Awamu ya kwanza ya bandari ya Lamu yakamilika, mpaka sasa meli tisa zimeitumia

Tuta, Zita, zitakuwa.. you have hardly invested $400m from lenders for the past 10 good years,
Mnaota mambo makubwa yet hamuwezi fikisha reli malaba.. eti levels, levels ya nyoko
Usilie basi, bandari ya Lamu ipo au haipo? Tena imejengwa 'kwa hela zetu', kama alivyopenda kusema mwendazake. Meli zishaanza kufika Bagamoyo?
 
Mngefaulu Bagamoyo ningekua na wasiwasi ila kwa namna ambavyo hakuna mnachokamilisha, sasa Lamu ndio imebaki kutawala kote huko.....bahari hindi Yote.

Sisi sio watu wa kupapatikia hela za wachina mzee,
Ndio maana hatufanyi makosa kama yale ya reli y’a Kenya inayopitisha magarimoshi kuelekea nyumbani kwa Uhuru Kenyatta
 
Usilie basi, bandari ya Lamu ipo au haipo? Tena imejengwa 'kwa hela zetu', kama alivyopenda kusema mwendazake. Meli zishaanza kufika Bagamoyo?

Una takwimu za mizigo ya hiyo bandari ya lamu ?
Halafu acha kupotosha, thé broke gok can’t build anything on its own.
 
Una takwimu za mizigo ya hiyo bandari ya lamu ?
Halafu acha kupotosha, thé broke gok can’t build anything on its own.
Ina maana kwamba umerukia tu kwenye comments na ubishi mwingi bila kusoma taarifa kwanza? Mbona taarifa na takwimu zote zipo hapo juu kwenye mada?

New Lamu port is success story after receiving nine ships Berth moja tu imepokea meli tisa kwa miezi minane, tena kwenye bandari mpya. Dar yenyewe ya zamani kufikia hiyo avarage kwa sampuli ya meli kubwa zinazotia nanga Lamu, labda kwa nguvu za kishirikina. Alafu sasa berth no. 2 na 3 zimekamilika na zinaanza kazi, utandelea kuumia sana.

Kwa taarifa yako kama hukujua ni kwamba 'funding' ya ujenzi wa bandari ya Lamu ni 100% kutoka kwa GOK.
 
Sisi sio watu wa kupapatikia hela za wachina mzee,
Ndio maana hatufanyi makosa kama yale ya reli y’a Kenya inayopitisha magarimoshi kuelekea nyumbani kwa Uhuru Kenyatta

Mpaka hapo mwenda zake alipapatikia mikopo trillioni 29 kwa miaka mitano zaidi ya miaka kumi ya Kikwete, na hamna chochote kilichokamilika, imebidi mama awabane kwenye matozo na kuchukua mikopo zaidi walau ajaribu kukamilisha miradi mlioyokurupuka kuianzisha bila mpango.
Hivyo mpaka mje kuwaza bandari ya Bagamoyo mtakua mumeitia nchi rehani kama alivyosema spika hehehe mlimshukia hadi raha.
 
Lamu port was built strategically to assist Mombasa port which despite of all expansion works ongoing is nearing it's maximum cargo handling capacity projections. Port ya Lamu itakuwa very busy but with time kwakuwa imejengwa kwa 'hela ya ndani' Kenya is not under pressure to deliver Return Of Investment (ROI) kwakuwa haikujengwa kwa mkopo. Once gantry cranes arrive the true picture of Lamu will appear.
 
Una takwimu za mizigo ya hiyo bandari ya lamu ?
Halafu acha kupotosha, thé broke gok can’t build anything on its own.
Maumivu, Kenya sio fukara kama bongolala ya propaganda 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom