mapesa yamejaa
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 1,412
- 3,403
Nimebahatika kuona awamu zote japo ile ya ya kwanza(mwalimu Nyerere ) niliifahamu mwishoni. Pamoja na uzoefu wangu kwa kuzishuhudia awamu zote lakini hii awamu maisha yamekuwa magumu sana kwa watanzania kuliko nilizozishuhudia.
Mfano. Awamu ya tano ilijitahidi sana kupunguza ukali wa maisha kwa kutumia vizuri rasilimali zake. Kipindi hicho cha awamu ya tano vifaa vya ujenzi vilikuwa na bei ya chini kuliko kwa sasa. Cement iliuzwa 5000-8000 lakini kwa sasa 15000kwa Dar na mikoani hadi 22000. Nondo ziliuzwa 12000(mm12)lakini kwa sasa27000-30000.
Vilevile sisi wazee tulitibiwa bure kwa mstarehe kabisa awamu ya tano,hata watoto chini ya miaka mitano na mama mjamzito alipata huduma bure lakini kwa sasa hizo huduma zimefutwa., bila pesa hupati huduma.
Kwenye pembejeo za kilimo zilipatikana wa urahisi.mbolea kama urea can,npk zilipatikana kwa wakati na bei chee.mfano urea(kilo 100 urea iliuzwa 50000 )lakini kwa sasa ni 150000.
Mimi kama mzee mzalendo nauliza Hivi kwanini imekuwa hivi awamu hii? Tatizo ni nini?