Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,269
- 70,663
Jana nimemsikiliza Mheshimiwa Rais akiwa kwenye ziara Shinyanga anasema watu walizoea starehe, kusafiri, kulala kwenye mahotel makubwa na huku wakilipwa lakin safari hii hakuna huo ujanjaa ujanja na ukiona hela imepotea mfukoni ujue ilikua sio ya kwako yaani sio halali.
Mlizoea kutumia pesa hovyo hovyo tu,
Najiuliza hivi ina maana mkuu wa nchi hataki watu tuishi kwa raha mustarehe?? Anataka watu wasisafiri, tusile vizuri, tusifurahie maisha bali tuishi maisha ya kimaskini yeye ndio anafurahia au, yeye akipangiwa bajeti kali hapo ikuku atakataa??
Au ndio ule msemo ,malaika wataishi kama mashetani anataka utimie mbona kuna nchi watu wanakula bata tu kwa sana ,ina maana yeye anafurahia kuona watu wakilia tu
Safari hiii tumepatikana jamaniii halafu eti tumuombee kwa lipi. Kauliza watu ''eti jamanii kwani hampendi ninavyowatumbua watu, kama siendeshi vizuri mambo mnaweza niruhusu niachie maana uraisi mmenipa nyie (huyu atakubali kuachia nchi huyu si ndio kina nkurunznza wanajiongezea miaka tu ?)''
Huyu mzee 2020 atadanganya watu,,na kwa vile watu hawana elimu watampa tu kura
Nimemaliza