Yose Joseph MlyambinaNani kala ujaji?
.Serikali imegeuzwa kikao cha ukoo
Jaji Mahakama kuuSahivi kapelekwa wapi Mkuu?
Punga vu, unaleta ushabiki wa kishoga hapa, umeona wapi kumeandikwa kuhusu vyama hapo? Hiyo ni issue inayo husu serikali na sio Ccm wala Ukawa.kama Chadema ilivyo kitegauchumi cha familia.
Lazima ujue tofauti ya vyama na Serikali, huu undugunaisation anaufanyia kwenye serikali na ni kitu cha hatari sana.Wanasiasa wengi wako hivyo, sio CCM peke yake.
Hata huko Chadema tunaona ni Ukanda unaendelezwa na Ukabila.
Huko kwa Trump yale yale.