Awamu iliyopita ilituondoa kwenye Staha na Utu wa Kiafrika, sasa ni zama za kufuata Katiba na Sheria

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,602
6,016
Wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana, haya yalipatwa kunenwa na aliyekuwa makamu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, hapo alinena kama mama, kama makamu wa rais na mjumbe wa kamati ya usaama ya taifa au kama mwanasiasa?

Kwa kauli hii mama alikuwa na staha kweli hasa kwa raia wa nchi anayoiongoza na mhanga wa shambulio la risasi, je jibu alilotoa ndo jibu alilopaswa kuliambia taifa juu ya tukio zima la shambulizi hilo dhidi ya raia wa jmt?

''Watakuja kuwaambieni wamevunjwa miguu lakini waulizeni ilikuwaje wakavunjwa miguu, wengine jana nilisikia mmoja anasema amemimiwa risasi 16, nataka niwaambie huyo sio askari wetu wa serikali ya chama cha mapinduzi, askari wetu akipiga mtu tatu akamkosa atawajibika sikwambii askari aliefundishwa akapiga 16 huyo mtu atoke mzima".-Mh. Samia Suluhu Hassan, sept 2020

"Majibu kwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan aliyekuja kunitembelea hospitalini Nairobi na sasa anashuku kama kweli nilipigwa risasi 16. Kama mjumbe wa baraza la usalama la taifa, alitakiwa awaeleze ni nani walionishambulia na kwa nini hawajachukuliwa hatua hadi sasa!"- Mh. Tundu lissu, sept 2020

118813037_2778840825549967_6491376916811090140_n.jpg
E4wOBAeWYAMJY57.jpg

Mifano ya kauli hizi ipo mingi sana hasa toka kwa viongozi waandamizi pia viongozi wa kisiasa toka vyama mbalimbali.
Nachelea kusema kwamba, hakuna balance itakayopatikana kwani wengi wetu hata wanopaswa kusimamia haya ya utu na staha nao wameshakengeuka na kuvunja hayo. Wanaopaswa kuhubiri staha na kuheshimiana walishaamua kukengeuka na kubaguana.

My Take:
Tutegemee kizazi cha kuvunjiana heshima na LUGHA KALI ZENYE KUUDHI hasa baada ya awamu iliyopita iliyoacha maumivu makali sana kwa baadhi ya Raia (Raia wa JMT anapaswa kuheshimiwa kwa utu, fargha, haki, Uhai na usalama wake bila kujali itikadi yake yoyote).

Kwa hali ilipofikia tusibague nani wa kupewa staha na kuheshimiwa na nani hastahili bali tujikite tu kwenye tafsiri za kisheria. Kama sheria imevunjwa adhabu zihusike kama lah Maisha yaendelee. Nakumbuka kuna Siku Mh. Job alisema Mbowe ameumia sababu alipiga "Nyagi" akaanguka. Kauli haikuwa na staha lakin kisheria yawezekana ilikaa poa ndo maana wahusika wakaufyata.

TUACHE CHEAP POLITICS HIVI SASA, TUJIKITE KWENYE KATIBA NA SHERIA.
 
Tanzania unayoiona leo na mazingara ya ulipaji kodi, huduma kwa Watanzania. Bila uongozi wa hayati Magufuli yasingewezekana. Sasa ni wizi tu, matusi na uswahili mwingi bila ya vitendo. Tanzania ilikuwa na Rais. Kwa sasa ni hadithi za abunuwasi.
 
Ndiyo nani alikudanganya?Acha upunguani.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom