Awamu ya 5 na majina ya mawaziri ambao wamebahatika kusafiri nje ya nchi

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Kwema kwenu wakuu!

Awamu hii ya 5 kumekuwapo na kalipio kali kwa mawaziri na watumishi wengine wa umma kusafiri nje ya nchi. Hii kitu imewakumba hata wabunge. Wengi wao tunapishana nao mtaani kiroho safi tu na wameshazoea 'hapa kazi tu'.

Wafuatao angalau kidoooogo wamepanda pipa kwenda nje:

1. Waziri ya mambo ya nje,kikanda na Afrika Mashariki - Balozi Mahiga

2. Waziri wa mambo ya ndani, Madelu Mwigulu Nchemba

3. Waziri Mkuu, Majaliwa Kasimu Majaliwa

4.

5.

6.
 
Kwa hiyo mtu akisafiri nnje ya nchi kabahatika..Ndo mana hatuendelei, kazi kukimbilia nchi za watu badala ya kukaa na kujenga nchi yetu ili na huko nnje wakimbilie kwetu. We need to think big we Tanzanians
 
Back
Top Bottom