Matatizo km kina polepole,gwajima na watu wa hovyo waliletwa na mwendazake
Mwendazake effect zitaendelea kulitesa hili taifa sana
Mimi simkubali hata samia simkubali sana lakini afadhali hata huyu mama kidogo, angalau naye ni mhanga wa matendo ya mwendazake kwahiyo anajua.
Mwisho niwaambie kitu kimoja,nyie endeleeni kumlilia na kumkumbuka huyo marehemu wenu,mtu aliyeliharibu taifa hili na akaleta ukabila na legacy za hovyo hovyo tu, tena mjue kabisa mimi sio legacy wala huyo marehemu wenu naona ana maana kwangu.
Sikuwahi kumuelewa wala kumkubali hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni watanzania sio hilo hilo s- genge lenu na chato yenu na huyo marehemu wenu.