Awamu Hii Zitto anakosa madeal ya kupiga pesa iliyopita.Imekua Awamu ngumu kwake

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,318
Wengi tunamjua zitto ni mjasiriamali wa kisiasa. Awamu hii alitegemea angeweza kuendelea kuvuna kama iliyopita lakini naona imekuwa ngumu kwake.

Tunakumbuka Bunge lilipofunguliwa wenzie walipotoka kwa kumpinga rais wa zanzibar na maguful yeye alikaa akidhan itamsaidia kutengeneza ukaribu na Magufuli. Mambo hayakuwa hivyo... Akagundua Magufuli hakuwa akilea uovu kwa kuupakata. Zitto alikuwa akipewa kamati flan flan kipind cha nyuma apige pesa wagawane na mhusika mkuu awamu hiyo.

Awamu hii imekuwa ngumu. Sasa anatapatapa akitafuta namna ya kupata kick. Wapinzani wawe makini sana na zitto hoja zake wasidandie kabla ya kufanya uchunguz na kujiridhisha. Zitto hajawah kuwa na uchungu na wananchi. Yeye anatumi siasa kama ajira.

Mwangalieni zitto kwa macho makali. Na this time wanaomtumia wanamlisha matango pori yenye sumu.hajagundua.
 
Subiri mapovu usiondoke. But huwo ndo ukweli.
Watakuja hapa kukwambia ukachukua buku saba.
 
Mkuu hayo ni mawazo yako nayaheshimu lakini haijalishi awe msaliti sijui mpiga dili lakini kma akisimamia jambo la kitaifa lenye maslahi kwa TANZANIA MPYA basi tumuunge mkono. Ndio maana hta chadema wanamuona zitto kma msaliti ila linapokuja ajenda za kitaifa zenye maslahi mapana wanaungana naye ila hayo ya wwe kumuita mpiga dili kisa tu anamkosoa rais sioni kma yana mantiki sana muhim mjibu hoja zake basi the rest will be history.
 
Back
Top Bottom