Awamu ya 5 Freeman Mbowe peke yake ndio alipata misukosuko ya kisiasa, Zitto dhuluma ndio zinamtesa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,512
141,240
Kangomba wote siyo Zitto Kabwe wanamchukia sana Hayati Magufuli.

Huyu Zitto Kabwe aliokotwa na Freeman Mbowe pale Mlimani lakini kwa shukrani zake za punda akataka kumpindua chamani.

Zitto Kabwe ameuza chama kwa wapemba sasa ameanza kuweweseka ACT Wazalendo ndio CUF iliyochangamka bila Lipumba.

Mbowe ndiye mwanasiasa pekee aliyeumizwa na siasa za vyama vingi na siyo huyo kangomba wa korosho.
 
Hamna mwanasiasa yoyote atakayeweza kumchafua Magufuli.

Kazi za Magufuli zinaonekana kwa macho ila kazi za wachafuzi hamna hata moja inayoonekana wamekalia maneno matupu tu.

Kwa hiyo huyo Zito amepoteza muda wake na heshima yake kwa jamii.
 
Hahahaha wewe jamaa una kichaa
 
Zitto ana tabia za kinyonga, opportunist, mshirikina sana na mdini sana, in short, he can't be trusted at all.
 
Zitto ana tabia za kinyonga, opportunist, mshirikina sana na mdini sana, in short, he can't be trusted at all.
Mshirikina haiwezi kuendana na mdini.
Hapo nakushauri utoe moja ili hoja yako iwe na mantiki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom